nuru

Sara Nuru (born 19 August 1989) is a German fashion model and entrepreneur. She was the winner of the fourth cycle of Germany's Next Top Model.
Since 2016, Nuru has been running nuruCoffee, a fair trade coffee company, and supporting Ethiopian women with microcredits through her non-profit nuruWomen.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Je, Dunia ni battle field ya UJASUSI kati ya ufalme wa Nuru vs ufalme wa Giza?

    Salaam shalom!! Maandiko yanasema vita na uasi ulitokea Mbinguni, ndipo Dunia ikaumbwa tukaletwa hapa Kisha shetani pia akatupwa huku tulipo Ili vita iendelee, Tafsiri hapo ni kuwa, battle ground ya vita ilihamishiwa duniani, sasa twende mbele kujua mambo kadhaa wa kadhaa. Mifumo yote ya...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Luis Armstrong: Musicians do not retire. They just stop playing.

    Frank Sinatra, John William Coltrane, Miles Dewey Davis au Dean Martin, wengine wanaweza kusema kuwa kuna mwamba Nat King Cole, au wakati mwingine Bing Crosby ila binafsi acha nimtaje Mzee wa kazi Louis Daniel Armstrong maarufu kama Satchmo ama Pops, moja ya wanamuziki wakubwa waliotumia vyema...
  3. FORTUNE JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najiona maisha Yangu yakikosa nuru kabisa na kuelekea ukingoni

    Wakuu habari, poleni na majukumu ya kila siku. Ni hivi wadau kila nikishika simu yangu nakuiona app ya JF napata hasira natamani kupigiza simu yangu chini, Maana bila platform hii huwenda maisha yangu yangekua na amani na matumaini. Mimi sio mdau saana wakuandika nyuzi humu JF lakini...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Rais Samia hapa Duniani yameleta Nuru kwa mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu wamezaliwa na kuwepo hapa Duniani kama vyombo vitumiwavyo na Mwenyezi Mungu kuvusha,kuponya,kuokoa,kufuta machozi, kufariji na kuwapa matumaini watu wake.kuna watu Mungu yupo ndani yao na aliwaumba kwa makusudi maalumu na anaendelea kuwalinda na kuwainua ili...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya serikali na CHADEMA mustakabali wake ukoje kwa hali ya sasa ya utendaji wa polisi?

    Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu, kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli. Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa...
  6. Surya

    JamiiForums Tanzania Tumikia ufalme wa nuru / Tumikia Ufalme wa Giza

    Ufalme wa giza na ufalme nuru ni falme mbili ambazo mwanadamu akitaka kuingia na kufanya kazi katika moja ya hizi falme ni lazima awe na uwezo wa kuingia Ulimwengu wa Roho. Ulimwengu wa roho (Spiritual realm) Kwa akili ndogo ya kibinadamu tunakutana na mambo mengi sana ambayo yanashangaza...
  7. D

    JamiiForums Tanzania DP-World nuru ya kuboresha utendaji na ufanisi katika sekta ya Bandari nchini Tanzania

    Wadau wote na waungwana! Mchakato unaendelea katika kufanikisha kuingia mkataba na kampuni ya DP World ni jambo jema ambalo litaleta Mapinduzi makubwa katika sekta ya Bandari nnchini. Hayo maneno yote yanayosemwa kuhusu ujio wa DP World ni hisia tuu bila ya kuwa na uhalisia wowote na ndio...
  8. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mh. Nuru kuweka mwangaza gizani

    Mh. Nuru kuweka mwangaza gizani Katika Kijiji kimoja cha Tutafika , nchi ya Gizani, kulikuwa na kiongozi wa kipekee aliyeitwa NURU GIZANI, Jina lake lilimaanisha "kufunuliwa au kuondolewa Kwa maskini" ambapo Gizani ni umaskini na shida zote ", na Nuru ni ujasiri na kujituma kwake. Alivutia na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumeona nuru

    Asilimia kubwa ya Watanzania tumefurahi baada ya kuona Rais Samia Suluhu anasimamia haki kwa Watanzania wote amesema Uwepo wa amani nchini ni chachu ya maendeleo ya kijamii, kisiasa. Mara nyinyi panatokea uvunjifu wa amani, ni kwamba haki imepotezwa, na haki ikipotezwa na amani inakuwa haipo...
  10. AVIC3NNA

    JamiiForums Tanzania About Nuru, A Swahili Programming Language

    This post intends to show the origins of Nuru, its purpose, what it can be used for, what it should not be used for and the potential future of the programming language. Background This language is the direct child of a programming language called "Monkey Language" made by Thorston Ball. He...
Back
Top Bottom