njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Njia za kuboresha Huduma za Afya katika Maeneo ya Vijijini na Yaliyoko Mbali nchini Tanzania

    Upatikanaji wa huduma bora za afya ni haki ya kimsingi ya binadamu inayopaswa kuwa ipo kwa kila mtu, bila kujali eneo lao la kijiografia. Hata hivyo, katika maeneo mengi ya vijijini na yaliyoko mbali nchini Tanzania, wakazi wanakabiliwa na changamoto kubwa katika kupata huduma muhimu za afya...
  2. JamiiForums Tanzania Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

    Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa...
  3. 5

    JamiiForums Tanzania Lithuania inaitaka NATO kuipa Kyiv njia kujiunga uanachama wa NATO

    Rais wa Lithuania amewataka viongozi wa NATO kushughulikia shinikizo la Ukraine la kujiunga na muungano wa kijeshi wa NATO katika mkutano wa kilele katika mji mkuu wiki ijayo. Amesema hatua hii ndio njia pekee kwa Rais Putin kusarenda.
  4. JamiiForums Tanzania Hizi ndio njia tano za kusafisha pasi iliyochafuka

    unasafisha pasi ikiwa na moto mkali 1. Chumvi - mwagia kwenye kitambaa anza kuipasi 2. Chaki - kata kipande, geuza pasi iangalie juu kisha weka kipande, unasafisha kwa kukandamizia chaki kwa kitambaa. 3.majivu ya moto - mwagia kwenye kitambaa anza kuipasi 4. mkaa - kata vipande, mwagia...
  5. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kutengeneza fedha kwenye jamii yako

    Ili uweze kuwa na pesa nyingi unatakiwa kuwatazama watu wanaokuzunguka kwa jicho la tatu, huku ukifikiri ni kwa namna gani watu hao watakavyokupa pesa zao. Ili jambo liweze kutekelezeka hatimaye kuchukua pesa za watu hao wanaokuzunguka unatakiwa kuangalia na matatizo yanayowasonga watu hao...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Rais atayekuja 2030, atakuwa na raha sana, Samia kasafisha njia

    Miradi mikubwa yote kama Madaraja makubwa, Fly overs DSM, Mwendo kasi, SGR, Bwawa la umeme- Nyerere, miradi ya Kilimo Dodoma, Mahusiano na nchi za nje, wawekezaji kibao, Royal Tours, Bandari n.k itaisha mwaka 2028. Hii inamaanisha kwamba yule Rais ajaye 2030 kazi yake ni kukusanya kodi tu toka...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Kupunguza Umaskini: Njia ya Kujenga Mustakabali Bora kwa Taifa

    KUPUNGUZA UMASKINI: NJIA YA KUJENGA MUSTAKABALI BORA KWA TAIFA Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Umaskini ni changamoto kubwa inayoikabili taifa letu. Licha ya juhudi za serikali na mashirika mbalimbali za kupunguza umaskini, bado kuna idadi kubwa ya watu wanaoishi katika hali duni. Kupunguza...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi itasaidia kuiondoa CCM madaraka 2025 ? Na chama kipi kiandaliwe kuchukua dola ?

    Habari jf ,ni wazi kwamba tunahitaji mabadiliko nikiwa nna maana kuiondoa CCM madarakani ugumu unakuja ni njia zipi ? Na ni chama kipi ? Kiuhalisia kuendelea kuitegemea CHADEMA ni upotevu wa muda maana kina watu wengi walio pale kimkakati ukianzia Mwenyekiti . NCCR Mageuzi ni better option...
  9. JamiiForums Tanzania NJIA PANDA: Jifunze jinsi inavyotumiwa na katika madhumuni tofauti

    NJIA PANDA Njia panda ni mahali ambapo njia zaidi ya moja hukutana, lakini njia panda nzuri zaidi kwenye kazi hizi ni ile ya njia nne inayoweka alama ya ❌ Matumizi ya njia panda inaweza kuwa kwa madhumuni tofauti, hasa kuleta kitu kuelekea kwako au kutuma kitu kwa mtu mwengine Unaweza kutumia...
  10. JamiiForums Tanzania Njia sahihi za kutokemeza umasikini ni kubadili mfumo wa uongozi

    Kiukweli umasikini unatesa, umasikini unaumiza, umasikini unakatisha tamaa Huenda tukaondoa umasikini kukuondoa mifumo ya uongozi tulio achiwa na wazungu na kutafuta njia nyingine ya uongozi ambayo itakuwa inambeba kiongozi pamoja na mwananchi wake.. Mfumo uliopo yaani mfumo wa vyama vingi...
  11. JamiiForums Tanzania Natarajia Mbowe kupinga utekelezwaji miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa njia ya EPC+ F huku bara

    Wakuu bado ninasubiri kauli ya Mbowe kupinga "Wazanzibari" kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara huku bara. Kwa akili zake za kibaguzi nadhani hili pia lilitakiwa limuume na sio bandari tu. Siku nyingine mmiliki wa CHADEMA atafakari sana kabla ya kuropoka. Kauli yake ya kibaguzi...
  12. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuboresha Teknolojia: Njia Muhimu ya Kuleta Uwajibikaji katika Nyanja mbalimbali

    Teknolojia imekuwa ni sehemu muhimu katika maendeleo ya dunia. Kwa kufanya mabadiliko katika nyanja mbalimbali kama vile afya, elimu, kilimo, sheria, malezi, sanaa, na uongozi, tunaweza kuchochea uwajibikaji na utawala bora katika jamii.Kwa kutumia teknolojia, tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume waliofanyiwa Tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa ya kuwaridhisha wenza wao tofauti na wale waliofanyiwa hospitalini

    Ikumbukwe kuwa wanawake hufurahia tendo pale g sport yake inaposuguliwa na uume ipasavyo. Wanaume waliofanyiwa tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa sana ya kuifikia g sport ya mwanamke kwa sababu ziguatazo. Wakati wanapofanyiwa tohara ile ngozi ya mbele inapokatwa huwa aikatwi yote...
  14. JamiiForums Tanzania Njia ya kumteua Makamu wa Rais kupitia ccm iangaliwe upya ina kasoro

    Namna ya kumpata Saa100 mwaka 2015 kupitia ccm kuna mahali ccm walibugi step. Hii mikataba tunayoiona ikisaini Dubai na kutoa bandari zote kwa kampuni moja hata hatujui bodi members wake ni akina nani?inatokana na namna ailivyopatikana kupitia ccm.
  15. JamiiForums Tanzania Njia kuu za Kiuchumi, Rasilimali na Usalama wa Nchi Kimataifa Kubinafsisha Wageni Sio Sahihi

    Wakuu Kama mada ilivyopandishwa hapo juu, yafuatayo ni masuala hatari sana kuyakabidhi kwa wageni kukodi, kubinafisisha au kuuza kwao maana yanahatarisha usalama wa nchi na uchumi wake wa ndani na nje 1. Usafiri wa anga 2. Usafiri wa maji wa nchi kutoka nchi moja au bara kwenda kwingine 3...
  16. JamiiForums Tanzania Bandari ni njia kuu ya uchumi, Kikao gani cha CCM kimebadilisha msimamo wa chama?

    Hili suala la ubunafsishaji bandari ya DSM limeleta mtafaruku wa kisiasa. Mwalimu Nyerere 1967 alitaifishashuhuiztekuu za kiuchumi ili nchi tujitawale wenyewe. Yeye aliziita njia kuu za Uchumi. Humo yalikiwemo mabenki, nyumba, makampuni ya usafirishaji, makampuni ya madini (Mwadui). Sasa leo...
  17. JamiiForums Tanzania Wasafiri Wanaotumia Njia za Mbuga za Wanyama Wasihesabiwe kama Watalii

    Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii amesema Wizara isiwahesabie abiria kutoka Mkoa mmoja kwenda Mkoa mwingine kwa kupitia njia zilizopo kwenye Mbuga za Wanyama kama Watalii wa ndani kwani hawaigizi fedha za...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini biashara yako haikui? Jifunze Jinsi kampuni hii ilivyokuza mtaji kufikia mabilioni ya pesa

    Habari wana jamii forum, ni matumaini yangu mnaendelea salama baada ya mda mrefu kupita bila kushusha thread ya moto.... Leo nimependa kuzungumzia swala zima la mauzo (sales) na jinsi ya kuongeza wateja kwenye biashara, kuna msemo unasema "kufungua biashara na kuuza ni vitu viwili tofauti...
  19. JamiiForums Tanzania Njia pekee Feitoto kuondoka Yanga bila makubaliano/kuuzwa ni kustaafu soka

    Najaribu kutafakari endapo Al hilal wangemtaka Messi na kumshawishi avunje mkataba na PSG ili wamchukue bila mazungumzo na ingekuwaje? Duniani kote hakuna utaratibu wa mchezaji kujiamulia kuvunja mkataba na kuondoka, Au club kujiamulia kumvunjia mkataba mchezaji bila mazungumzo/makubaliano...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Njia za kuwatoa watu

    Umaskini ni tatizo kubwa katika maeneo mengi ya dunia. Hauathiri watu binafsi na familia pekee bali jamii nzima. Kuna njia nyingi tofauti za kuondokana na huo umaskini. Lakini mojawapo ya njia yenye ufanisi zaidi ni kuwawezesha watu kuchukua hatua madhubuti za kudhibiti kuhusiana na hatima zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…