Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,865
- 287,912
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Ile Kampeni Tukufu ya Chadema imeingia Sengerema, na bila kupoteza muda ikatua Jimbo la Buchosa, Ambako kazi kubwa ya Mbunge wake anayeitwa Shigongo ni kuhudhuria Misiba na kusaidia wananchi wake vifaa vya kuchimbia Makaburi kama machepeo na sululu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kazi nyingine kubwa ya Mbunge huyo ni kuitisha mikutano ya hadhara ya kuwapiga porojo Wananchi huku akidanganya kama vile ana mipango yoyote, Ila amesifiwa kwa kugawa Takrima ya soda na ubwabwa kwa viongozi wa ccm wa Jimbo hilo ili kuungwa Mkono.
Hili hapa ni balaa lililomsambaratisha na hapa ni Nyehunge
Kiukweli hawa jamaa bila mbeleko ya dola hawachomoi, Yaani wananchi wamewachoka kabisa!