no reforms no election

The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.

View More On Wikipedia.org
  1. Yuko wapi Makonda simuoni kwenye vichwa vya habari au na yeye ni no reforms no ELECTION kama wakina mpina ?

    Yuko wapi Makonda simuoni kwenye vichwa vya habari au na yeye ni no reforms no ELECTION kama wakina mpina ? Makonda amepoa sana kuelekea uchaguzi mkuu vipi anaunga mkono yanayoendelea au haungi mkono.
  2. PreGE2025 Mwanasheria mkuu wa serikali ashangazwa Kauli za No reforms No election, asema reforms zimeshafanyika

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema anashangazwa na kauli ya “No reforms, no election” ikizingatiwa kuwa mabadiliko ya kisheria yaliyopendekezwa na vyama vya siasa tayari yamefanyika. Akizungumza leo Jumamosi Juni 21, 2025, kwenye kongamano la kwanza la kitaifa la kisheria...
  3. Hebu nisaidieni. Kwa tafsiri ya Civil Society Registrar, hii nayo si ni kuhubiri siasa za No Reforms No Election ndani ya kanisa? Mnaona polisi hapo?

    https://youtu.be/0RcWs0IziCE?si=0gxkMRR2MshWJnoT 👉🏻Hivi huyu jamaa aitwaye Kihampa, Msajili wa makanisa huko Wizara ya Mambo ya ndani ameona hii...? 👉🏻Inakuwaje Nabii huyu amtaje taje Rais Samia (mwanasiasa) katika mahubiri yake wakati huyo ni mwanasiasa...? 👉🏻Hakuishia hapo, akaenda mbele na...
  4. F

    PreGE2025 Je, mnajua kwanini serikali ya CCM kamwe haitaki kusikia kauli ya No Reforms No Election? Angalia hapa moja ya sababu kubwa iliyonaswa hivi karibuni

    Moja ya mambo yanayowafanya CCM kutotaka kamwe kusikia kauli mbiu ya CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION ni pamoja na ukweli kwamba tayari CCM wameshatumia mabilioni ya wananchi kuagiza na kuandaa vifaa mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya uchaguzi mwishoni mwa mwaka huu. Hap chini ni moja ya...
  5. Huyu ndio yule kijana aliyepigwa ngumi jiwe alipoenda kufanya vurugu kwenye mkutano wa no reforms no ELECTION wa CHADEMA

    Huyu ndio yule kijana aliye pigwa ngumi jiwe na mlinzi wa chadema alipoenda kufanya vurugu kwenye mkutano wa no reforms no ELECTION wa CHADEMA. kuna video inatrend mitandaoni ikimuonesha mlinzi wa chadema aliye valia suti nyeusi akiwa na upara akamrushia ngumi nzito kijana mwenye t shirt...
  6. PreGE2025 Kampeni ya No Reforms No Election (No-No Campaign) ni Mtego Usionasa? CHADEMA Matatani

    Kampeni ya No Reforms No Elections (No-No Campaign) imeanza kupamba moto. Maneno yake yanasikika vizuri masikioni mwa Watanzania na Watanzania wengi hasa mitandaoni wamekuwa wakirudia kauli hii kuonesha kuunga kwao mkono harakati za mabadiliko nchini. Kauli hii si ngeni katika eneo letu la...
  7. W

    PreGE2025 Msanii Lulu Mapunda anayeiunga mkono ajenda ya 'No reforms No election' huko Instagram amelalamikia kupewa vitisho

    Wakuu hapa tulipofika mbona kama pabaya. Kuna haja gani ya kumtishia kisa tu ameisapoti No reforms, mbona hao chawa wao wanasapoti Oktoba wanatiki na hakuna aliyewatishia? Hakuna haja ya kutishiana wakuu. === "Lulu Mapunda kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Ndugu @saidi8310 umekuja...
  8. R

    PreGE2025 Baada ya Waziri Mwigulu kusoma Bajeti ya 25/26 njoo utuambie kama ni 'No Reforms, No Election' au 'October Tunatiki'

    Wakuu, Bajeti kuu ya serikali Mwaka 2025/2026 inawasilishwa leo Bungeni na Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba, ikieleza mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti mwaka 2024/2025 na mapendekezo ya mpango na bajeti ya wizara ya fedha kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 leo Juni 12, bungeni Dodoma
  9. No reforms no election ya Dodoma ilikuwa ni Tishio kubwa sana kwa Mamlaka

    GT Aisee nimepitia twiter kuangalia ile nyomi ya dodoma yaani makao makuu ya nchi na bunge, kwa kweli sijshangaa chadema kupigwa stop, watu waliitwa wakaitika hakuna mfano. Ukweli usemwe tu kwa sasa watanzania kuna kitu wanahitaji ambacho CCM hawana, ni suala la mda tu hizi sarakasi za CCM...
  10. Wakili Wasonga: 'No Reforms No Election" sio Uhaini, Serikali iache Ugomvi na Vyama vya Siasa

    Wakili Godfrey Wasonga ambaye anadaiwa kuwa ni mwanachama kindakindaki wa CCM lakini anayaona mamho tofauti kabisa na wakubwa wake wa chama. Wakili Godfrey Wasonga anasema Lissu sio Muhaini. Anasisitiza kuwa kusema No Reforms No Election, hakuwezi kuwa Uhaini. Wakili Godrey Wasonga...
  11. PreGE2025 Vyama Vya Siasa Tumieni Majukwaa yenu ya kisiasa kuhubiri kuhusu mazingira

    wakuu Ivi karibuni kumekuwa na mikutano ya vyama siasa ila sijasikia kuhusu mazingira? Hawa akina Heche,Makala,wasira na Lema wanaosema kuhusu ajira,elimu,na barabara na afya wanajua chochote kuhusu mazingira? Hawajui kwamba utekelezaji wa mambo hayo yanahitaji mazingira hawasemi kuhusu jinsi...
  12. PreGE2025 Msigwa: Sikusema 'Wanao-comment NO reforms NO election tutawapata'

    wakuu ni kweli hakusema? maneno ya "wanao comments No Reforms No election tutawapata" ===== Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Msemaji mkuu wa serikali ameandika; "Sikusema maneno haya katika taarifa yangu ya jana, Ndugu zangu Waandishi wa Habari tuzingatie USAHIHI (ACCURACY) katika...
  13. Video song: No Reforms No Election

    Hii Ngoma imeachiwa huko YouTube channel Ama kweli No Reforms No Election ni moto wa nyika huu na definitely ndio habari ya mjini na duniani kwa sasa... Actually kama ulisoma Fasihi shuleni na ukaambiwa kuwa; ".......Literature is a reflection of social realities...." Basi maudhui ya wimbo...
  14. PreGE2025 POTOSHI Heche asema operesheni ya 'No reforms No Election ni ya kijinga sana, ni ya hovyo

  15. PreGE2025 Balozi Dkt. Bakari asisitiza Vijana kuepuka Wanasiasa wavurugaji, ataka wasiyumbishwe na 'No Reforms No Election'

    Balozi Dkt Mohamed Bakari, Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Wazalendo Huru, amewasisitiza vijana kuwa wazalendo na kuhimiza wawe makini na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, akisisitiza waepuke wanasiasa wenye lengo la kuvuruga amani ya Tanzania, badala yake amewahusia kuwa wazalendo wa...
  16. Wakili Wasonga: Mlalamikaji kesi ya Tundu ni nani? Kama kusema No Reforms No Election ni shida kwa CCM, basi nao waje na No Reforms Yes Election 2025

    https://youtu.be/ObaBimC3_F4?si=lVSHh2jVaLXV67Ta Huyu wakili inabidi ajiandae Kutekwa na kikosi kazi cha Abdul na Mchengerwa.. Hajui kuwa ni marufuku kusema haya maneno? Mtazame, msikilize. Toa maoni yako
  17. W

    Vuguvugu la 'No Reforms, No Election' linatafutiwa kila sababu ili likomeshwe, kwanini wanakiogopa chama ambacho wanasema kinaenda kujifia?

    Wakuu Naona Serikali ni kama inatafuta kila njia ili wapate kuisimamisha CHADEMA katika harakati zake za kuzuia uchaguzi. Tuliona asubuhi waraka wa msajili akivitaka vyama vya siasa kufuata na kuheshimu sheria katika mikutano ya hadhara na hapa kwa kiwango kikubwa tunajua kuwa lengo lilikuwa...
  18. Secretarybird nahitaji ushauri nasaha, no reforms no election imenitia matatani

    Asalamaleku wakuu! Wakuu naombeni mnipe ushauri Kwa hili lililonitokea maana yaonekana nimejichanganya na masikitiko pamoja na majuto yamenijaa hadi pomoni. Kama mnavyojua sasa hivi Kuna vuguvugu la "no reforms no election" na mimi ni mmoja wa mtu ninayeunga mkono hii movement na katika...
  19. PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa...
  20. Ajenda ya No Reforms No Election inawapiginisha Chadema katika mikutano ya hadhara

    Wingu zito la mgogoro ndani ya CHADEMA juu ya wanaounga mkono na wanaopinga Kampeni ya No Reforms na No Election limeendelea kutanda na sasa limefikia hatua mbaya zaidi, wameshindwa kuuficha mgogoro wao na sasa wameamua kuchapana makonde kwenye mikutano ya hadhara. Chokochoko zilianza kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…