nssf

NSSF
The National Social Security Fund (NSSF) is the government agency of Tanzania responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds of all employees in all sectors of the Tanzania economy that do not fall under the governmental pension schemes.

The NSSF was founded in 1997 as the successor to the defunct National Provident Fund (NPF).
  1. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NSSF

    Habari zenu Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu Hivi account ya NSSF status kwenye salio ikishasoma 0.00 Tshs huwa inachukua siku ngapi mpaka kulipwa?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye uzoefu mikopo ya Azania bank kwa wanachama wa NSSF

    Wakuu nawasalimu. Naomba kama Kuna mtu ana uelewa na Hili anisaidie. Azania bank wanatoa mikopo kwa wanachama wa NSSF. Kama mtu aliachishwa kazi kipindi cha janga la Corona kwa sababu kampuni iliamua kupunguza wafanyakazi na hakutoa mafao yake NSSF na ameamua kutokuajiriwa tena anaweza kupata...
  3. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa waliochukua malipo ya NSSF hivi karibuni

    Habari zenu wakubwa kwa wadogo Naomba kuuliza, wiki iliyopita nilirudisha fomu yangu ya madai NSSF na baada ya kufanya uhakiki wao wakanambia kwamba siku flani niangalie kwenye akaunti yangu ya benki nitakuta hela imeingia. Kwakua mpaka natoka pale na akili nayo ilikua imechoka kiasi kwamba...
  4. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuangalia kama hela yako inawekwa NSSF kwa njia ya mtandao?

    Habari wakuu Hivi ni namna gani unaweza kuangalia kama mwajiri wako anaweka hela NSSF kila mwezi online ,yaani Kama Kuna app ,au kwenye ya website ya nssf hio huduma ipo ?. Naomba kujua na ni kwa namna gani
  5. sungura23

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa taratibu za kukomboa mafao NSSF

    Habari wakuu? Natumaini wote ni wazima. Wakuu naomba kwa mwenye kufahamu taratibu za kukomboa (to claim) mafao ya NSSF iwapo mtu ulikuwa unafanya kazi na mwajiri alikuwa akipeleka michango. Mwaka 2017 hadi 2019 nilipata fursa ya kufanya kazi kwenye sekta ya masuala ya hospitality. Mwajiri...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kuvuka daraja la Kigamboni iwe bure, then NSSF walipwe na Serikali kwa riba kama mikopo mingine

    Huu hautakuwa mkopo wa kwanza kwa NSSF kuutoa kwa Serikali, Mabibo hostel, General Tyres upgrading, Machinga Complex na miradi mingine mingi isiyo na tija imepata mikopo toka NSSF, iweje kwa daraja la Kigamboni isiwe tu mkopo na ukalipwa taratibu na serikali kwa riba? Hii itapanua wigo wa...
  7. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nauli na mafao ya askari wastaafu kucheleweshwa ni mateso

    Si kila askari alijiandaa kuwa na kitega uchumi akiwa kazini lahasha, lakini sasa kwanini anapostaafu asipewe nauli ya kumrudisha kwao kwa wakati ili aende apambane na mashamba? Swala hili viongozi na Waziri wa mambo ya ndani alitolea ufafanuzi lakini hamna utekelezaji sijui ni kumbembeleza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka tangu kustaafu, PSSPF wekeni ukweli na uwazi mbele

    Naandika kwa masikitiko makubwa baada ya kupita mwaka tangu kustaafu. Mawasiliano kati yangu na PSSPF sio mazuri na hayaonyeshi ukweli na dhamira njema. Ninawaomba PSSPF mtu akishakamilisha kuwasilisha nyaraka zake na mkazihakiki basi angalau mpeni muda ambao ataweza kupata mafao yake. Kuwaweka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa namna ya kurekebisha michango yangu NSSF

    Ndugu wanajamiiforum, baada ya kufuatilia michango yangu ya NSSF nimekuta michango ya mwaka mzima haionekani katika statement yangu. Nimefuatilia kwa mwajiri wangu na amenijazia form yenye list za michango hizo. Kwa sasa nipo Mwanza na mwajiri Alikua a anapeleka michango katika ofisi za NSSF...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mradi wa NSSF wakulima miwa ya sukari ulifikia wapi?

    Jamani, mimi nilikuwa naulizia hivi ule mradi wa NSSF wakulima miwa ya sukari ulifikia wapi? Mradi wenyewe mpaka sasa hivi umezalisha faida kiasi gani? Miradi ikiwa mingi bila ufuatiliaji wa kuleta tija badae yaweza kuwa shida kwa wanaohitaji pesa yao kama wanachama. Nilisikia tena NSSF...
  11. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini taasisi kama TRA, NSSF, TPA na zinginezo zisiwe na timu za mpira wa miguu?

    Ukiangalia kwa makini kwenye huu ukanda wetu wa Afrika Mashariki na KATI na hata Afrika kwa ujumla wake, soka linaendeshwa sana sana na Taasisi za Serikali, watu binafsi wenye hela na makampuni maana ndo waajiri ambao wana uhakika wa kulipa mishahara na kuhudumia timu kwa uhakika.. ZAMBIA na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waliolipwa madai ya kukosa ajira NSSF

    Wakuu naomba kuuliza swali kwa waliolipwa Madai Yao NSSF. Je, ukilipwa dai lako kuna update yoyote katika User-Portal yako ya NSSF ukilogin? Hasa upande wa Claims Details maana hapa kila nikiangalia ya kwangu sioni mabadiliko yapata mwezi na week moja. Ningependa kujua muda halisi madai...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wizi Mkubwa Ukarabati wa Flati za NSSF

    Kule Masaki NSSF wanafanya ukarabati mkubwa wa gorofa zake. Ukarabati huo unahusisha uvunjaji na kubadilisha madirisha na magrill, kupaka rangi n.k. lakini kazi hii wanaifanya wenyewe hawakumpa Contractor wala hakuna usimamizi wa injinia wa majengo mwenye ujuzi, wanatumia vibarua wa mitaani...
  14. logan007

    JamiiForums Tanzania Msaada: Makato ya NSSF kwa wafanyakazi wenye basic salary ya Tshs. 300,000

    Habari, Naomba kujuzwa kwa anaejua, je kiasi gani kwa mwenye basic salary 300,000 anakatwa na NSSF?
  15. N

    JamiiForums Tanzania NSSF ni janga, Rais Samia itazame taasisi hii

    Wasalaam, Nimeachishwa kazi mwezi wa 3. Nimeenda kuangalia statement yangu ya michango inaonesha haijawasilishwa na mwajiri wangu kwa miezi 16. Nimefuatilia kwa mwajiri ananipiga tarehe tuu aliniambia atazipeleka. Sasa najiuliza NSSF kazi yao ni nini kama sio pamoja na kuwakagua waajiri na...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunakuomba uingilie kati swala PSSSF na NSSF

    Wakuu napenda kufahamu kama PSSSF & NSSF wamefanya mabadiliko ya kuwalipa wanufaika kwa wakati, vijana wapo mtaani hawana ajira. Mama Samia Rais wetu, yunakuomba uingilie kati hili swala, vijana wengi wanadai mafao yao ambao wangepata hizo pesa wangejiajiri wakati wakiendelea kutafuta kazi ama...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Walimu wapandishwa kizimbani kwa kughushi nyaraka ili kupata mafao NSSF

    TAKUKURU Mkoani humo imewafikisha Mahakamani Goldina Peter Minja, Rose Koshuma Msangi na Nicodemus Felician Kavishe. Goldina aliwasilisha nyaraka zenye maelezo ya uongo ya "Ukomo wa Ajira yako" Rose aliwasilisha nyaraka zisizo za kweli ili alipwe mafao ilihali bado ni mtumishi, na Nicodemus...
  18. S

    JamiiForums Tanzania NSSF Tanga badilikeni, wahudumu mnaonesha chuki kwa wateja

    Nimefika pale kuulizia huduma fulani lakini hakuna wahudumu wa kutosha (dirishani yupo mhudumu mmoja tu) foleni ni ndefu mno. Chumba kimejaa wateja lakini wahudumu wanajipitishatu na visuruali vyao, majibu yao ya hovyo. Watumishi wa hiyo ofisi wanachukulia wateja kama ombaomba. Hamjui kama kuna...
  19. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Ukienda NSSF kupata huduma lazima umkumbuke Hayati Magufuli

    Ukienda NSSF tawi la kinondoni ubungo plaza utatamani Magufuli afufuke. Hakuna anaejali. Unasikilizwa kwa mbinde. Meneja hapatikani. Ukienda posta utachoambulia ni majibu ya hovyo utaambiwa sasa sisi tufanyaje! Hii ni experience yangu nafuatilia hela yangu ya 33%. Hali ni mbaya sana...
  20. kadyuwegeyeson

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo kufungua madai yangu NSSF

    Habari wadau Ninataka kwenda kufungua madai NSSF ya kuachishwa kazi. Je, inatakiwa nienda na nini ambayo vinaambatanishwa na fmu yangu ya madai maana ninafunga safari kwenda Ofisi za NSSF.
Back
Top Bottom