njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa njia bora ya kuendesha Microfinance

    Wadau wa Jamiiforums mnipe MBINU na njia sahihi ya uendeshaji wa Microfinance. Eli Mimi na wateja wangu wote tufaidike, wao wapate mkopi nafuu wenye kutimiza malengo yao, na Mimi nipate japo faida kidogo. Kwa Sasa interest rate yangu 3.5% Kwa mwezi (0.035%). Gharama nyingine ni ndogo sana...
  2. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tunatamani Uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa kufanyika kwa njia ya mtanado (Smart Vote Card)

    Tanzania Tuitakayo-Dira: Tunatamani uchaguzi mkuu na serikali za mitaa kufanyika kwa njia mtandao (smart votecard) Nini kifanyike kufikia njia ya usajili wa wapiga kura kwa njia ya mtandao, nirahisi sana Kanuni za uchaguzi chini ya tume ya taifa ya uchaguzi tanzania zinamtaka mwananchi/mpiga...
  3. JamiiForums Tanzania Kama haujawahi kupitia machungu makali ya maisha usiwabeze na kuhukumu kirahisi wanaojitafuta kwa njia ambazo zinaoekana ni mythical.

    Angalau hajakukaba kukupora au kufanya ujambazi wa unyama kupelekea mauti ya ndugu yako. Hivi unadhani kuna mtu yuko tayari kupoteza nafasi ya kuhudimia familia bila ya kuwa omba omba na mfalme wa madeni. Shida na tabu zinachaganya nyie sio hizo mlizonazo na unajua at some point unafuu una...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ipi njia nzuri ya kuweka akiba?

    Salaam wana JF, k Kifupi mimi niko nje ya nch napiga box lakin mipango yangu baada ya miaka 4 hiv nirudi nyumbani, hizi kaz za viwanda kusimama 8hrs naona nikikomaa life iwe huku nitaumia coz life huku iko juu bora nikusanye nikipata hta M140 najua nitaishi nyumbani bila kuhenyeka sana, ni njia...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Uvukaji wa border ya Namanga / Nairobi wengi wanaotumia hizi Noah wanamia njia haramu / Mizigo ya Magendo

    Habari, Ni jambo la kusikitiaha kuwa watumiaji wengi wa Noah za Namanga Arusha Wanasafirisha bidhaa za Magendo Na wenye bidhaa hizo hawavuki border Kwa kihalali. Nina video ya Mzee mmoja hapa alichukua Rushwa jioni hii ila nimeingiwa na huruma huyu Mzee asije anapoteza kiinua mgongo chake...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Analipeleka na kuliongoza Taifa katika Njia Sahihi na yenye kuleta Matumaini kwa Mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Ni hatari sana kuwaongoza watu na kuwapeleka katika njia ambayo haiwapi matumaini ya maisha na wala haionyeshi kuleta unafuu wa maisha kwa watu wala uhakika wa kutimiza ndoto zao au kuinuka kiuchumi. Njia ambayo muda wote watu wanaona giza mbele yao,hawaoni wanakokwenda...
  7. JamiiForums Tanzania Watendaji wapigaji na wezi wa Mali za Umma ni kioo cha aliyewateua

    Duniani kokote kule haijawahi tokea kiongozi wa nchi awe msafi kama Pamba then akubali kufanya kazi na Panya. Hiawezekani kamwe. Watendaji wapigaji wanawakilisha kisawasawa tabia ya alie wateua. Historia ya Raisi San Abach inaonyesha kwamba hata watendaji wake walikuwa ni wapigaji vibaya mno...
  8. JamiiForums Tanzania Kubadili Bajaji kwenda Mabasi katika Jiji la Mbeya: Njia Mpya ya Kuelekea Usafiri Bora

    Jiji la Mbeya, kama miji mingi inayoendelea nchini Tanzania, linakabiliwa na changamoto kubwa za usafiri. Bajaji, ambazo ni maarufu kwa kuwa nafuu na rahisi kupenya katika mitaa midogo, zimekuwa sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri wa jiji hili. Hata hivyo, kuongezeka kwa idadi ya bajaji...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nitumie njia gani kupanga bei za bidhaa zangu?

    Hello.... Habari za muda huu. Je, huyu ni wewe? Unajiuliza ni njia gani utumie kupanga bei ya kuuzia bidhaa zako? Kwenye upangaji wa bei kuna factor nyingi za kuziangalia mfano. 1. Washindani wako katika soko. 2. Kipato cha wateja wako. 3. Mazingira ya soko. Ila leo nitazungumza...
  10. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Mbeya, Kagera, Mtwara ina kiwango cha chini cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango Tanzania

    Kiwango cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango nchini hadi kufikia Machi 2024 Vipandikizi - 38.3% Sindano - 23.1% Vidonge - 11.3% Njia za Asili - 11.1% Kondomu - 10.4% Vitanzi - 4.6% Kufunga Kizazi - 0.4% Mikoa yenye Kiwango Kikubwa cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango Tanzania Mara -...
  11. JamiiForums Tanzania Kero walioipata abiri wanaotumia njia ya kilwa road

    Makampuni ya mabasi yanafanya ruti za kusini kupitia kilwa road muwaonee huruma abiria wenu sio mnawachukuwa Dar es salaam mkiwaahidi kwamba Somanga panapitika alafu mnakuja kuwapaki Somanga masaa mengi na kusababisha usumbufu na kero kwa abiria zenu huu sio uungwana jaman. Nawasilisha..
  12. JamiiForums Tanzania Fahamu Mbinu na vifaa vilivyotumika kutoa adhabu kwa wahalifu enzi za zamani. (Ancient torture methods)

    Katika historia, watawala walitumia mbinu kali za adhabu kwa lengo la kuadhibu maadui zao pamoja na wale walio tekeleza matukio ya kihalifu. Pia walitumia mbinu hizo kama njia ya kuwafanya wahalifu hao kusema na kutaja wenzao ambao walihusika katika uhalifu huo. Ancient rome, Greek, China, ni...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maridhiano kusimamisha vita, Israel yajikuta njia panda!

    1. Haipo shaka vita au mazungumzo ya maridhiano kama ilivyo siasa, nayo ni sayansi. 2. Izingatiwe sayansi siyo ya kila mtu, labda arts huko. Sayansi ya maridhiano, vita au siasa; huingii kichwa kichwa. 3. Tambo mbali mbali kwenye sayansi hii ndiyo kwao. Kisemwacho hadharani si lazima kuwa kile...
  14. JamiiForums Tanzania SoC04 Mwongozo wa Maendeleo: Njia ya Tanzania kuelekea Uchumi Endelevu na Usawa

    Kwa kuwa maendeleo ni mchakato wa pamoja kati ya serikali na wananchi, hapa kuna hoja kadhaa ambazo zinaweza kuchangia maendeleo makubwa Tanzania ndani ya miaka 5 hadi 25 Ila katika kila point ntakayotoa ELIMU ni kipaumbele changu 1. Elimu Bora na Endelevu: Kuwekeza katika elimu ya msingi...
  15. JamiiForums Tanzania Njia mbali mbali za kutoa ushahidi Mahakamani

    Ushahidi Mahakamani (kwenye kesi za madai) unaweza kutolewa kwa njia ya mdomo (orally) au kwa njia ya maandishi (witness statement). Rejea Order XVIII (2) (1) ya CPC (amendments za mwaka 2021). Sasa, ukiomba kwenye kesi yako utoe ushahidi kwa njia ya maandishi (witness statement), ukakubaliwa...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi kwa kujua au kutokujua hujikuta wakifanya vitimbi kwa wenza wao kwa njia zifuatazo

    1.KUPIMA UWEZO WA MWANAUME KUJIAMINI (confidence test) Mwanamke yeyote hupenda kupima uwezo wa kujiamini wa mwanaume wake. Njia wanazotumia kufanikisha hilo sasa hutegemea makuzi na malezi yake, wengi wao hutumia kumdhalilisha mwanaume hadharani, kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia...
  17. JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kutatua matatizo yote ya Tanzania na Afrika kwa ujumla

    Is to form everything new, new country, new leadership system, even the brains of people must be new, we need to throw away the brains from the Europeans and e.t.c Africa must be united
  18. JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa njia ya mfumo wa ESS

    Habari Wadau, Mwenye uelewa juu ya kuomba maombi ya Moja kwa Moja kwenye mfumo naomba ufafanuzi. kati ya vacancy request na transfer request kipi kinatangulia? Je kutokujaza vacancy request inaweza ikapelekea maombi yako kukataliwa au kuandikiwa "vacancy not badgeted"?
  19. JamiiForums Tanzania Njia bora kabisa ya kukijua kingereza ni kuangalia movies zenye subtitles

    Download series fuatilia ukizingatia kuna maneno utayajua kupitia movie Kwa mfano mimi neno concubine (mke mwenza) sikuwahi kuliona popote isipokuwa kwenye tamthilia ya jumong. Kwa sasa namalizia Tom rider Maneno mengi nayakumbuka.
  20. JamiiForums Tanzania Huwa naepuka kabisa kusikiliza umbea wa mwanamke wangu, juzi niliusikiliza umeniweka njia panda

    Kama kuna kitu huwa sipendi nikiwa na mwanamke ni pale anaanza kunipa umbea. Hii inatokea sana baada ya game nono (CHAPUTA hamtojua hili) Sasa bwana, usiku wa juzi kwenye kutuliza kichwa huyo akaja na story, mie nikawa namuitikia tu kutokumkatisha (hapa ndo nilifanya kosa maana huwa namkatisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…