Mzee Nyerere alijaaliwa hekima na busara za pekee mno na mwenyezi Mungu.
Ukiisikiliza hotuba hiyo hapo juu kwa mfano ni wazi unaona u Walimu wake kwenye muktadha wa kuonya,kuelekeza na kutabiri yawayo huko mbele ya safari.
Mengi kama si yote aliyopata kutuasa mzee wetu yule yalitimia ama...
Wadau wiki hii nimesoma mabandiko mengi ya ndugu zangu wa ufipa .,naona hasira zao wameamua kuzimalizia kwa ndugu zitto.,nilianza kumsoma na kumsikiliza tundu lissu alivyokurupuka Kama kawaida yake. Nakumparamia mwana mwema zitto kabwe kwamba eti hawakumtuma.mtu akifariki wanaoenda kumzika...
A giant of the African independence struggle, he retained his worldwide moral authority even after his vision of rural socialism faltered
Thu 14 Oct 1999 21.02 EDT
In his heyday as president of Tanzania - which he ruled from 1961 to 1985 - Julius Nyerere, who has died from leukaemia aged 77...
Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka.
Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa...
Umasikini ukizidi hazaa waasi wenye uzalendo~ alisema babu yule. Hakika meli ikipoteza dira mwisho wake sio mwema labda iokolewe na wasamalia wema na vipi Kama wasamalia huonekana ni waasi.
Taifa langu Tanzania~ Namkumbuka Zitto Kabwe akiwa BBC aliwahi sema ni vyema wanafunzi wajawazito wapewe...
Naombeni wenye jicho la ziada mnitoe ujinga maana huu ujinga nilionao ndio unanifanya niwe napatwa na hasira kwa maono mafupi yanayonifanga nione Zanzibar inatunyonya
Kwa upeo wangu mfupi najionea mambo haya, Naombeni mnipe maarifa, huenda mtazamo wangu haupo sawa.
Mambo ya huku bara lazima...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATOA TZS 35BL KUJENGA UWANJA WA "MUSOMA AIRPORT " ILI KUMUENZI HAYATI BABA WA TAIFA KWA VITENDO.
Huu ni muonekano wa baadhi ya vifaa vya ujenzi vya mkandarasi Beijing kutoka nchini China ambavyo vinatarajiwa kutumika katika kazi za maboresho ya uwanja wa ndege wa...
Nisaidieni majibu ya hili swali la kweli au sikweli? Nilikua kwenye test ya maarifa ya jamii nikakutana na hilo swali.
Miradi yote inayolisha Tanzania ilianzishwa na Nyerere kweli au si kweli?
Kuna simulizi alikuwa anatoa mzee mmoja mstaafu, kwamba kwenye moja ya uchaguzi sikumbuki ni wa mwaka gani uliofanyika enzi za Serikali ya kikoloni, wajumbe wa halmashauri ya TANU walikuwa wamekubaliana kwamba wasusie uchaguzi kutokana na kutokubaliana na utaratibu mbovu wa kura tatu, ambao...
Mengi yamezungumzwa kuhusu ujenzi wa hilo Bwawa. La hivi karibuni ni pale Waziri husika alipodai mkondrasi wa ujenzi, ambaye ana utaalamu, ujuzi, uzoefu na uwezo mkubwa, ati hana mtambo wa kubeba (winch) wenye uwezo wa kusimika milango ya kuzuia maji yenye uzito wa tani 26. Au ni hadithi ile ile...
Nawasalimu wanaJF.
Natoa nasaha kwa Januari Makamba Waziri wa Nishati ahakikishe anafanya commitment ya fedha kwenye strategy sahihi yaani ukamilishaji wa mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere hata kama hapendi.
Sidhani kama watanzania wanahitaji solutions za muda mfupi za vimegawati 80 katika...
Leo mtanzania analia lia na shida ya Umeme leo Mtanzania analialia na shida ya maji.
Tuna ukanda wa bahari kwa zaidi ya kilomita 700
Tuna maziwa Makuu ya Afrika na tuna mito inayotiririsha maji tokea iumbwe Dunia
Tuna gesi isiyomalizika Mtwara huko
Kuna nchi hazina mvua hazina mito...
Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano.
Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamtarudia tena makosa mliyoyafanya miaka mitano iliyopita...
ABDULKARIM HAJJ MUSSA, MWINYI MCHENI OMARI NA JULIUS NYERERE KATIKA KUIJENGA TANU KILWA
Abdulkarim Hajj Mussa Jamadar akifahamiana vyema na Julius Nyerere.
Abdulkarim Hajj Mussa Jamadar na Mwinyi Mcheni Omar ni kati ya ya watu waliomuunga mkono Nyerere na kasaidia sana katika kuiingiza TANU...
Nafuatilia hotuba mbalimbali za viongozi wastaafu kuelekea miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika.
Nimefurahishwa na hii ya Nyerere anayomzungumzia mchagga mmoja aliyempa mzungu tanzanite na yeye akapewa golori kisha yule mrombo akatoka hapo akicheka na kurukaruka kama ZUZU.
Nimeona pia ile ya mbunge...
Katika viongozi wachache tuliyobaki nao katika kujenga hoja na kuwa mkweli ni Jenerali Ulimwengu.
Hotuba nyingi za mwanasiasa huyo inanikumbusha jinsi Mwalimu Nyerere alivyokuwa akitoa hoja.
Hongera sana Mheshimiwa Jenerali Ulimwengu na watanzania tutaendelea kusikia na kupokea ushauri wako...
Greta Thunberg ni Mwanaharakati mtoto wa mazingira na madiliko ya tabia nchi anayefuta maono ya yaliyozungumzwa na Raisi wa kwanza wa Tanzania JK Nyerere miaka zaidi ya ishirini iliyopita, na ni wakati hata Greta mwenyewe hajazaliwa.
Huyu mtoto mdogo anapigania utunzaji wa mazingira duniani...
MJUE EUGENE MAGANGA MHUSIKA WA NJAMA ZA KUIPINDUA SERIKALI YA RAIS JULIUS NYERERE Jan 9, 1982.
"Tunajutia tu kushindwa mapinduzi, lakini hatujutii kupanga mapinduzi" -Capt. Eugene Maganga.
JAN 9, 1982 Palitokea jaribio la kuipindua serikali ya Rais Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa...