no refom no election

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    Kusema "No election" ni kuichezea masharubu serikali

    CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi unafanyika kufuatana na Katiba,kwa hiyo mtu akisema" no election" haitakii mema hii nchi. Hii ni nchi...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Tundu Lissu: Wanasema ‘No Reform No Election’ unaashiria uasi, na tupo tayari kufanya hivyo

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Tundu Lissu, amesema wako tayari kufanya ‘uasi’ ili kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu usifanyike. Lissu ametoa kauli hiyo leo, katika Mkutano kati ya Uongozi wa Juu na Wanachama wenye nia ya kugombea Uongozi mbalimbali...
  3. Lord Denning

    PreGE2025 CCM wamechanganyikiwa. Hali tete sana

    Nimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM. Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM. Kujitokeza kwa...
  4. UHURUWANGU

    Wafanyabiashara, mnaendelea kutafuta pesa lakini mfumo unawagandamiza? Ukitulia leo, kesho biashara yako itateketea!

    Katika jamii zetu, kuna dhana potofu kwamba "siasa si yetu"—kwamba wale waliopo kwenye biashara au waliojiajiri hawaathiriki moja kwa moja na mwelekeo wa uongozi wa nchi. Wafanyabiashara wengi hujikita katika harakati za kutafuta kipato wakiamini kuwa siasa ni jambo la wanasiasa pekee, na hivyo...
  5. Erythrocyte

    Wasirra aonekana akihamasisha No Reform No Election kabla hajalamba Asali

    Akiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm kimiujiza alipata kura 749. Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya...
  6. Erythrocyte

    PreGE2025 Neema ya No Reform No Election Yaingia Kanda ya Kusini, kuanzia Masasi

    Baraka za Idd El Fitri zimfikie kila mmoja wetu popote Alipo, tusherehekee kwa Amani. Baada ya Utangulizi huo Muruwa, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja. Ni hivi, Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election sasa inaingia Kanda ya Kusini, Na kwa Uzuri wa Bahati imeangukia Masasi. Kupata...
  7. Erythrocyte

    PreGE2025 Wadau Wampongeza Joseph Mbilinyi kwa kuandaa Mikutano ya 'No Reform, No Election' yenye hadhi ya Kimataifa

    Ni Wazi kabisa kwamba siasa za kisasa zinahitaji watu wa kisasa, namaanisha wale waliotoa tongotongo machoni mwao, kwa maana ya watu waliotembea na kuona mambo kwenye mataifa mengine kwa kiwango cha Uongozi. Huyu Sugu kabla ya kuongoza kampeni Tukufu ya No Reform No Election, alikuwa ziarani...
  8. Erythrocyte

    PreGE2025 Ratiba: No Reform No Election yahitimishwa Kanda ya Nyasa, Ni Mkutano uliofanyika Iringa Mjini, Msigwa atimua mbio

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election kwenye kanda nzito ya Nyasa imehitimishwa leo Mjini Iringa Pichani ni Tundu Lissu akiwa na Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Bilionea William Mungai wakisalimia Wananchi Taarifa zingine zinaeleza kwamba Baada ya kuona...
  9. Carlos The Jackal

    PreGE2025 CHADEMA mnapoteza Mamilioni ya FEDHA kwenye mikutano ya Hadhara, anzeni kupitisha Makapu mikutanoni Mvune Cash !!

    Kwa Huu Mkutano wa Iringa Mjini, kama Makapu yangepita zaidi ya Milioni 20 ingekusanywa papo papo. Huu utaratibu wa kuchangia Kupitia Simu, Bank , ni mzuri sana, ila unahitaji Elimu , Muda, Upatikanaji wa mtandao n.k. Mbaya zaidi wapo Wananchinwa kawaida ,Wana CCM wenyewe ambao wanaogopa...
  10. Bhikalamba

    PreGE2025 Lissu! No reforms no election ni sawa lakini zingatia haya

    Katika kipindi Cha hivi karibuni Chadema wamezindua kampeni ya 'No reform -No election' (NRNE). Lissu kama mwenyekiti na icon ya chama amejikita zaidi kuelezea ubovu wa katiba na Sheria mbovu za uchaguzi, zinazopekelea kutokuwa na chaguzi zilizo Huru na Haki (free and fair elections). Hili ni...
  11. Erythrocyte

    PreGE2025 No Reform No Election yapokelewa kwa kishindo Jimbo la Lupa, Wananchi waamua kwenda na Msimamo wa Chadema

    Kampeni Tukufu ya No Reform No Election imeingia Jimbo la Lupa, Mkoani Mbeya na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi. Elimu kabambe imetolewa kiasi cha Wananchi wote kukubali kwamba sasa ni lazima kwenda na Mkakati wa Chadema ili kuepuka mauaji ya Wagombea wa Upinzani Awali Mwenyekiti wa Kanda...
  12. T

    PreGE2025 Dawa ya Uchaguzi Huru na Haki ni nini hasa? Nisaidieni

    Tumefika mahali wengine tumechanganyikwa na dhana ya No Reform No election, Mimi naomba wachambuzi wa mambo mnisaidie. Ukiangalia ni kweli uchaguzi wa 2019, 2020 ulikuwa mbaya haijawahi kutokea na Serikali akiwemo Rais alikiri hivyo, lakini mwaka 2024 hali ikajirudia na hatimaye CHADEMA na ACT...
  13. Erythrocyte

    PreGE2025 CHADEMA yaita watia nia wa Ubunge Nchi nzima kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chama Mikocheni

    Watu wengi wenye upeo wa chini ambao wengi ni wanaccm (sababu zinafahamika) wanadhani kampeni ya No Reform No Election ni mpango wa Chadema kususia Uchaguzi. Ukweli ni kwamba jambo hili si kususia uchaguzi, bali ni kuzuia kufanyika kwa uchaguzi ikiwa hakutakuwa na marekebisho ya utaratibu...
  14. Erythrocyte

    PreGE2025 Picha: Tunduma yavunja rekodi ya mahudhurio kwenye mikutano ya No Reform No Election Kanda ya Nyasa

    Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa baada ya Mkutano wa Tunduma Jioni ya leo Mengine si lazima sisi kuongeza chumvi ni vema ukajionea mwenyewe.
  15. Erythrocyte

    PreGE2025 Kazi ya CHADEMA ya kusambaza “No Reform, No Election” imekuwa Nyepesi sana, kutokana na Elimu kabambe wanayopewa wananchi

    Kazi ya Chadema ya kusambaza jambo Tukufu la No Reform No Election imekuwa Nyepesi sana, kutokana na Elimu kabambe wanayopewa wananchi. Imekuwa rahisi kwa vile karibu kila kijiji cha Tanzania lipo kaburi au makaburi ya wanachadema waliouawa kutokana na Uchaguzi, kwahiyo hoja zinazotolewa...
  16. chiembe

    PreGE2025 Baada ya CHADEMA kusema No refoms No Election, mimi na wana CHADEMA wenzangu hatujajiandikisha kupiga kura, naona CCM wanajiandikisha kwa wingi

    Wanachadema katika eneo langu hawajajiandikisha katika daftari la kupiga kura baada ya kiongozi wetu Lissu kutuelekeza tususie uchaguzi. Wagombea wenzangu walikuwa wamerltunza hela wafanyie kampeni, sasa wameamua kuzinywea pombe na kufanyia shughuli nyingine. Wenzetu CCM wanajisuka mashinani...
  17. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Chifu Wangao kutoka Sumbawanga Asilia: Wanaopinga uchaguzi sasa ni wale wanaoogopa kushindwa kwa aibu

    Chifu Anthony Thadeo Wangao, Chifu Kapufi wa Tatu wa Sumbawanga Asilia, ametoa kauli yenye uzito kuhusu baadhi ya watu wanaopinga mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akiwa kiongozi wa kimila anayeheshimika sana katika Mkoa wa Rukwa, amesema wazi kuwa watu wanaopinga uchaguzi ni wale ambao...
  18. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Hata mwenendo wa Kiutendaji wa Msajili wa Vyama , unatosha tu kuungana na "NO REFORMS, NO ELECTION"

    Ule Mkutano ,Wajumbe walijua wanaenda kumchagua Makamo wa Chama tu . Ikapigwa chenga ambayo ikawaacha Wajumbe, kama lilivyo Bunge, kupiga makofi ,mayowe na mapambio mengi na kuwaondoa kwenye matumizi ya Akili ambayo yangewafanya wahoji. Akatokea Mchungaji Malissa, yeye akahoji , akaishia...
  19. B

    PreGE2025 Namanyere Sumbawanga kumefurika, mbingu na Ardhi zimempokea vyema Tundu Lissu. Yaani Ni Sherehe haijapata kutokea

    Sina maneno mengi lakini kinchoonekan kwenye video hii ni ushidi tosha. Watoto, watu wazima ni wazee ni furaha tele isiyo na kifani. Kuna wimbo wanaimba umew hamasa na munkali😅😅 Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  20. Erythrocyte

    PreGE2025 John Heche akabidhiwa kusambaza No Reform No Election Kyela, Rungwe na Busokelo

    Hivyo ndivyo Ratiba ya Chadema inavyoonyesha. Taarifa kamili hii hapa
Back
Top Bottom