nyerere

  1. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hapa Makongoro Nyerere kaamua kusema ukweli mbele ya Rais bila kupepesa macho

    Hii kauli ni kubwa sana. Kuwa watoto wa viongozi wanapata nafasi si kwa sababu wamewahi fanya matendo makubwa ila ni sababu tu ya majina ya watoto wao. Nadhani alikuwa anamaanisha yeye, Ridhwani Kikwete, Januari Makamba, Nape Nnauye n.k Anasema wao wapo hapo ukisema utafute walichofanya mpaka...
  2. data

    JamiiForums Tanzania Hawa vijana unaweza fikiri sio watanzania kwa wimbo huu bora kabisa wa kumuenzi Nyerere - Dear Nyerere

    Hongera sana kwao! Miaka mia ya Nyerere imechagizwa vyema kabisa na wimbo huu, napenda kulifahamu zaidi kundi hili.
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana dalili za kuwa Rais bora kama Nyerere na Mkapa. Anaonekana kuwaacha mbali Magufuli na Kikwete

    Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi? Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa nchi lazima awe mkali na aogopwe. Asipoogopwa kila kitu kitakwenda mrama. Hata hayati Julius Nyerere aliogopwa na alikuwa mkali

    Mkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania. Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza? Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu...
  5. nyboma

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere nini kinaendelea? Na kati ya awamu ya tano na sita ipi inasema ukweli?

    Bila shaka wakati Mh. Raisi Samiah Suluhu Hassan akipokea ripoti ya TAKUKURU na CAG na ulipofika wakati wa yeye kuzichambua ripoti zile nimemsikia kwa masikio yangu mawili ya kwamba “Mradi wa ufuaji umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere” utakamilika mnamo mwaka 2024 ama zaidi ya hapo. Nikirudi...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania CAG: Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere umekamilika kwa 48% badala ya 94% iliyopaswa. Mafuriko na Uviko vyatajwa kama sababu

    Kwa tuliokuwa tunaulizia mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere ulipofikia, leo CAG ametoa majibu, hauna dalili ya kuisha, ndio kwanza umefikia asilimia 48, kwa hesabu za asilimia maana yake hata nusu haujafika. Ujenzi wa mradi wa ufuaji umeme wa Mwalimu Nyerere ulianza mwaka 2019 na...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania App za Mange Kimambi na Yerricko Nyerere zinawezaje kuvuka vikwazo vya google?

    Google wanataka kama una app inayofanya in app purchases, kama kulipia subscription au digital goods zingine basi ni lazima kulipa kulipia kwa google play billing system. Walitoa deadline mwezi wa 9 2021. Hawaruhusu malipo kufanyika nje ya app. Kwenye huu mfumo wao wanakata 30% Huu mfumo siyo...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 100 ya Baba wa Taifa Mwalimu JK Nyerere: Tumkumbuke pamoja baadhi ya aliokuwa nao

    Nimekaa toka asubuhi na mapema nafikiria vipi tutamkumbuka Mwalimu Nyerere katika karne moja lakini pamoja na yeye tuwakumbuke wenzake ambao baadhi yao hawajulikani kabisa. Nikaingia shambani kwangu kuangalia labda ninaweza kuchimba shina moja la muhugo nikachemsha ninywee chai. Shamba langu...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nyerere alipofungua ‘Dance’ Msondo Ngoma

    Nyerere alicheza Msondo, wewe nani usicheze? Miaka 56 iliyopita, nazungumzia mwaka 1964, bendi mbili kubwa za Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, zilipiga dansi maalumu la kuchangia chama cha TANU. Bendi hizo ni NUTA Jazz, Msondo Ngoma ambao mpaka sasa bado wapo katika ulimwengu wa muziki...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere ajiuzulu nafasi ya Usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania

    Msanii wa filamu na mchekeshaji, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, leo Ijumaa Machi 25, 2022 ametangaza kujiuzulu nafasi ya usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania(SMT). Asema kuna mambo mengi yenye tija ambayo Taifa linapaswa kuyashughulikia badala ya kuendeleza sakata la kuteuliwa kwake.
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nyerere ndiye aliyeshauri umri wa kuanza shule uwe miaka 7

    Kwenye kitabu elimu ya kujitegemea Mwalimu Nyerere alitoa hoja nyingi juu ya mustakabali wa elimu yetu. Moja ya hoja yake ulihusu umri wa mwanafunzi kuanza shule. Alisema kuwa kuanza shule na miaka 5 au 6 haifai sababu mtoto anamaliza na miaka 12-13. Umri ambao hawezi kuwa na manufaa yoyote...
  12. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Ndugulile aitaka Serikali kuondoa Tozo za Daraja la Nyerere (Kigamboni)

    Wakuu hi tozo ikiondolewa wakazi wa Kigamboni itawapunguzia Sana Ukali wa Maisha. Mbunge wa Kigamboni Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) ameitaka Serikali kuondoa tozo za Daraja la Nyerere lililopo Kigamboni na badala yake Serikali ibebe mzigo wa deni la mkopo wa NSSF. Ndugulile ameyasema haya leo...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Basata Yampiga Stop Steve Nyerere

    Baraza la Sanaa (BASATA) limesema kuwa Msemaji wa Shirikisho hilo aliyeteuliwa, Steven Mengere asianze kutekeleza majukumu yake hadi hapo itakapoamuliwa na Baraza hilo. BARUA YA BASATA KWA KATIBU MKUU (FID - Q) WA SHIKISHO LA MUZIKI Tafadhali rejea somo tajwa hapo juu. Baraza la Sanaa la...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Pichani Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipotembelea Vatican 1963

    Rais was kwanza wa Tanzania Mwalimu Nyerere alitembelea Vatican 1963 na kuonana na Baba Mtakatifu.Papa Yohane VI Nimekuwekea picha
  15. econonist

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere kathibitisha umuhimu wa Tume huru ya Uchaguzi

    Leo katika press conference yake Steve Nyerere ambaye ni kada wa CCM alijadili mambo mawili ya msingi na kudhibitisha kwamba Tume Huru ya ya uchaguzi haipingiki. 1. Kwanza kahoji kama Mbunge wa Muheza kupitia chama cha CCM, Mh Mwinjuma alishinda kihalali. Hili ni muhimu, ina maana kuna Wana...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri aagiza BASATA kushughulikia mgogoro wa uteuzi wa Steve Nyerere na Wasanii

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa, leo Jumanne Machi 22, 2022 amemwagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo kulitaka Barasa la Sanaa Tanzania (BASATA) kuwaita viongozi wa Shiriko la Muziki Tanzania kuhusu mgogoro unaoendelea wa Steven Nyerere kuteuliwa kuwa msemaji kisha...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi

    Steve Nyerere anazungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Machi 22, 2022 “Nawashukuru wasanii wenzangu na Watanzania wote kwa mchakato ambao ulikuwa unaendelea na bado utaendelea. “Muungano na ushirikiano wetu ndiyo utatutoa na kutufikisha mbali, kama tukishikamana tukatoa mioyo yetu chuki...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

    Shirikisho la Muziki Nchini Tanzania ambalo Fid Q Ni katibu Mkuu, lilimtangaza Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote nchini. Wasanii wamaupinga huu uteuzi na kudai wanataka Kusemewa na Mtu anaejua Changamoto zao na sio Steve ambae ni Mwanasiasa na Muigizaji. Wasanii Wameonekana kutokua...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Video: Suala la Steve Nyerere na Shirikisho la Muziki vita kubwa ya kisiasa nyuma ya pazia

    Sakata la Steve Nyerere kuibua zengwe baada ya kuteuliwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki nyuma yake kuna siasa ambayo inaendelea kuutafuna mgogoro huo. Hii hapa ni video jinsi ambavyo Bushoke ameonyesha wazi kuna tatizo kubwa la kisiasa katika suala hilo. Video: Global TV
  20. mwandende

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere asema bado ni Msemaji wa Shirikisho la Wanamuziki Nchini, hajaondelewa na hajajiuzulu

    Michango ya misiba/Mambo mbali mbali yanayohusu wasanii. Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom