no refom no election

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Cyprian Musiba Aishauri Chadema Kuweka Mkazo kwenye Changamoto za Wananchi Badala ya Kuzuia Uchaguzi

    Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, amekishauri Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuelekeza juhudi zake katika kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi, kama vile umaskini na mfumuko wa bei, badala ya kuendelea kusisitiza ajenda ya kuzuia uchaguzi, ambayo anaamini haitaweza...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Mgombea Urais wa Chama cha NLD, Hassan Doyo: No Reform, No Election CHADEMA wenyewe hawajaungana

    Wakuu Mtia nia wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha NLD Bw. Hassan Doyo kupitia Crown FM anadai "CHADEMA yenyewe hawajaungana kwenye ajenda ya No reform, No election kwahiyo ni ngumu kuungana nao" Pia, Soma Chama cha NLD champongeza Rais Samia kuteuliwa kuwa mgombea Urais CCM. Viongozi...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Tabora: Wananchi watofautiana juu ya msimamo wa CHADEMA kutishia kuzuia uchaguzi mkuu

    Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Tabora wametoa maoni mseto juu ya msimamo wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema wa kudai watazuia uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu endapo hakutakuwa na mabadiliko ya kisheria, kikatiba, mageuzi ya kikanuni pamoja...
  4. UHURUWANGU

    PreGE2025 No reform No election: sasa ni wakati wa kusimama imara

    Kwa miaka mingi, Watanzania tumeendelea kushuhudia mfumo wa uchaguzi usio wa haki, usio na usawa, na usioakisi matakwa halisi ya wananchi. Tumeshuhudia jinsi mchakato wa uchaguzi unavyotawaliwa na sheria kandamizi, tume zisizo huru, na matumizi mabaya ya vyombo vya dola. Matokeo yake ni kupungua...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 John Heche: Tukishindwa kuzuia Uchaguzi Mkuu, basi CHADEMA hatutashiriki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema "Msimamo wetu upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hatutashiriki uchaguzi" Pia, Soma John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's...
  6. T

    PreGE2025 CHADEMA hoja yenu iwe ni kuzuia wizi wa kura na siyo kuzuia uchaguzi

    Kwa jinsi ninavyoiona hoja ya CHADEMA ya no reform no election haija kaa vizuri inalenga kukiua chama moja kwa moja. Hoja ambayo ni practical na ingekuwa na mashiko ni kuelemisha wananchi wazuie wizi wa kura kwa namna yoyote ile. kuzuia uchaguzi ni kujindaganya ni bora CHADEMA washiriki lakini...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Slaa: Wananchi watazuia Uchaguzi, CHADEMA ni mhamasishaji tu!

    Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa, ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya No Reform, No Election, akisema kuwa si msimamo wa CHADEMA kususia uchaguzi bali kuzuia uchaguzi, na ni wananchi wenyewe ndio watakaoongoza zoezi...
  8. W

    PreGE2025 Makalla: Lissu na wenzake hawana ubavu wa kuzuia uchaguzi

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Akizungumza siku ya...
Back
Top Bottom