no refom no election

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    PreGE2025 Bariadi nayo yafikiwa na Neema ya No Reforms No Election

    Wala haikuwa kazi ngumu kuwaelimisha watu wa Bariadi kuhusu Mpango huu, hii ni kwa sababu hakuna Mahali popote kwenye Nchi hii ambako hakuna Makaburi ya wanachadema waliouawa kwa sababu ya Uchaguzi. Kwahiyo kilichofanyika ni kuwaonyesha tu Makaburi hayo na watu wakaelewa kwamba kumbe mpango huu...
  2. L

    PreGE2025 Video, Musoma kwa kauli moja: "No Reforms, No Elections" - Msimamo wa Nchi

    Musoma wa Unga: "No Reforms, No Elections" - Msimamo wa Nchi Hali ya kisiasa Tanzania inazidi kuwa ya mvutano huku chama cha upinzani cha CHADEMA, hasa Musoma, Mara, kikichukua msimamo thabiti wa "No Reforms, No Elections." Kauli hii inamaanisha kwamba bila marekebisho ya katiba na sheria za...
  3. Pascal Mayalla

    Ushauri wa Bure kwa Wafuasi wa NRNE, Hope for the best but get prepared for the Worst. Msidanganywe na Nyomi, mtashangaa. Hakuna atakayesusia Uchaguzi

    Wanabodi Angalizo la Uchangiaji Naomba kuianza hii mada kwa angalizo la uchangiaji, JF ilipoanzishwa,it was ment to be the home for great thinkers。 Simple mind discuss people Ordinary mind discuss events Great mind discuss idea Mada iliyopo mezani ni NRNE,ya Chadema ,hii ni mada ya ideas ya...
  4. Erythrocyte

    Hii hapa ni Picha kabambe ya Wiki, Imepatikana Sengerema

    Huyu hapa ni Mtu mwenye Ulemavu aliyepambana kusogea hadi Jukwaa Kuu ili Kuchangia Tone Tone ya Chadema, Michango ya Tone tone inawezesha Chama hicho kujiendesha, kununulia mafuta ya magari ili Viongozi waweze kufika kila kijiji Imezoeleka kwamba Mara zote Walemavu wamekuwa watu wa kupewa...
  5. Z

    PreGE2025 Mwisho wake ni nini. Maana CCM na vyama vingine vinasema tuanaendelea na uchaguzi CHADEMA pekee inasema no reform no election

    Sijajua mwisho wake nini Maana CCM na vyama vingine vinasema tuanaendelea na uchaguzi ,CHADEMA pekee inasema no reform no election. Kibaya zaidi CHADEMA iko disquualified kushiriki uchaguzi.lakini wanaendelea na campain yao kwamba no reform no election.kwa maana hiyo siku tume huru ya uchaguzi...
  6. Erythrocyte

    PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Buchosa, Shigongo akalia kuti kavu

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Ile Kampeni Tukufu ya Chadema imeingia Sengerema, na bila kupoteza muda ikatua Jimbo la Buchosa, Ambako kazi kubwa ya Mbunge wake anayeitwa Shigongo ni kuhudhuria Misiba na kusaidia wananchi wake vifaa vya kuchimbia Makaburi kama machepeo na sululu. Kupata...
  7. O

    PreGE2025 Maana ya No Reforms, No Election kwa lugha ya kienyeji!

    Hii inahusu upatikanaji wa wawakilishi/viongozi wetu hasa katika vyombo wa Bunge, Madiwani na Urais. Katiba yetu inaelekeza kwamba kutakuwa na Bunge kwaajili ya kuwakilisha wananchi katika ngazi ya Taifa (Bunge)na Baraza la madiwani ktk Halmashauri na Rais. Na kwamba wawakilishi wetu hawa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dkt. Lwaitama awashangaa G55, awapa dongo zito, "No reforms, No election"

    Dkt. Lwaitama awapiga za uso G55, awapa elimu nzito ya utofauti kati ya cheo cha kuteuliwa na kuchaguliwa, asisitiza 'no reforms, no election' Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
  9. Erythrocyte

    PreGE2025 No Reforms No Election yatikisa Bukoba Mjini, CHADEMA yanyimwa uwanja, Mkutano wapelekwa umbali wa KM 2, Wananchi Wafurika

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Chadema bado iko Bukoba, ambako leo walikuwa na Mkutano kabambe Bukoba Mjini, Wakanyimwa Uwanja na kupelekwa mbali Pembezoni mwa Mji. Eneo walilopewa lilijaa madimbwi, hata hivyo wananchi wakajaa na kusimama ndani ya madimbwi hayo hadi yalikauka yenyewe. Ushahidi...
  10. Nipe Maji

    PreGE2025 Mbunge wa Korogwe vijijini aitaka serikali kutoa elimu ya sheria, awanyooshea kidole wanaosema 'hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi'

    “Kwa masikitiko sana wako watu wanaozunguka huko mataani kuwadanganya Watanzania na wanawaambia kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi, kimsingi Naibu Spika ukiangalia mabadiliko wanayoyasema ni mabadiliko ambayo mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa utashi wake mkubwa wa kisiasa aliamua...
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Salome Makamba: Utafanyaje reform kama hata mchakato wenyewe wa kubadilisha sheria haujafanyika?"

    "Tusipotoshe umma kutaka kutekeleza jambo ambalo tunajua hata wale wanaopendekeza hawajatekeleza wajibu wao. Utaratibu wa utunzi wa sheria unasema mtu binafsi, Mbunge au Wizara yenye dhamana wanaweza kupeleka mapendekezo ya mabadiliko ya sheria serikalini na ukipeleka serikalini mapendekezo yale...
  12. Erythrocyte

    PreGE2025 Maandalizi ya Mikutano ya No Reforms No Election Kanda ya Kati yamekamilika, Moto Utawaka muda wowote kuanzia sasa

    Taarifa kutoka Chadema Makao Makuu zinaeleza kwamba, Maandalizi ya ile kampeni Takatifu ya No Reforms No Election Kanda ya Kati yamekamilika. Taarifa iliyonaswa na Mleta Mada huyu hii hapa.
  13. I

    'NO REFORMS, NO ELECTION': Manifestation of the Opposition's Half Baked Political Suicide Mission

    ▪︎Back to the roots Tanzania's main opposition party CHADEMA bore the 'No reforms, No election' campaign with the said aim of sabotaging the calendered elections expected to be held in October this year. With the party's newly elected cream of leadership led by party's now chairman Mr. Tundu...
  14. DaudiAiko

    PreGE2025 Kanuni za maadili ya uchaguzi zinatoa tafsiri yakutosha kuhusu utaratibu wa uchaguzi. Msimamo wa "No reforms, no elections" hauna mantiki

    Wanabodi, Harakati ya no reforms, no elections imepamba moto katika kipindi ambacho vyombo vya usalama vinaendelea kuwathibiti viongozi wa Chama cha demokrasia na maendeleo. Jitihada za viongozi hawa kuzuia uchaguzi zinaweza kuwaletea athari kubwa kwasababu harakati hii itahusisha ushawishi wa...
  15. Titho Dyakiye Philemon

    PreGE2025 Kama Katiba yetu ya CCM inaruhusu Mageuzi (Reforms), Hao Wana CCM Wanaopinga Reforms kwenye Sheria zetu za Uchaguzi Nchini ni Wanachama wa CCM gani ?

    Ndugu Watanzania, nianze kwa kuwasalimia kwa salamu ya chama changu pendwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Kidumu Chama cha Mapinduzi ..........................! Awali ya yote nitaomba radhi kwa kila Mwanachama wa CCM atakayekwazika kwa hiki ninachoenda kukifanyia uchambuzi. SIKU ZA HIVI KARIBUNI...
  16. chiembe

    Kimsingi, wananchi wanaridhika na hali ya uongozi wa nchi ndio maana wanawashangaa watu wanaoimba No reform-No election

    Chadema wanataka kupika ugali kabla maji hayajachemka. Kesi ya Lissu leo ni kipimo tosha kwamba ajenda yao si ajenda ya wananchi. Hata ukifuatilia mikoani, wanaolia na no reform-no election ni watu watatu tu, Liasu, Heche na Lemma. Viongozi wengine mikoani na wilayani na vijijini walaaaa...
  17. 05CUBA

    PreGE2025 WanaCHADEMA wengi hawana kadi za kupigia kura au hawapigi kura kabisa

    To the point. Japo tupo busy Sana na NRNE Ila ni muhim tungefikiri kuhusu Mambo flan ambayo hutukwamisha katika mabadiriko ikiwa marekebisho yatafanyika na uchaguzi utafanyika kwa uwepo wa CHADEMA. Hapo nyuma nilijaribu kufanya research ndogo kwa vijana wanaoshinda vijiwe tofaut tofaut pale...
  18. uvugizi

    No reform ! No election siasa za chui na kondoo

    Siku Moja katika nchi ya kusadikika kulikuwa na Kundi la kondoo na chui . Makundi haya mawili yalikuwa yanataka UONGOZI wa mji wa kusadikika . Kundi la Chui lilikuwa linaelekea kushindwa kihoja. Kondoo waliona wajiongoze wenyewe bila kushirikiana na chui. Chui alikuja na Hoja , akisema...
  19. Carlos The Jackal

    PreGE2025 CCM kupitia Makalla imesema haina muda wa kufanya mabadiliko

    Jionee mwenyewe Ndugu Mtanzania
  20. Lord Denning

    PreGE2025 Joseph Butiku: Naunga mkono mazungumzo ya Reforms. Kuna rushwa, kuiba kura na Polisi kutumika vibaya

    Dakika 45 leo! Mzee Butiku aunga mkono Reforms na kusema wazi kuna wizi wa kura, rushwa, kufuta wagombea wengine ( ambao hapa ni wa upinzani) na Polisi kupewa maelekezo yaliyo kinyume na Sheria. Mungu wetu ni Mkuu sana. Sasa kunaanza kukucha. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Back
Top Bottom