njombe

  1. Ileje

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka aagiza Halmashauri za Njombe kulipa Wenyeviti

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka ameagiza Halmashauri zote mkoani Njombe kuanza kuwalipa posho Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji kupitia mapato ya ndani. Mtaka amesema mkoa wa Njombe hauwezi kushindwa kuwalipa Wenyeviti hao kwani halmashauri zake zinakusanya mapato kutoka katika vijiji na mitaa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi Mkoa wa Njombe: Ukiachwa Valentine Day usijiue ni kosa kisheria

    Kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe Ally kitumbo amewataka vijana kutojitoa uhai pindi wanapoachwa na wenzi wao, kwani kufanya hivo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Ametoa tahadhari hiyo ikiwa ni masaa kadhaa tu yamesalia kabla ya kuanza rasmi kvwa sikukuu ya wapendanao maarufu kama Valentine...
  3. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Njombe: RC Mataka: sitaki kusikia mtu ameambiwa gloves hazipo kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amepiga marufuku wataalamu wa afya mkoani humo kutoza fedha wala vifaa tiba kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure, na kuwataka kufuata muongozo wa Sera ya Afya kwa usahihi. RC Mtaka ametoa agizo hilo wakati wa kikao cha Kamati ya...
  4. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Katika sherehe za miaka 48 ya CCM Ludewa, mbunge ahaidi kukamilika kwa ujenzi wa shule ya sekondari mwezi Machi wanafunzi wasisafiri umbali mrefu

    Serikali imeanza kujenga shule ya Sekondari Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe ili kupunguza adha ya watoto kusafiri umbali wa takribani Km 15 Hadi Manda Sekondari na Km 30 Hadi Mchuchuma kupata elimu. Kwa hatua za awali Tayari madarasa mawili yapo mwishoni kukamilika na Mbunge wa Jimbo la...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwenyekii wa CCM Njombe: Ongeza watoto kwani huduma za afya zinaboreshwa

    Hivi hizi kauli zao za kuongeza watoto zimekuwa ajenda? Lakini upande wa pili bado hali ni tete sanakwenye mazingira ya huduma za afya. ============ Mwenyekii wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe Deo Sanga {Jah People} amewasihi wananchi wa wilaya ya Wanging'ombe kuendelea kuongeza watoto kwani...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njombe: Rais Samia achangiwa zaidi ya milioni 2 za kuchukua fomu za kugombea urais

    Ikiwa ni wiki moja imepita tangu chama cha mapinduzi CCM kimpitishe Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais kwa tiketi ya chama hicho na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea Mwenza kwa nafasi ya Makamu Rais katika uchaguzi mkuu wa 2025. Maelfu ya wafuasi wa chama cha mapinduzi pamoja na Makundi...
  7. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Njombe: Miaka 12 sasa ujenzi wa ofisi ya mtaa haujakamilika, Chapangishwa chumba elfu 50 kwa mwezi kama ofisi, wananchi wahofia faragha ofisini

    Licha ya Mtaa wa Kambarage kuwa na idadi kubwa ya wakazi zaidi ya mitaa mingine yote ya mjini Njombe changamoto kubwa inayoendelea ni kushindwa kumaliza ujenzi wa ofisi yake ulioanza miaka 12 iliyopita. Mtaa huu unaokaliwa na wakazi 15,195, unahudumiwa katika chumba kimoja kidogo cha kupangisha...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

    https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki... Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA.. Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chadema Njombe: Nahisi CCM wana tawi lao huku

    Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amesema anahisi CCM wana tawi lao CHADEMA. Kupitia mtandao wa X mwenyekiti huyo amenukuliwa akisema "Kwa fedha nilizoshuhudia zikimwagwa USIKU kucha,nikikumbuka fedha zilivyokuwa zinamwagwa Njombe, naanza kuhisi CCM wana tawi lao huku kwetu"
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mwenezi wa CHADEMA Njombe atimkia CCM

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Njombe Mjini Emmanuel Kayombo na wenzake saba wamehama Chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi CCM Mwaka 2020 Kayombo aligombea udiwani Kata ya Njombe Mjini, Kupitia lakini hakufanikiwa kushinda. Na mwaka 2024 aligombea...
  11. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama uchaguzi ni namba, mpaka sasa Lissu ana kura 14 kati ya 21 za Njombe

    Awa ni wajumbe wa Njombe 14 kati ya 21 waliojitokeza kumuunga mkono Lissu. Mpaka sasa Lissu ameshachukua uenyekiti Njombe bado kuapishwa tu.
  12. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yamwachia huru George Sanga na Wenzake wawili, Kada wa CHADEMA walishikiliwa kwa miaka 5 gerezani kwa tuhuma za mauaji

    BREAKING NEWS NJOMBE. George Sanga na Wenzake wawili waliokuwa wanatuhumiwa kwa kesi ya mauaji wamechiwa huru na Mahakama. Mungu ametenda haki imeshinda George sanga na wenza wameachiwa huru Mahakama Kuu - Njombe Wakili Dickson Matata, Joseph Mbilinyi wazungumza Njombe. Mahakama Kuu Kanda...
  13. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Rais Kamuzu Banda alizitaka Mbeya, Njombe na Songea kuwa sehemu ya Malawi

    Hii speech ni ya kujiamini sana. Sijui alipata wapi hizi nguvu za kujiamini kiasi hiki kutaka chukua maeneo hayo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa lipo njombe yakobi

    Zipo NI heka sita -Kila heka bei NI M1.2 -Linafaa Kwa mazao yote ya ukanda wa njombe -Linamaji ya misimu wote Unapanda parachichi,viazi,mahindi,maharage na mazao mengine yote yanayoota ukanda wa njombe Usafiri unafika adi shambani Na pia ukitaka pia heka Moja Moja na kata
  15. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Michango imekuwa mingi Shule ya Msingi Njelela iliyopo Ludewa - Njombe, Mzazi ambaye hatatoa anakamatwa

    Wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Njelela iliyopo Kata ya Mundindi, Wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Njombe wamekuwa wakilalamikia michango inayochangishwa shuleni hapo kuwa imekuwa ni kero kutokana na uongozi wa shule kutoa maelekezo kila mara. Mfano, Wanafunzi shuleni hapo wanatakiwa kulipa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mwenyekiti wa Kijiji kupitia CCM akimbia ofisi baada ya kupokea vitisho

    Barua za vitisho zilizosambazwa na watu wasiojulikana zimesababisha taharuki kubwa katika ofisi mbalimbali za kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe. Kwa mujibu wa kituo cha habari cha Kings FM, barua hizo ziliripotiwa kubandikwa usiku wa kuamkia Desemba 3, 2024, kwenye ofisi za...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Nauli ya Dar to Njombe

    Wakuu nataka kwenda njombe, naombeni kujua nauli ni sh ngapi kwa MTU anayetokea Dar. Na vipi, nauli za magari/usafiri Wa mchana ni Sawa na nauli ya usafiri Wa usiku? Na pia kama kuna yeyote anayejua magari ya usiku Dar to njombe (magari ya kawaida, sio luxury) basi naomba aniambie ni yapi...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Njombe: Maombi ya Viongozi wa Dini yatajwa kuchagiza Amani wakati wa Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Hii kali! Kuna uchawa afu kuna hii! ==== Maombi ya viongozi wa dini mkoani Njombe yaliyofanywa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Hapo Novemba 27 Mwaka huu yametajwa kusaidia zoezi hilo kufanyika kwa salama bila kuripotiwa kwa matukio ya mauaji wala vurugu. Wakizungumza ofisi kwa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Njombe: CCM yashinda kwa asilimia 99.7 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Njombe Kimefanikiwa kushinda uchaguzi wa serikali za Mitaa katika vijiji 377 kati ya 381 Mitaa 81 kati ya Mitaa 82 na Vitongoji 1819 Kati ya 1832 Vilivyopo mkoani hapa sawa na asilimia 99.7. Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Siasa Uenezi na Mafunzo CCM Mkoa wa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Polisi watoa ufafanuzi kuhusu zoezi la uchaguzi Njombe

    Wakuu, Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe limetoa ufafanuzi kuhusiana na Zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo lilifanyika tarehe 27.11.2024 mkoani Njombe. Ni kwamba Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe lilijipanga vema katika kushughulikia matukio yote ambayo yanahusiana na masuala...
Back
Top Bottom