no refom no election

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    PreGE2025 ‘No Reforms No Election si Siasa, Ni Falsafa ya Uasi Halali – Hii Ndio Siri Watawala Hawataki Uijue!

    NO REFORMS NO ELECTION Si Siasa, Ni Falsafa ya Uasi Halali – Hii Ndio Siri Watawala Hawataki Uijue!" Na Maleko GJ Watanzania wanaamka. Kauli ya ‘No Reforms No Election’ ya CHADEMA siyo malalamiko ya kisiasa bali ni kilio cha kizazi kinachotaka haki, usawa na uwajibikaji. Lakini je, kauli hii...
  2. Erythrocyte

    Licha ya Tundu Lissu kukamatwa Ratiba ya Mikutano ya No Reform No Election kuendelea kama ilivyopangwa

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba pamoja na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kukamatwa na Polisi wanaotumikishwa, Ratiba ya Mikutano ya Chama hicho Kanda ya Kusini itaendelea kama ilivyopangwa. Kwahiyo kama walidhani kukamata Lissu ndio mwisho wa Neema hii basi wamechemsha Shetani Hajawahi...
  3. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti wa BAWACHA Kanda ya Nyasa: No Reform No Election ni kauli iliyokuwepo tangu siku nyingi

    Mwenyekiti wa BAWACHA Kanda ya Nyasa, amesema kuwa kampeni ya No Reform No Election ni kauli iliyokuwepo tangu siku nyingi hata kabla ya Mwenyekiti Lissu kuingia madarakani, na amelitaka kundi la G55 kujitafakari kwani kwenda kinyume na Chama ni kukosa nidhamu
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Katibu wa BAWACHA Mkoa wa Songwe: Wanawake wa Songwe tunaunga Mkoa kauli mbiu ya "No Reforms No Election

    Katibu wa BAWACHA Mkoa wa Songwe Pendo Willium ameungana na Mkoa juu ya kauli mbiu ya "No Reforms No Election" katika kuhakikisha uchaguzi mkuu Octoba 2025 haufanyiki, kwani chaguzi mbalimbali zilizopita zimewaumiza hasa kwa vyama vya upinzani, ambapo vimeshindwa kupata haki yao ya msingi...
  5. S

    PreGE2025 Kwa huu uhuni aliofanyiwa Esther Bulaya kwenye uchunguzi mkuu wa 2020 Jimbo la Bunda Mjini, No REFORMS, NO ELECTION is the only option

    Sababu nyingine kwanini no reforms, no election Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 mimi nilikuwa mratibu kampeni (campaign manager) kampeni za mgombea ubunge (CHADEMA) Bunda Mjini, Esther Amos Bulaya. Mambo ya hovyo sana yalitokea katika uchaguzi ule na yanakera. Mfumo wa wetu wa uchaguzi bado ni...
  6. figganigga

    PreGE2025 Kanda ya kusini: Tundu Lissu azidi kuwasha Moto. Sikujua kama Ruvuma ni ngome ya CHADEMA

    Kanda ya kusini: Tundu Lissu azidi kuwasha Moto. Sikujua kama Ruvuma ni ngome ya CHADEMA. Hapa ni Namtumbo
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Katibu wa CHADEMA kanda ya kati: Tukikosa viongozi ambao si chaguo halali la Watanzania, hatuwezi kupata mabadiliko ya kweli

    Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, Ashura Masoud, amewataka wanachama wa CHADEMA wenye maumivu ya uchaguzi kujenga mshikamano badala ya kujitenga au kupinga msimamo wa chama, akibainisha kuwa hatua ya kujitenga ni sawa na kuunga mkono Chama cha Mapinduzi (CCM)...
  8. figganigga

    PreGE2025 Kanda ya kusini: John Heche apokelewa Newala. No reforms no Election

    Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche Newala #NoReformsNoElection
  9. MamaSamia2025

    PreGE2025 Kama sio nguvu ya soda Lissu yuko sahihi ila itabidi awachukulie hatua wote walio kinyume na msimamo wa chama

    Nimeona nitoe maoni yangu kuhusu hii fukuza fukuza iliyoanza huko CHADEMA chini ya Tundu Lissu. Ni jambo limeshangaza wengi kwa chama cha demokrasia kukataa maoni tofauti na kutotaka kabisa mjadala kuhusu maamuzi yaliyofanyika. Kwa upande wangu naona Lissu na genge lake la kamati kuu wako...
  10. Lord Diplock MR

    PreGE2025 Kwa Tundu Lissu ameepuka mpasuko mkubwa zaidi ndani ya CHADEMA

    Wataalamu wa mambo wanasema unapokutana na shetani wawili mbele yako chagua shetani mwenye nafuu, kwa kizungu "choose the lesser evil". Kama CHADEMA ingekubali kushiriki uchaguzi ingeenda kukumbana na mpasuko mkubwa zaidi. Watu hawajui hili baada ya Lissu kushinda uenyekiti wa CHADEMA...
  11. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Tundu Lissu ,No Reforms No Election baada ya mzunguko wa kwanza kuisha, Nguvu Kubwa ielekezwe maeneo ya Kimkakati zaidi

    Arusha Mara Mwanza Shinyanga Mbeya Iringa Dar es salaam Tabora Tanga Bila Mabadiliko Mfumo wa Uchaguzi , Hii Mikoa ikishakinukisha tu, itasambaza matokeo yake Kwa Mikoa mingine. Miezi hii Mitatu ijayo kuanzia Huu wa 4-7 kazi kubwa ifanyike kwelikweli .
  12. L

    PreGE2025 Tuongee uhalisia: CHADEMA wanaweza zuia uchaguzi kweli? Mrema yupo sahihi. Lissu ashauriwe

    No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko. Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini? Ukimsikiliza Mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass. Watanzania wenyewe...
  13. Cute Wife

    PreGE2025 Ogopa teknolojia! Toka 2020 walisema bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi, Udikteta wa Lissu unatoka wapi? Kusimamia maono ya chama?

    Wakuu, Mambo yanazidi kunoga huko, mtifuano juu ya mtifuano😂😂. Leo kwenye press ya CCM B a.k.a G55 Mrema alisema kaulimbiu ya No Reforms ilianza toka 2020 lakini haikuwa na kipengele cha No Election. Akisema haya ni mambo ya dikteta Lissu anayewanyima na kuwatishia uhuru wao wa kujieleza...
  14. Erythrocyte

    PreGE2025 Mbunge wa Ruangwa akalia kuti kavu, ni baada ya kusombwa na Mafuriko ya No Reform No Election

    Mbunge huyo ambaye hakufahamika Jina lake, Anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge wa CCM waliopita bila kupingwa kwenye ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020. Mbunge huyo anayetajwa kama Kigogo wa Serikali, leo Amepewa za Uso nyumbani kwake kutokana na namna Wagombea wa Upinzani walivyoteswa kwenye...
  15. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 John Heche: Hata tukiwapa miaka 10,000 hawawezi kubadilisha nchi hii, wataendelea tu kuturudisha nyuma

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche amekosoa namna ambavyo serikali imekuwa ikitoa tenda mbalimbali kwa Raia wa nje ya nchi na kuwaacha watanzania bila ajira, akikosoa pia usafirishaji mkubwa wa malighafi kilimo ikiwemo Korosho zinazosafirishwa kwenda nje ya...
  16. Pascal Mayalla

    PreGE2025 Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!

    Wanabodi, Hata kusipofanyika reforms, uchaguzi wa 2025 CHADEMA ina bonge la fursa!, ila masikini Chadema, they are just too blind to see!, hawajitambui! No election ni utopia!, acheni kucheza makida makida, na kuchezea shilingi chooni!, please wake up my friend!. Haya ninayoyaandika hapa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 John Heche: Umaskini wa nchi hii ni wa kutengenezewa na viongozi tulionao

    " Miaka kumi na mbili iliyopita Lindi hii na Mtwara waliambiwa mnaletewa utajiri wa gesi, Miaka kumi na mbili iliyopita walichukuliwa Masheikh hapa, Viongozi wa dini na Maaskofu, wakati ule mimi nilikuwa sijaenda Bungeni. Wakapelekwa Norway, wakapelekwa Malaysia, wakapelekwa na nchi nyingine...
  18. S

    PreGE2025 Lissu yuko tayari kuumizwa na hata kufungwa jela kama Mandela na wapigania uhuru wengine

    Hii ndio point aliyofikia Liisu na Heche na pia anafanya jitihada kuwaandaa kisaikolojia wanachama na wafuasi wa CHADEMA nchi nzima juu ya hatari inayowakabili katkika kufanikisha agenda ya "no reforms, no election." Liissu anafahama kabisa ili kuiondoa CCM madarakani, ni lazima wawe tayari...
  19. S

    PreGE2025 Kwanini ni muhimu kwa CHADEMA kuzui uchaguzi badala ya kususia tu uchaguzi?

    Kuna watu wanajiuliza kwanini CHADEMA wanataka kuzuia uchaguzi wakati hawataki kushiriki huo uchaguzi? Wanajiuliza: Kwanini wasikae pembeni tu wakawaacha wafanye huo uchaguzi? Jibu:Kitendo tu cha kufanya uchaguzi, maana yake ni kuipa CCM uhalali wa kurudi madarakani na kuunda serikali...
  20. J

    PreGE2025 Shekhe huko Kilwa Kivinje azungumza kwa uchungu kudai Reforms

    Kuna DHULUMA kubwa sana CCM wamewatendea wananchi. Msikilizeni alichokisema huyu Shekhe wa Kilwa Kivinje ktk mkutano wa Chadema. Kwa kweli Reforms,haswa katika masuala ya uchaguzi, haziepukiki. https://www.youtube.com/watch?v=KT79ZLXBHi4
Back
Top Bottom