Demu wa mdogo wangu kanifungukia, nipo njia panda!

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,007
5,446
Wanajamvi, salaam!

Iko hivi nina mdogo wangu (rafiki) naishi nae kwakua anaumwa, tunaheshimiana sana. Tunaishi kisela kila mmoja anaweza kuleta demu wake maghetoni.

Dogo ana mademu watatu ambao najua yupo active nao na wote wanakujaga maghetoni kwa wakati tofauti, sasa kumbe ana wa nne ambaye hawako active kabisa ila ni mtoto wa aliyekua kigogo, kigogo sio wa twitter hapana yule wa mchongo huyu ni kigogo kweli hapa nchini.

Story ilikua hivi, nilikua job dogo akanipigia simu kwamba kuna mgeni anakuja nikasema fresh unajua chakufanya make sure unamkarimu fresh by then anajina gumu nilidhani ni msela tuu kumbe demu wake bana.

Akamzuia asiende mpaka anione so nafika maskani nakutana na mgeni ile kuangaliana tuu nikamuona demu kashtuka macho ya mahaba yakapepesuka kila nnapoenda ananitazama mi nikausoma mchezo nikavunga.

Akawa wakwanza kuniuliza jina langu nikamwambie then akataka namba yangu kwa madai atahitaji kununua bidhaa kwangu (dogo alimwambia nafanya biashara pia) yoote haya yanafanyika mbele ya dogo na dogo amekaa kimyaaa.

Demu akaniuliza mbele ya dogo if am single nikasita kujibu baada ya kuinsist nikasema nipo single, niliporidisha swali kwake akanijibu kua yupo kwenye uhusiano complicated, Dogo ikabidi achomoke atuache wawili sikuelewa nikapunguza mzuka.

Alipo ondoka dogo akanisimulia kua ni demu wake tena alikua yeye dogo anahudumiwa mno na huyo demu ila sasa wamepotezeana tuu from no where nikasema okay. So alipofika tuu kwao akanitext amefika salama alipoona kimya akani call kunijulisha, wakati dogo hajapewa taarifa yoyote.

Simu ya pili kunipigia ilikua inakaribia saa tano ndipo alipofunguka kile kilichomkuta naliponiona mara ya kwanza, na anamimi mimi ni mume wake kwani anahitaji kua kwenye ndoa ila haoni mwelekeo na dogo wala hao aliokua nao, hivo ananihitaji katika maisha yake.

Nilicho mjibu nikwamba nime divorce na nna watoto wa wili so na yeye ni binti mdogo. Je, e ataweza kulea watoto si wake akanijibu watoto ni malaika na hawezi nihukumu kwa hilo kwasababu mistakes happens kwenye maisha.

Mtihani kwangu ni huu, haka kademu "we share same religion" ( ex wife nilimbadilisha) sasa hana dini, na kwakua nilioa sehemu maskini before nikijua maskini wanafadhila kumbe ni hovyo sasa huyu ni waki shua, naona anaelekea kukidhi vigezo vya awali.

Shida ipo kwa dogo atanionaje? Nikimuuliza kuhusu status ya mahusiano yao anasema kwakua demu hamshobokei na yeye hana muda nae zaidi ya hao wengine wanaomshobokea. Najua akijua ataumia maana ana miwivu ya ajabu ajabu sasa sijui mnanishauri vipi wanajamvi?
 
Wanajamvi asalaam!!!

Iko hivi ninamdogo angu (rafiki) naishi nae kwakua anaumwa, tunaheshimiana saana.

Tunaishi kisela kila mmoja anaweza kuleta demu wake maghetoni.

Dogo ana mademu watatu ambao najua yupo active nao na wote wanakujaga maghetoni kwa wakati tofauti, sasa kumbe ana wa nne ambaye hawako active kabisa ila ni mtoto wa aliyekua kigogo... kigogo sio wa twitter hapana yule wa mchongo huyu ni kigogo kweli hapa nchini.

Story ilikua ivi... nilikua job dogo akanipigia simu kwamba kuna mgeni anakuja nikasema fresh unajua chakufanya make sure unamkarimu fresh bythen anajina gumu nilidhani ni msela tuu kumbe demu wake bana,

Akamzuia asiende mpaka anione so nafika maskani nakutana na mgeni ile kuangaliana tuu nikamuona demu kashtuka macho ya mahaba yakapepesuka kila nnapoenda ananitazama mi nikausoma mchezo nikavunga...

Akawa wakwanza kuniuliza jina langu nikamwambie thena akataka namba yangu kwamadai atahitaji kununua bidhaa kwangu (dogo alimwambia nafanya biashara pia) yoote haya yanafanyika mbele ya dogo na dogo amekaa kimyaaa...

Demu akaniuliza mbele ya dogo if am single nikasita kujibu baada ya kuinsist nikasema nipo single., niliporidisha swali kwake akanijibu kua yupo kwenye uhusiano complicated Dogo ikabidi achomoke atuache wawili sikuelewa nikapunguza mzuka..

Alipo ondoka dogo akanisimulia kua ni demu wake tena alikua yeye dogo anahudumiwa mno na huyo demu ila sasa wamepotezeana tuu from no where... nikasema okay

So alipofika tuu kwao akanitext amefika salama alipoona kimya akani call kunijulisha, wakati dogo hajapewa taarifa yoyote.

Simu ya pili kunipigia ilikua inakaribia saa tano ndipo alipofunguka kile kilichomkuta naliponiona mara ya kwanza, na anamimi mimi ni mume wake kwani anahitaji kua kwenye ndoa ila haoni mwelekeo na dogo wala hao aliokua nao, hivo ananihitaji katika maisha yake.....
Nilicho mjibu nikwamba nime divorce na nna watoto wa wili so na yeye ni bint mdogo je ataweza kulea watoto si wake akanijibu watoto ni malaika na hawezi nihukumu kwa hilo kwasababu mistakes happens kwenye maisha....

Mtihani kwangu ni huu akakademu "we share same religion" (xwife nilimbadilisha) sasa hana dini, na kwakua nilioa sehemu maskini before nikijua maskini wanafadhila kumbe ni hovyo sasa huyu ni waki shua, naona anaelekea kukidhi vigezo vya awali.....

Shida ipo kwa dogo atanionaje?? Nikimuuliza kuhusu status ya mahusiano yao anasema kwakua demu hamshobokei na yeye hana mda nae zaidi ya hao wengine wanaomshobokea....
Najua akijua ataumia maana anamiwivu ya ajabu ajabu sa sijui mnanishauri vip wanajamvi?
Duuh piga sanaaa chuma saana ila usioe huyo ni Delila, passing or crossing can be so tricky at times.
 
Hadi hapa naamini hujafikia umri wa kuoa...

Mwanaume anayeita mwanamke 'demu'ujue yupo stage ya kuonja onja...

Uthibitisho ni hii kauli yako hapa kuonesha kuwa bado unaishi "kisela"...
Mzee sikulazimishi ila ukweli ni kwamba nina karibu two years toka nime divorce unaweza pitia nyuzi zangu....

So nimeamua kuishi kiishi kisela ila sijakataa ndoa lazima nioe
 
Back
Top Bottom