no refom no election

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pulchra Animo

    PreGE2025 Rai Kwa Watawala: Acheni kupotezea watu muda—Iacheni CHADEMA ifanye shughuli zake kwa Uhuru; Otherwise, Ifuteni Kwenye Register ya Political Parties!

    Kisheria, chama chochote cha kisiasa ni legal entity. Kinaweza kufungua au kufunguliwa mashitaka kwa jina lake chenyewe (in its own right). Hivyo, ni upumbavu mtupu kuwakamata viongozi wa chama cha kisiasa (in their individual capacities) kwa official acts zao. “No Reforms, No Elections” ni...
  2. Erythrocyte

    PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Kariakoo, kuvurumishwa mtaa wa Nyamwezi, boda boda kuongoza msafara

    Baadhi ya Wadau wanachukulia kitendo cha Kampeni hii kabambe kupenya hadi Katikati ya Jiji la Dar es Salaam kama Ushindi dhidi ya Dhuluma za uchaguzi. Kwa Mujibu wa Ramani ya Ubongo wa kila Mtanzania, Kariakoo ndio Kitovu cha Nchi na ndio Eneo kiongozi wa Mambo yote Nchini Tanzania...
  3. B

    Hili kundi dogo sana linalopinga Reforms katika Nchi yetu lina nia gani kwa Tanzania. Ni akina nani?

    Wakati tunapoendelea kwenye mageuzi yanayoleta matumaini kwa Tanzania kuna kundi dogo sana linapinga kila kitu kuhusu Mageuzi haya. Hili kundi lina nia gani na Nchi yetu? Ni akina nani? Ukitazama hapa JFs kwa mfano kuna ID zisizo 10 ndio zimeshupaza shingo kuhakikisha Reforms za maendeleo...
  4. Erythrocyte

    Picha: Wakazi wa Ukonga wakila Kiapo cha Kutoshiriki Uchaguzi bila Reforms

    Hii ni baada ya kuelimishwa na Chadema maana ya No Reforms No Election. Hapa ni kwenye viwanja vya Stendi ya Mombasa Ukonga Je Mpaka hapa bado hamjaelewa tu?
  5. Zanzibar-ASP

    PreGE2025 Kusema muda hautoshi kufanya Reform hivyo tufanye tu hivyo hivyo uchaguzi, huo ni uhuni kwa 100%

    Tusitafute majibu rahisi kwenye maswali magumu. Kwenye siasa za kidemokrasia, uchaguzi ni kitendo kitakatifu zaidi. Majibu ya viongozi wa CCM na serikali yake kuwa, muda uliobakia ni mchache kuweza kufanya mabadiliko ya kuruhusu uchaguzi ufanyike kwa haki na uhuru, hivyo twende hivyo hivyo...
  6. P

    Hekima imuongoze rais katika hili

    Kampeni ya No Reforms, No election ina hoja za msingi sana na ni vyema CCM wakakubali kuwepo na tume huru na mchakato wa uchaguzi ulio wazi kabisa. Kuna baraka nyingi sana kutoka kwa Allah unapokuwa umeshinda kwa haki. Kwenye hili la Tume huru ya Uchaguzi: Katika akili za kawaida kabisa...
  7. The Burning Spear

    No reform No Electiion ni Agenda ya Watanzania wote wenye akili timamu hata ccm wanalijua hilo

    Ni dhahiri kabisa moto wa reforms huwezi kuzimwa kwa kumkamata Tundu Lissu pekee labda wawafunge watanzania wote wanaojielewa na awamu hii wamechoka CCM hawakutegemea hii surprise.. Hapa CCM inajaribu kupambana na kila mtanzania litu ambacho hakitawezekana ndo maana presha ipo juu na hawajui...
  8. Erythrocyte

    PreGE2025 No Reforms No Election yafika Tandika Sokoni, yafunga Soko mapema wananchi wakosa mahitaji ya Pasaka

    Kanuni moja muhimu sana na ambayo tumekuwa tukiitekeleza wakati wote humu jf ni kutokalia habari njema. Kwamba kunapotokea jambo zuri kokote Nchini Tanzania hatuna haja ya kukuficha Huu hapa ni Mkutano wa Chadema Tandika Sokoni uliosababisha Soko kufungwa Mapema na kuleta Sintofahamu ya...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Simbachawene: Madai ya kubadilishwa kwa mfumo wa Uchaguzi 2025 hayawezi kutekelezwa kwa kipindi kifupi kilichobaki

    Waziri wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amesema kuwa madai ya kubadilishwa kwa mfumo wa Uchaguzi kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 hayawezi kutekelezwa kwa kipindi kifupi kilichobaki kwani mabadiliko makubwa...
  10. A

    PreGE2025 Waziri Simbachawene ajibu kuhusu 'No reform, no election'; Jambo linalogusa Katiba haliwezi kuwa ajenda ya kikundi cha watu

    Simbachawene Aijibu 'No Reform' ya CHADEMA: Tumeunda Tume Huru, Tukianza Heka Heka Hakuna Atakayebaki. Dodoma: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene amesema, falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan imesaidia kufanyika kwa...
  11. M

    John Heche, nakukubali sana kwa kazi ngumu unayoifanya ya ukombozi wa Nchi hii. Naomba kutoa maoni yangu

    Binafsi nakukubali sana kwa kazi ngumu unayoifanya ya ukombozi wa Nchi hii. Naomba kutoa maoni yangu kama ifuatavyo:- 1. Pamoja na kuendelea kutoa Elimu ya No Reforms No election, naomba kiundwe kikosi maalumu kitakachoongoza movement ya kumtoa Tundu Lissu mahabusu. Wakiona tupo kimya sana...
  12. Erythrocyte

    PreGE2025 No Reforms No Election yatikisa Dar es Salaam, Matajiri wamimina taslim kwa ajili ya Tone Tone, wanasema mitandao inachelewesha

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Ule Utukufu wa Mungu unaoitwa No Reforms No Election umeingia DSM. Mapokezi ya jambo hilo kwenye Jiji hilo lenye Mchanganyiko wa Watu yametikisa kwa kiwango cha watu kusahau maandalizi ya Pasaka, Unaambiwa ni Noma! Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  13. W

    Nimeanza kumchukia mpenzi wangu kwa sababu ya NO REFORM NO ELECTION

    Mpenzi wangu, ananileteaga stori za kuwachukia wapigania haki wa No Reforms No Election, Daaah, anakera mnoo! Sometimes ananikuta nimetulia, nasikiliza clips za No Reforms No Election, anaanza kutia maneno ya kuwaponda makamanda, eti "hawa wahuni, wavunja amani" Napandwa na hasira kaalii...
  14. B

    PreGE2025 Jenerali Ulimwengu - no reforms no election 2025 wana madai ya msingi

    14 Aprili 2025 JENERALI ULIMWENGU - NO REFORMS NO ELECTION 2025 https://m.youtube.com/watch?v=DVu9sNRqeXM Chaguzi za 2019, 2020 na 2024 uvunjaji wa kushangaza wa kuvuruga uchaguzi yalifanyika bila haya, asema Jenerali Ulimwengu. Serikali inatakiwa iwe na haya isifanye mambo ya aibu kama ya...
  15. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini: “No Reforms, No Election” ni dhana ya kufikirika tu isiyoweza kuzuia uchaguzi

    Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Omary Chulla, amesema kuwa kauli ya “No Reforms, No Election” ni dhana ya kufikirika tu isiyoweza kuzuia uchaguzi mkuu 2025 kufanyika. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  16. THE BIG SHOW

    CHADEMA tambueni kuwa nchi hii haihitaji wana harakati, nchi hii inahitaji viongozi na nyinyi viongozi wa kuongoza taifa hili hamna

    Friends and Our Enemies, Wengi wao wanachadema hawapendi kuliskia hili,lakini NDIYO ukweli wenyewe. Siasa za HARAKATI ndani ya nchi hii na bara hili kwa ujumla zilishafanyika na zikakamilika. Kilichobakia kwa Sasa ni kuongoza Dola kutokana na ridhaa ya wananchi. Ukiwatazama CHADEMA huwezi...
  17. Lord Denning

    Ni Maajabu: Mwamko wa Kutisha waonekana kwa Watanzania kuwaunga mkono CHADEMA

    Kuna vitu watu wanaweza kukufanyia wakadhani wamekumaliza kumbe ndo wamekunyanyua mara 1000 zaidi. Pamoja na hila na madhila yote ambayo CCM wamewafanyia na wanawafanyia CHADEMA, ukweli ni kwamba kila siku Watanzania wameonesha kuzidi kukiunga mkono Chadema na ajenda zao kwa kasi ya kutisha...
  18. A

    PreGE2025 Nakubaliana kidogo na Pascal Mayala; Lissu na CHADEMA Mbowe aliwapiga changa la macho kuhusu No reforms, No election

    Baada ya kuangalia kinachoendelea kuhusu joto la siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu October 2025, nimebaini kwa namna moja hama nyingine Lissu na CHADEMA wamebeba nia njema kuhusu no reforms no election, ila aliyewaletea hilo wazo alijua kabisa sisi watanzania ni waoga munoo, hivyo tusingeweza...
  19. Rebeca 83

    PreGE2025 CHADEMA wangewashawishi vyama vingine pia

    Habari wakuu... Nahisi Chadema kwenye strategy ya No reforms No election wangejaribu pia kushawishi vyama vingine vya upinzani kutoshoriki uchaguzi kama hakuna reforms....... Hii ingewapa power upinzani na win ingekuwa win ya pamoja Chadema na vyama vingine vya upinzani. Kuliko sasa hivi...
  20. W

    CHADEMA tawanyikeni hii itasaidia Nchi yote kuamka

    Habari ya leo wanajamvi. Ndugu Heche sasa TAWANYIKENI, baada ya concentration of power kuwa Kanda moja yaani Kanda after Kanda, sasa hivi ni vyema mkatawanyika. Mpige Kanda zote at ounce, hii itasaidia Nchi yote kuamka. Gawa makamanda wako vyema kwenye Kanda zote, habari ya mahakamani waachieni...
Back
Top Bottom