no refom no election

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sanalii

    Malasusa hawakilishi wakristo wote, vilevile BAKWATA haiwakilishi waislam wote. Wakristo mnaoshambilia waislam acheni mara moja, mtaharibu NRNE

    Kuna kundi la wakristo wakisema waislam sio wapenda haki na kua wanatetea Samia, mara waseme tatiso ni elimu, hii yote ni kutokana na matamko ya BAKWATA, mkiendelea na utaratibu hii mtaifitinisha NO REFORMS NO ELECTION pakubwa sana. Acheni kejeli kuniona nyie mmesoma na kuona wengine hawana...
  2. Sigara Kali

    Kulikua na sababu gani ya kuweka bango lenye picha ya Rais Samia na nembo ya CCM kwenye hii boti?

    Hii safari ya Boti kusafirishwa kutoka Mtwara hadi Mwanza naona inatangazwa sana mitandaoni Cha ajabu sasa kwenye hiyo boti kuna bango limeandikwa UOKOZI ZIWA VICTORIA lakini kuna picha ya Samia na nembo ya CCM Je hii ni kampeni dhidi ya CCM? Na Hii safari naona kama ina lengo la kuwatoa...
  3. The Burning Spear

    Mtanzania Aliyeshuhudia Bunge la 2010 Mpaka 2015 Lazima Akubaliane na No reforms No Election

    GT. Katika Bunge lililovutia kuliko wakati wowote ule ni hilo la 2010/2015 Bunge lilikuwa la moto hatari hoja nzito znito zilikuwa zinatolewa. CCM wakaona hayo yalikuwa ni makosa kuweka Wapinzani wengi bungeni Lakini kiukweli ndio bunge liliokonga nyoyo za watz wote na kuwaamusha hadi leo...
  4. S

    Watanzania wameanza kujitambua, post ya Diamond huko Instagram yajobiwa na maneno: NO REFORMS, NO ELECTION

    Jamaa ka-post video ya show zake watu wanatiririka na comments za NO REFORMS, NO ELECTIONS. Viongozi wa dini kama kina Malasusa na wengineo wajiandae. Tutaelewana tu.
  5. Erythrocyte

    PreGE2025 Morogoro: Mkutano wa No Reforms No Election watawaliwa na Mabango ya "Free Lissu" Tone Tone yavunja rekodi

    Hii ndio Taarifa mpya ya Jioni sana iliyotufikia. Mada ni ile ile wala hatuna haja ya kuirudia, Wananchi wote wamekubaliana na Hoja za Chadema kasoro Abood tu Hali ndio kama unavyoona kwenye eneo la Kiwanja cha Ndege, Morogoro Mjini Tone Tone nayo Yatikisa
  6. Erythrocyte

    Ifakara: No Reforms No Election yapokelewa kwa Kishindo, Wananchi Wakubaliana na Hoja zote za Chadema

    Tuliapa Tangu Mapema sana kwamba, hakuna kijiji kitakachoachwa, na hoja yetu ni ile ile ya kuepusha mauaji kwa sababu za Uchaguzi, na kwamba bila Mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi. Ni heri wafanye watakavyo lakini uhai wa wananchi uwe salama. Kampeni ya Chadema imekuwa Rahisi sana kwa sababu...
  7. Erythrocyte

    PreGE2025 Ratiba mpya ya Mikutano ya No Reforms No Election yatolewa, Angalia siku ambayo Kijiji chako kitapitiwa

    Hivi ndivyo Chadema walivyotoa Ratiba yao kwa Kanda ya Kati Nyingine hii hapa Ni vema ukaangalia siku ya kijiji chako ili usipitwe ukajilaumu
  8. Erythrocyte

    Inadaiwa Wafuasi wengi wa Chaumma walikaa Pembeni ya uwanja ili kuepuka Vumbi la Helikopta

    Hii ni kwa Mujibu wa Salum Mwalimu ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, amedai kwamba kuonekana watu wachache kunatokana na wafuasi wao wengi kukaa pembeni ili kupisha vumbi la chopa ambayo ilitarajiwa kutua uwanjani hapo. Ni bahati mbaya kwamba vibali vya chopa hiyo vimechelewa kutolewa...
  9. Magufuli 05

    Kituko: wenzako wana sera nzuri"No reforms no Election"wewe unakuja na kwanini Hamjaiona Chopper yetu

    What is Chopper? Ni kweli watu wa Mwanza watoke majumbani kwenda kuona chopper? Mmewaona ni wajinga kiasi Gani Hadi mrundikane kuwaringishia chopper? Watu wanataka sera na siyo taarabu na mipasho. Mmepewa uwanja na halafu mnaishia kuongea mipasho tu. Wengine wazee wanaongea macho yamewatoka...
  10. L

    PreGE2025 Video: Wingi wa watu wanaohudhuria mikutano ya "No Reforms, No Elections" unaonyesha ukosefu wa imani katika mchakato wa uchaguzi

    Kwamba wingi wa watu wanaohudhuria mikutano ya "No Reforms, No Elections" unaonyesha ukosefu wa imani katika mchakato wa uchaguzi, na hivyo kufanya uchaguzi ujao kuwa kazi bure bila mageuzi ya maana. Hili linaweza kuashiria hisia za umma kwamba mifumo ya sasa ya uchaguzi haistahili kuaminika au...
  11. Erythrocyte

    PreGE2025 'No Reforms, No Election' yaingia Tanga Mjini. Wananchi wakumbushia Mauaji ya Ally Kibao, CHADEMA yamtembelea Mjane wa Marehemu

    Hii ndio Taarifa ya Jioni hii kutoka Tanga, ambako Baada ya Chadema kuingia ni kama Msiba wa Mzee Ally Kibao ulianza Upya, Kabla ya kuanza kwa Mkutano huo Ukimya wa dk 1 ulitawala ili kumkumbuka Mzee Ally Kibao aliyeuawa na watu Waliotumwa na Wakubwa, ukifuatiwa na dua za kumuombea. Chadema...
  12. Erythrocyte

    PreGE2025 Muheza Nako wajiapiza na kuahidi Ushirikiano, Wasema No Reforms No Election

    Ushahidi Mwanana huu hapa Wadau wakifuatilia Nondo na Spana zinazopigwa bila kujali mvua Pichani ni Pedeshee Maranja Masese akiambiwa Waja leo waondoka mwakani
  13. Erythrocyte

    PreGE2025 Moshi: Hili ndio Tetemeko la No Reforms No Election, Wananchi wote waunga mkono Chadema

    Huwezi kuamini kama hapa ndipo palipozalisha Mamluki Wengi waliojiita G55, lakini hali ndio kama mnavyoiona. Kwa kifupi ni kwamba wale Mamluki Wamepuuzwa kabisa na watu wote zikiwemo hata familia zao. Angalia mwenyewe Hapa ni Moshi Mjini
  14. J

    PreGE2025 No Reforms No Election kwa Kiswahili ni Uchaguzi Hauwezekani Bila Mabadiliko. Ukitafsiri Vinginevyo ni Uhaini hivyo Mrema yuko sahihi!

    Ukilazimisha kutafsiri kienyeji kwamba maana yake ni Hakuna mabadiliko hakuna Uchaguzi unaweza kutiwa matatani kwa sababu kwenye Katiba hakuna kifungu cha kuzuia Uchaguzi Kwahiyo No Reform No Election ni slogan ya kimombo tu ambayo kisiasa lazima itafsirike “ Uchaguzi hauwezekani bila...
  15. Erythrocyte

    PreGE2025 Karatu: Dkt Slaa afunga kazi na No Reforms No Election, Umati wa waliohudhuria wakosa Idadi

    Sasa ni dhahiri Wananchi wote hawataki Uchaguzi bila Reforms, na ndio maana wanaunga Mkono Kampeni hii ya Chadema. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
  16. Erythrocyte

    PreGE2025 Tarakea: Moto wa No Reforms No Election washika kasi

    Huyu Hapa ni Dkt Slaa akifundisha wananchi somo la haki na Demokrasia. Kwa Kauli moja wananchi wote wamekubaliana kwamba bila Reforms hakutakuwa na uchaguzi
  17. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Afande Sele: Kesi ya Lissu imekoleza 'No Reforms, No Election

    Msanii mkongwe wa muziki wa 'HipHop' nchini Selemani Msindi Afande Sele amesema hivi karibuni amekutana na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi ambapo miongoni mwa mambo aliyomweleza ni mashaka yake ya uwepo wa namba ndogo ya wananchi inayoweza kujitokeza kupiga kura kutokana...
  18. Benson Mramba

    Binafsi naona hata Wana CCM wanataka sana reforms labda ni ujasiri tu wa kuziomba au kuzilazimisha

    Binafsi naona hata Wana CCM wanataka sana reforms labda ni ujasiri tu wa kuziomba au kuzilazimisha. Mfano tu mdogo. Mama Samia alikuwa Makamu wa Rais awamu ya tano. Kwa kudra za Mungu akawa Rais. Wengi walidhani anamalizia ile awamu yao ya tano waliyoianza na hayati Magufuli ghafla ikawa ni...
  19. Erythrocyte

    PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Kanda ya Kaskazini, Angalia Ratiba ya Kijiji Chako hapa

    Ile Neema ya Mungu iliyoshushwa kwa ajili ya kuzuia Mauaji ya Watanzania yanayotokana na Uchaguzi usio huru wala haki, sasa inaingia Kanda ya Kaskazini. Hii hapa ni Ratiba kamili
  20. Erythrocyte

    PreGE2025 Shinyanga: Huu hapa ni Mkutano wa No Reforms No Election Katika Kijiji cha Mwakitolyo, Jimbo la Solwa

    Kabla ya yote Baba Askofu Mwamakula akishirikiana na Mashehe wa Shinyanga(Siyo BAKWATA) akiomba Dua Kabambe ili kuondoa nuksi Baada ya Kumtanguliza Mungu, Muumba wa Mbingu na Ardhi, kazi ya kufundisha Wananchi ikaanza Kwa Kauli moja wananchi wamekubaliana na Hoja zote za Chadema
Back
Top Bottom