nssf

NSSF
The National Social Security Fund (NSSF) is the government agency of Tanzania responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds of all employees in all sectors of the Tanzania economy that do not fall under the governmental pension schemes.

The NSSF was founded in 1997 as the successor to the defunct National Provident Fund (NPF).
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Walimu wapandishwa kizimbani kwa kughushi nyaraka ili kupata mafao NSSF

    TAKUKURU Mkoani humo imewafikisha Mahakamani Goldina Peter Minja, Rose Koshuma Msangi na Nicodemus Felician Kavishe. Goldina aliwasilisha nyaraka zenye maelezo ya uongo ya "Ukomo wa Ajira yako" Rose aliwasilisha nyaraka zisizo za kweli ili alipwe mafao ilihali bado ni mtumishi, na Nicodemus...
  2. S

    JamiiForums Tanzania NSSF Tanga badilikeni, wahudumu mnaonesha chuki kwa wateja

    Nimefika pale kuulizia huduma fulani lakini hakuna wahudumu wa kutosha (dirishani yupo mhudumu mmoja tu) foleni ni ndefu mno. Chumba kimejaa wateja lakini wahudumu wanajipitishatu na visuruali vyao, majibu yao ya hovyo. Watumishi wa hiyo ofisi wanachukulia wateja kama ombaomba. Hamjui kama kuna...
  3. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Ukienda NSSF kupata huduma lazima umkumbuke Hayati Magufuli

    Ukienda NSSF tawi la kinondoni ubungo plaza utatamani Magufuli afufuke. Hakuna anaejali. Unasikilizwa kwa mbinde. Meneja hapatikani. Ukienda posta utachoambulia ni majibu ya hovyo utaambiwa sasa sisi tufanyaje! Hii ni experience yangu nafuatilia hela yangu ya 33%. Hali ni mbaya sana...
  4. kadyuwegeyeson

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo kufungua madai yangu NSSF

    Habari wadau Ninataka kwenda kufungua madai NSSF ya kuachishwa kazi. Je, inatakiwa nienda na nini ambayo vinaambatanishwa na fmu yangu ya madai maana ninafunga safari kwenda Ofisi za NSSF.
  5. Ngaliba Dume

    JamiiForums Tanzania NSSF mnawatesa Wajawazito wa Fao la Uzazi; Customer Care mbovu ofisi za Ubungo

    Ni week ya sasa Wajawazito katika ofisi mbalimbali za jiji la Dar es Salaam hawapati huduma,iwe Ubungo au Ilala kwa wakazi wa Dar es Salaam. Inaenda karibu week ya pili sasa kwa wajawazito ukienda kwenye ofisi za NSSF kwa ajili ya Fao la Ujauzito ni kero tupu,sababu mara mtandao unasumbua mara...
  6. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

    Julian Assange The Whistle Blower,Alishawai kusema kwamba Taifa lolote ambalo halina wapaza sauti KWA maslahi ya wengi basi ni Taifa legelege, Nimefanikiwa kuipata inside story isiyo na mashaka hata chembe kutoka ndan ya shirika la Taifa la hifadh ya jamii Nssf hakika kweli sikio la kufa...
  7. mkurya org.

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wote wa KIRIBO LTD mafao yetu hayaonekani kwa miaka 4, NSSF mlikuwa wapi?

    Wanajukwaa poleni Sana na Majukumu, Mimi hapa ni miongoni mwa wafanyakazi wa kampuni ya Kiribo Ltd iliyopo wilaya ya Tarime mkoa wa Mara. Kwa taarifa rasmi kuhusiana na kampuni yetu tulisimama kazi tangia mwaka Jana mwezi wa saba ila tangia tulivyosimama kazi hatujawahi pewa haki zetu au...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Meya Raibu kaa kimya usifiwe au tenda haki uchukiwe

    KINACHOMTESA MEYA JUMA RAIBU NI KAZI ZAKE Anaandika Mwinjilisti Mathayo Chamshama Trending news ya sasa katika siasa za kaskazini ni Juu ya kinachoitwa "Uchotwaji wa Milioni 150 za Benki ya KCBL" ambapo anatuhumiwa Mstahiki Meya wa Moshi Mhe Juma Raibu Juma, ambae ni mteja wa Benki hiyo wa...
  9. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Zitto kabwe: Mradi wa NSSF wa kiwanda cha kuzalisha sukari Mkulanzi kilichogharimu Tsh bilioni 130 hakijazalisha hata tani moja mpaka sasa

    Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250. Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1. Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, naona kuna haja ya kulitazama upya Fao la Kujitoa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii

    Poleni Watanzania. Kwako Mama Samia Suluhu, nakuomba sana uturudishie haki yetu iliyopotea ghafla ya fao la kujitoa NSSF. Nakuomba sana futa sheria kandamizi dhidi ya Wafanyakazi. Mtu anaacha kazi kafanya miakaa 15 au 20 halafu unakuja kumwambia asubirie mpaka afikishe miaka 55 au 60 je hii ni...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ni siku ya tatu Sasa NSSF, mfumo wa kuangalia Salio au taarifa kupitia Simu haufanyi Kazi

    What is going on hapo NSSF. Ni siku ya tatu Sasa mfumo wa kuangalia Salio au taarifa kupitia Simu haufanyi Kazi. Kulikoni? Jana nilikuwa NSSF Ilala(Boma) watu ni wengi wanalalamika wakitaka kujua mbona mfumo wa kuwapa taarifa za akaunti zao unasumbua isivyo kawaida, Cha Ajabu wanajibiwa hovyo...
  12. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtumishi wa NSSF alilipwa milioni 26 za uhamisho akitokea HQ Posta kwenda ofisi za NSSF Kinondoni Dar

    Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM. Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Panya kafia kabatini Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    likuwa hospitali ya Temeke. Nilimuona mama mmoja mtu mzima na ambaye aliwahi kunihudumia wakati nasoma UDSM. Saa sita wakati natoka nikamuona bado amekaa palepale. Kumuuliza akasema alistaahafu na anamsubiri mtoto wake ili amlipie apate huduma kwani baada ya ajira alitakiwa aongeze pesa...
  14. Peasant educator

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Hayati Magufuli kwa NSSF

    Habari wadau. Katika sera za Hayati Magufuli kuelekea uchaguzi wa oct2020 alitoa ushauri kwa NSSF kutowekeza tena kwenye makongo na kuwekeza kwenye ujenzi wa viwanda. Tathmini ndogo tu iliyofanyika ila sijachapa hii report, jengo la mlimani la blue (PPF tower km sijakosea) liligharimu about...
  15. J

    JamiiForums Tanzania TPA madudu matupu, PSSSF imefilisika, NSSF haina fedha, TASAC ubadhirifu mtupu sasa hawa CHADEMA wanapigana na Ufisadi gani?

    Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe. Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza. Yaani kote...
  16. F

    JamiiForums Tanzania William Erio: Mwisho wa Enzi kwa Boss wa NSSF au Mwanzo Mpya?

    Mr. William Erio ambaye leo ameondolewa katika Cheo cha Mkurugenzi Mkuu NSSF si jina geni. Amekuwa katika cheo kikubwa cha Mkurugenzi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa muda mrefu toka mwaka 2002 alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa PPF hadi mwaka 2018 alipohamishiwa NSSF baada ya kung'olewa Prof...
  17. MountFX

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata mafao ya NSSF nikiwa na namba bila kadi

    samahani sana wana jf nilikua nahitaji msaada wenu kidigo kwa yoyote anaye jua, Nimekua nikijiuliza sana kuhusu swala la NSSF. mimi nilikua mfanya kaza katika company furani hapa dar es salaam na nimetumikia hapo kwa miaka miwili mwaka wa kwanza sikuingizwa katika system ya nssf lakini...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Naomba niweke wazi kwa wale wanaodhani ya kwamba hela iliyopo NSSF ni ya Serikali

    Habari, fedha anayokwatwa mwanachama wa NSSF siyo ya serikali bali serikali inaisimamia tuu mifuko hii. hii fedha ni fedha ya wanachama. Nashindwa kuelewa pale Mtu anaposema watanzania tunapenda vitu vya bure. Naomba nikuelimishe kidogo wewe unayesema tunapenda vitu vya bure. Kama kazini...
  19. abdumadutz

    JamiiForums Tanzania NSSF mnanifanyia dhulma haki yangu

    Dhutous!- injustice (absence of Justice), or violation of right or of rights of another; unfairness; unjust act. Wapendwa, nilikuwa mwajiriwa katika moja ya kampuni za ujenzi hapa Dar es salaam. Ajira yangu ilikoma mwezi wa tisa 2020. Muda wote nikiwa kazini akaunti yangu ya NSSF haikuwa na...
  20. UKARIMU

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuishtaki NSSF kwa kutolipa mafao ya wanachama?

    Kuna uwezekano kisheria kuishitaki NSSF mahakamani kwa kutolipa mafao ya mwanachama kwa wakati na ilipe fidia ya madhara aliyopata mwanachama kwa mafao yake ' kushikiliwa' na NSSF pamoja na gharama ya kesi? Naomba kufahamu hili.
Back
Top Bottom