Wale waliolalamikia mifumo mibovu ya wizi, uchafuzi, uhujumu na kukandamiza wengine hawakuwa na nia ya mabadiliko, lengo lao ilikuwa ni wawe sehemu ya watakao kula keki.
Walipoona ugumu wa kupigania watakacho, wakajiunga na upande kandamizi, sasa ni sehemu ya wakandamizaji wakiendeleza uchafuzi...
Toka kuasisiwa kwa kauli mbiu ya No reforms no election(NRNE) iliyopitishwa na kuazimiwa na mkutano mkuu wa CHADEMA huenda ikawa ndiyo operation iliyopokelewa kwa kishindo katika operations zote zilizowahi kupokelewa na jamii ya Watanzania.
Mapokeo yake yamejadiliwa kwa impact hasi/chanya...
Katika wakati ambapo wananchi walioamka wanapaza sauti kwa umoja na msimamo thabiti wakisema NO REFORMS NO ELECTION – yaani bila mabadiliko ya kweli ya mfumo wa uchaguzi hakuna sababu ya kushiriki uchaguzi wa maigizo – chama cha ACT-Wazalendo kinakuja na kauli isiyokubalika ya "Linda kura"...
Hii ndio Taarifa mpya na ya sasa ambayo tungependa uitambue
Unaambiwa baada ya Bendera hiyo kupeperushwa Uwanja wote ulilipuka kwa shangwe na makelele ya No Reforms No Election, Kiasi cha kuwachanganya Waamuzi wa Kigeni waliokuja kuchezesha mchezo huo.
Nachukua nafasi hii kuwapongeza vijana...
Kwa hali ilivyo, Vijana Wasomi ,Wazalendo, Wenye Maono na Uthubutu, ni ngumu sana kwao kua Viongozi kupitia Sanduku la Kura !!.
Ndio sababu unaona Hata hao viti Maalum wanasuguliwa sana Mbunye, yaan ili ateuliwe viti maalumu analazimika Kuchanua mapaja.
Kijana wa Kitanzania Masikini, ni ngumu...
Tundu Lissu alizaliwa tarehe 20 Januari 1968 na alisoma shule ya msingi Mahambe, Singida. Katika miaka yake yote saba shuleni hapo, Lissu hakukubali hata mara moja kuamka alfajiri saa 11 kuwahi namba na daima aligomea kulima mashamba ya walimu, kuwachotea maji na kazi za namna hiyo kwani kwake...
wakuu
Ni kama October Tunatiki imeanza kupenya na No Reforms No election inasahaulika
=====
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Katavi Ndg. Amir Said Katalambula amewasihi Wananchi wa Mkoa wa Katavi kupiga kura za kishindo Kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kutokana na...
Katika siasa, kaulimbiu na propaganda ndizo karata zinazounogesha mchezo wa uchaguzi. Kila mshindani wako anapochanga karata zake, timu yako lazime ichange karata zako. Hiki ndicho kilichotokea kuelekea October 2025.
Wakati CHADEMA wanaendelea na campaign ya No reform no election, CCM wamekuja...
Baada ya hii mikutano ya No reforms No election inayoendelea nchi nzima nilichogundua uungwaji mkono kwa CHADEMA ni mkubwa mno zaidi ya uongozi unavyolichukulia..
Kwa maoni yangu kama chama kitajiwekea mikakati madhubuti ya ukweli na uwazi hiki chama kina uwezo wa kujiendesha bila pesa ya...
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia jioni hii.
Kwamba Baada ya Tangazo la Shetani la kuzuia Shughuli za Chadema kwa Wiki 2, Watu wengi mno wakaamua Kujazana Tabora Mjini.
Unalopaswa kujua ni hili miongoni mwa Waasisi wa kesi ya kuzuia shughuli za Chadema yumo anayeitwa Salum Mwalimu, Ambaye...
No Tundu Lisu No problem makamu mwenyekiti wa Chama Cha demokrasia na maendeleo John Heche, anaendelea kuonesha kuwa yeye sio makamu kivuli wa Chama ni mtu wa mabadiliko.
Wakuu
Manaenda naye?
Hivi ndivyo ilivyokuwa Mchana wa Leo
Wananchi wote wa Nzega wamekubaliana na Hoja zote za Chadema na Wameapa kwamba bila Reforns hakutakuwa na Uchaguzi
Pichani ni Wananchi wa Singida Mjini wakishangilia Spana za Chadema zilizojaa Ushahidi kuhusu Wizi wa kura
Hii ni baada ya Elimu kabambe kutoka kwa Baba Askofu Mwamakula
Baadaye John Heche akaingia ulingoni
Kama hali ni hii ni nani atashiriki uchaguzi?
Sasa hivi kila Kona ya nchi wimbo ni No reforms No election nimekaa nikawaza yakatokea maswali haya hapa
1;Je No reforms No election ni kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au ni kwa ajili ya Tanzania Bara?
2; Kwa mujibu wa Tume huru ya Uchaguzi Chadema imekosa sifa ya kushiriki uchaguzi je...
Katika muktadha wa kisiasa wa Tanzania, msemo "No Reform, No Election" unajitokeza kama kielelezo cha hali ya sasa ya nchi.
Kukosekana kwa mageuzi ya kisiasa na uchaguzi wa haki kunaweza kuwa na madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na kunyimwa misaada na mikopo kutoka kwa jamii ya kimataifa. Hali...
Mtanange bado unaendelea katika mitandao ya kijamii pamoja na kwamba tunatiki oktoba wamepewa bando la bure kuhakikisha wanashindana na wananchi wanaotumia bando lao wenyewe wa No reforms No Elections ubao unasoma tunatiki wamekufa kwa bao 10 kwa 0
Pamoja na serikali nzima kuamia kuhakikisha...
Kuwapa Vijana wa CCM Hela, na kuwatuma kufanya Uhuni kwenye mikutano ya CHADEMA ni kosa linalohatarisha Uhai wa Watu !!.
NAWAONYA, muache tabia hiyo mara Moja.!!.
Mikutano ya CHADEMA ni mikutano ilojaa Wananchi wenye Hisia za majonzi, Mateso na maumivu, Kwa kutekewa Watu wao, kuuliwa watu...
Mwaka 1962, Mwalimu Nyerere aliandika kitabu kidogo cha kurasa 20 kinaitwa TUJISAHIHISHE. Kwa maoni yangu wana CCM ni vema tukajikumbusha maudhui yake ili tulisaidie taifa.
Katika kitabu hiki Mwalimu Nyerere anasema "Ukiondoa matatizo wayapatayo binadamu kwa sababu ya mambo kama mafuriko...
Inatakiwa hii kelele ya NRNE iwe kubwa zaidi ya hii. Na inatakiwa tuanza kuprint karatasi nyingi za NRNE na kuanza kusambazwa mitaani, masokoni, mashuleni, kwenye nyumba za ibada, kwenye kumbi za starehe, na kwenye balozi za kimataifa nk.
Inatakiwa iwe ni kelele itakayoenea nchi nzima kila mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.