No reform ! No election siasa za chui na kondoo

uvugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,351
Reaction score
1,099
Siku Moja katika nchi ya kusadikika kulikuwa na Kundi la kondoo na chui .

Makundi haya mawili yalikuwa yanataka UONGOZI wa mji wa kusadikika . Kundi la Chui lilikuwa linaelekea kushindwa kihoja. Kondoo waliona wajiongoze wenyewe bila kushirikiana na chui.

Chui alikuja na Hoja , akisema naomba mnichague . Mkinichagua tu Mimi sitakula nyama nitakuwa nakula majani tu kama Ninyi

Kondoo wakafurahi Sana na wakamuamini chui na kumchagua .

Kilichofuata ni Kila siku kondoo wanajiona wanapungua na kudhoofu !

Secret code !
 
1745493273242.jpg
 
Back
Top Bottom