Haya nyie mnaoiombea Tanzania ifungwe na Morocco uzi wenu huu

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,709
36,166
Kuna vijana wa hovyo, pia kuna wananchi wa hovyo.

Sasa sijui hawa wananchi wa hovyo wamechukizwa na nini, lakini najua tu kuna vitu vimetendwa aidha na serikali yao au na baadhi ya viongozi wao ndivyo vimewajengea chuki dhidi ya taifa lao tukufu.

Haya haters toeni utabiri wenu hapa 😭😭😭😭
 
Kaka hata usipoiombea ifungwe kipigo kipo palepale
 
Kuna vijana wa hovyo, pia kuna wananchi wa hovyo.

Sasa sijui hawa wananchi wa hovyo wamechukizwa na nini, lakini najua tu kuna vitu vimetendwa aidha na serikali yao au na baadhi ya viongozi wao ndivyo vimewajengea chuki dhidi ya taifa lao tukufu.

Haya haters toeni utabiri wenu hapa 😭😭😭😭
Yaani niweke hela yangu eti kwambaa! Starz ISHINDE!? Nimerogwa!?... Ama hiyo hela Haina kazi!?

Hakuna cha Uzalendo kwenye mkwanja! Babu!
 
Unaweza kutamani Tanzania ifungwe lakini si jambo rahisi kama baadhi ya watu wanavyo fikiri, huu ni mpira wa miguu hauitaji maneno mengi.
 
Back
Top Bottom