Wadau,
Leo nimepata kadhia ya hali juu nikiwa Nyerere rd kwa kuwa foleni haitembei kabisa. Hii inasababishwa na kuwa ujenzi unaoendelea wa njia na mwendokasi sambamba na ujenzi wa SGR inawafanya watumiaji wa barabara kukosa njia mbadala.
Ni heri wangesuburi kukamilika kwa madaraja ya juu ya SGR ili watumiaji wa barabara wawe na mbadala wa kutumia barabara iliyopo pembezoni ya reli. Ailiyeruhu hizi simultaneous projects .