Olduvai Gorge
Senior Member
- Aug 22, 2015
- 108
- 116
Hii inahusu upatikanaji wa wawakilishi/viongozi wetu hasa katika vyombo wa Bunge, Madiwani na Urais.
Katiba yetu inaelekeza kwamba kutakuwa na Bunge kwaajili ya kuwakilisha wananchi katika ngazi ya Taifa (Bunge)na Baraza la madiwani ktk Halmashauri na Rais.
Na kwamba wawakilishi wetu hawa watapatikana kwa kuchaguliwa na wananchi kupitia uchaguzi mkuu, na atakaye pata kura nyingi ndiye atahesabika ameshinda!
Bunge ndilo litafanya kazi ya kutunga sheria, kurekebisha katiba na kuisimamia serikali nk!
Kwa hiyo Bunge ndilo pia litatunga sheria za uchaguzi ili wananchi kwa sheria hizo ndo tuchague viongozi/wawakilishi wetu!
Mada maswali:
1. Je ni sahihi Bunge kutunga sheria ambazo zitasababisha wananchi kushindwa kuchagua viongozi/wawakilishi wao kwa haki?
2. Je, Ni sahihi Rais (kwa kutumia kiti chake) kufanya maamuzi yanaypindisha haki ya mwananchi kuchagua viongozi/wawakilishi wao kwa haki? mfano kuchagua mwenzi mstaafu wa ccm kuwa kamishna ktk tume ya uchaguzi!
3. Ni halali kwa wawakilishi waliochaguliwa kwa mfumo wa uchaguzi ulioharibiwa, kuhodhi mchakato wa mfumo wa uchaguzi kwa manufaa yao? (ya chama chako)?
NB: kwa kuzingatia hoja hizo hapo juu, ni muhimu walioko katika uongozi kuwa na bushara, kuacha kuhodhi mfumo wa uchaguzi, kurudi nyuma kuweka mchakato shirikishi ili hatimaye kuweka mifumo itakayowezesha Wananchi kuchagua wawakilishi wao kwa haki ili Bunge liwe na hadhi ya uwakilishi wa wananchi tofauti na ikivyo sasa wabunge kutangazwa kwa mitutu ya bunduki!
Mimi sikubaliani na kauli ya Dr. Bashiru kwamba CCM kutumia dola kubaki katika dola!
Hiyo siyo ustaarabu, mambo haya ya Bashiru ni ya enzi za akina Mkwawa! Ingekuwa hivyo, mbabe ndo atawale, kwa teknolojia ilipofikia, Wamarekani wangeweza kutuma Drone tu kutupiga na kutunyanganya chochote wanachokitaka, lkn Dunia imetoka huko, ni hadi angalau wawe na kisingizio Cha kufanya hivyo!
Faida mojawapo tuliyoioata ya kutawaliwa na mkoloni ni ustaarabu, tumeachiwa na mahakaba ili mtu ukiona haujatebdewa haki, basi uende mahakamani ukapate kaki yako, na siyo kumuumiza mtu kwa utashi wako!
Kwa uelewa wangu hii ndiyo maana ya No Reforms, No Election!