no reforms no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Siku hizi mtu akikohoa utasikia 'Kikohozi cha Mama!', ukisikiliza mambo yanayosemwa kuhusu Rais Samia, utadhani tuko Marekani au Uingereza

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akiwa mkoani Morogoro katika ziara ya oparesheni, amesema: "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi, ndiyo oparesheni ya Chama chetu." Ameeleza kuwa: "Nchi hii imejaa propaganda, nchi imejaa uongo, vyombo vya habari...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa wa CCM kuja kukubaliana na CHADEMA juu ya NO REFORMS NO ELECTION

    Upinzani juu ya hili unaweza kuwa mkubwa lakini kwa hali ilivyo na inavyoendelea watakuwa hawana option bali kukubaliana na CHADEMA ili walau wapate nafasi ya kujipanga upya kwa yafuatayo 1. Vikao vya usuluhishi na mapambano ya ndani.. Kama ikitokea leo CHADEMA wakakubali kwenda kwenye...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kina Mama Ulanga, washika mabango yenye ujumbe 'No Reforms, No Election' na 'Tundu Lissu sio Mhaini'

    Kina Mama washika mabango yenye ujumbe wa "No Reforms, No Election" na "Tundu Lissu Sio Mhaini" katika Kata ya Minepa Kivukoni, Wilaya ya Ulanga, wakionesha msimamo wao dhidi ya kile walichokiita hali ya ukandamizaji wa kisiasa na ukosefu wa haki katika mfumo wa uchaguzi nchini kwenye mwendelezo...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Moto wa No Reforms No Election watinga Igima, Mlimba. Wananchi waitika, Heche aongoza Tone Tone

    Moto wa 'No Reforms No Election' wazidi kushika kasi, tazama Mkutano wa saa 4 asubuhi leo Juni 5, Kata ya Igima, Jimbo la Mlimba (Morogoro), uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa John Heche ikiwa ni siku ya Kwanza ya Uzinduzi wa operation ya No Refoms no Election Kanda ya Kati.
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Meya Kinondoni, Songolo: Nchi ina Katiba na Tume Huru ya Uchaguzi, No Reforms No Election haina maana

    Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songolo Mnyonge, amewataka viongozi wa CHADEMA kuacha chokochoko za kisiasa ambazo zinaweza kuhatarisha amani ya nchi, hasa kipindi hiki taifa linapoelekea kwenye uchaguzi. Akizungumza na waandishi wa habari leo baada ya kumaliza uzinduzi wa vijana kuelekea siku ya...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu CHADEMA kanda ya Victoria Zakaria Obad: Tumemaliza kutoa elimu sasa tufikirie tunasitishaje Uchaguzi

    Wakuu, Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria Zakaria Obad akizungumza katika mkutano wa chama hicho jijini Mwanza ambao umewakutanisha viongozi na wanachama wa wilaya za Ilemela na Nyamagana "Tumemaliza hatua ya kwanza ya kutoa elimu, kufanya mikutano ya hadhara... maneno yamesha zungumzwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa ilani ya CCM ya 2025-2030 naiona kampeni ya Nitashiriki uchaguzi kuleta mabadiliko na no reforms no election itakufa kifo cha ajabu

    Acha nianze kwa kutoa angalizo kwanza, Mimi sio mtabairi wala nabii lakini nina kipaji cha kuona na kutazama mbali sana. Ilani ya CCM ya 2025-2030 ni ya mabadiliko ya kweli na inayokidhi matarajio ya wapiga kura na ikiwa imeangazia masuala yote mtambuka ya kizazi hiki na kijacho. Ni suala la...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika: Rais Samia, Mkuu wa Mkoa wametuma Watu warushe drone kwenye majani baadae waseme hatujapata watu

    John Mnyika akiongea na wananchi wa Mbulu muda huu katika ziara yao ya Bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Mbowe asikae pembeni kwani bado tunamuhitaji

    Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob maarufu kama "Boni Yai" akiwa Kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Chadema Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ameeleza kuwa Chama chake kinatambua mchango mkubwa wa Aliyekuwa Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, akimuomba asikae mbali na Chama...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mimi CHADEMA, lakini Injinia Hersi akigombea ubunge naachana na itikadi yangu ya No reforms No Election naenda kumpigia kampeni na kura

    Kwenye hili tusameheaneni tu makada wenzangu wa chadema. Kama mshabiki wa Yanga nitashiriki uchaguzi kama injinia atatangaza nia ya ubunge, na kura ntampa pamoja na Samia. Hayo ma no reform yenu mtajijua nayo Siwezi kumuacha mwananchi m wenzangu, tena aliyetuheshimisha. Dar is yellow.... Huku...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: CZA wa Clouds FM hongera kwako. Mrema ndani ya dakika 3 kapata kigugumizi, kashindwa kuelezea "No Reforms No Election"

    Wakuu, Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana. Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu. Hapa ndo unajua kina Mrema ni project ya CCM na walikuwa ni mapindikizi.
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: No Reforms No Election ukisema kwa Kiswahili unaharibu, sisi hatukutaka kuzuia Uchaguzi

    Aisee katika mahojiano clouds tv yule mwenyekiti wa G55 john mrema baada ya kuulizwa nini maana ya no reform no election kasema imekosa neno la kiswahili. Wazazi wa john mrema kama mlijua mna mtoto hile pesa ya kumsomesha ingekuwa mnatumia kula kitimoto na mbege. === "Tunaamini kwamba lazima...
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yapitisha marekebisho matatu kwenye Katiba ya chama chao ikiwemo vikao vya chama kufanyika kwa njia ya mtandao

    https://www.youtube.com/live/1ItuJDYxY40?si=N0pVPil_hULmcM37 Wakuu, CCM wanafanya mkutano wao mkuu maalum leo na kesho (May 29-30) Dodoma, nadhani an wengine watafuatilia mahala walipo kwakuwa sehemu ni ndogo. Nini kitajili leo, Gwajima hatimaye atavuliwa uanachama? Tutaona yatakayojiri...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania CCM haiwezi kumshughulikia Gwajima kwani amewasaidia kuzorotesha Kampeni ya No reforms no Election

    Mpo salama! Kiukweli baada ya Gwajima kuongea alichoongea kampeni ya No reforms no Election ilipoteana kwenye anga la mitandao ya kijamii. Unaweza kusema Huenda Gwajima ametumwa. Kwa sababu kwa nini atoe kauli hizo wakati huu. Kama ni kutekwa utekaji ulishamiri wakati wa JpM lakini alikuwa...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Matukio katika picha za Uzinduzi wa Kampeni ya No reforms no Election kanda ya Kaskazini

    Matukio katika picha, uzinduzi wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kaskazini leo tarehe 28 Mei 2025, jijini Arusha. Comment ziwe fupi fupi. CCM nawapa Ruhusa kuonesha hasira zenu. Temeni nyongo tuone kiwango cha upumbavu wenu
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche alivyopokewa Kilimanjaro kupeleka No reforms, No election

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeendelea na kampeni yake ya kudai mabadiliko ya sheria za uchaguzi kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, kupitia kampeni yao maarufu ya "No Reforms, No Election" katika Kanda ya Kaskazini. Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Heche: Tunasitisha kampeni za No Reforms No Election kwa muda

  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kauli ya Askofu Josephat Gwajima, agenda ya No Reforms No Election ya CHADEMA yachukua mwelekeo mpya na wenye nguvu zaidi

    https://youtu.be/ncGGFtMJA9A?si=lLgn0JLrDY0nSRgd Nani anaweza kubishia hili? Kwamba, Askofu Josephat Gwajima, mbunge wa CCM jimbo la Kawe - DSM kwa press conference yake ya muda mfupi uliopita, kuwa rasmi sasa ameunga mkono agenda ya NO REFORMS NO ELECTION ya CHADEMA...? Jibu ni Absolutely...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: 'No Reforms No Election' yapigwa na CHADEMA, vyama vingine na Watanzania nao hawaitaki

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema madai ya kwamba kauli ya "No Reforms, No Election" imepingwa na watawala si ya kweli, kwa kuwa kauli hiyo ilianza kupingwa ndani ya CHADEMA yenyewe kupitia kundi la G-55, kabla haijakataliwa na vyama vingine 17 vya...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi

    Chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi. Hakuna mtu atakayeenda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni Rais, hakuna Rais bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia...
Back
Top Bottom