njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Wanawake bwaanah! Njia mpya ya kupiii wakiwa wamesimama!

    Nini kilichobaki ambacho hawakiwezi?
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Njia gani nzuri ili Tajiri ayachukulie kwa uzito mambo unayomshauri pengine huwa anayasahau kwa sababu ya ana mambo mengi

    Labda nielezee Kwa mfano ili nieleweke. Kwa mfano unafanya kazi katika kiwanda au kampuni na wewe ni kibarua tu means huonani sana na management ya juu na kila linaondelea juu hujui wala huhusiki tu kwenye mipango yoyote. Hujui uhusiano wao Kwa wao hujui wanayoyasema. Sasa nyie vibarua kuna...
  3. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kutatua matatizo yoyote yale

    Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu,,kwa maana kwamba kama kusingekuwa na matatizo basi huyu mwanadamu asingekuwa na umuhimu wowote hapa duniani Kwahiyo shida na matatizo ndio yanatufanya tutafakari kwa kina,tuwaze na kuwazua na mwisho wa siku tunapata ufumbuzi Kuna njia nne kuu za...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mikoa 15 kukosa umeme Julai 3 na 4 kutokana na umaliziaji njia Umeme wa SGR Msamvu - Dodoma

    NISHATI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa huduma katika Njia Kuu ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovoti 220 kutoka Msamvu hadi Dodoma ili kuruhusu umaliziaji kazi kwenye vituo vya Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) vya Msongo wa Kilovoti 220/33 Mikoa itakayoathirika...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata nafasi (cheo) ndani ya CCM au Serikalini kupitia siasa.

    Kwa Tanzania kama unataka kuendesha maisha yako kupitia siasa unatakiwa uwe ndani ya CCM kwani ndio chama kilichoshika dola. Ukiwa ndani ya CCM ni rahisi kupata nafasi (cheo) ndani ya chama au Serikalini. Lakini tatizo CCM ina watu wengi sana kuliko nafasi za uongozi au vyeo vya kuwapa wanachama...
  6. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mapinduzi ya Elimu na Teknolojia: Njia Kuu ya Kufikia Tanzania Tunayoitaka

    Elimu na teknolojia ni misingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu katika taifa lolote. Katika muktadha wa Tanzania, uwekezaji katika elimu kwa kutumia teknolojia unaweza kuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Andiko hili linapendekeza mbinu za kibunifu ambazo zinaweza...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huu ndio utashi wa kisiasa kwa viongozi wa wananchi Afrika Mashariki, kuonyesha njia na kuwajibika

    Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu, Dr. William Samoe Ruto, ameskiza sauti ya Mungu. Akubali yaishe.. Ajishusha na kuonyesha njia. Ni wajibu wa waKenya kuungana na kumfuata mguu kwa mguu kiongozi wao huyu msikivu na mwenye maono ya kipekee na makubwa sana ya kutrasfom kenya into prosperity...
  8. Mr Looser

    JamiiForums Tanzania SoC04 Njia za Ukusanyaji mapato na uandaaji wa bajeti bora katika Tanzania TUITAKAYO

    Njia Tano Bora za Ukusanyaji Mapato Bila Unyonyaji kwa Mwananchi 1. Matumizi ya Teknolojia na Mfumo wa Kielektroniki: -Ushuru wa Dijitali: Kutumia mifumo ya kielektroniki katika ukusanyaji wa ushuru ili kuboresha uwazi na kupunguza rushwa. Hii inaweza pia kupunguza gharama za ukusanyaji wa...
  9. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Watoto wa kiume wanatumia taulo za kike kupitisha vilevi kwa njia ya haja kubwa

    Duuh nimeona hii taarifa nimeshtuka Sana na kusikitika.... Ama kweli duniani inaelekea ukingoni Source:EFM (Joto la asubuhi )
  10. Tanzanian Dream

    JamiiForums Tanzania Kama umeshawahi kushindwa Jambo lolote pita hapa

    Habari wana jf. Kwenye harakati za utaftaji kuna mapito mengi Sana mtu anapitia mpaka anatoboa,Kuna watu wamepitia msoto mkali,wamekutana na changamoto sio za nchi hii,Kuna wakati unajiona unastahili kabisa kukata tamaa ila Kuna sauti ndogo ndani yako inakuambia "never give up" na hasa ukiskia...
  11. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wenzetu wakifanya upasuaji kwa njia za roboti sisi kwetu bado wahudumu wa afya, maarifa na utendaji viko chini (Tanzania tuitakayo)

    Na Da Vinci XV Chanzo: Forbes Wasalaam Wahenga walisema wakati ni ukuta. Sasa wakati huo ambao mimi nikihangaika kumpigia kelele mbunge wangu nilie mchagua miaka 4 iliyopita anijengee daraja walau niweze kuifikia zahanati kwa urahisi ili mimi na familia yangu tuweze kupata huduma bora za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Njia za kutatua ajira kwa vijana wa kidato cha nne na cha sita

    SOKO LA AJIRA KWA VIJANA WENYE ELIMU YA KIDATO CHA NNE NA KIDATO CHA SITA. TUJIULIZE MASWALI YAFUATAYO. Je vijana wenye elimu ya kidato cha nne na sita wanasaidiwaje katika soko la ajira? Je mfumo wetu wa elimu umewatengenezea ujuzi wowote hawa vijana waliohitimu kidato cha nne na cha sita na...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wa serikali wanatumia njia za mkato kufanikisha uhamisho? Hili ni jibu langu binafsi

    Nawasalimu wote. Naibu karibu mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia elimu amekemea vikali tabia ya baadhi ya watumishi kuhama kwa kutumia njia zisizo rasimi huku akihusisha jambo hilo na pesa. Ameenda mbali zaidi kwa kueleza kuwa Kuna maafisa Wana barua za uteuzi ambazo hazitoki kwa katibu mkuu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Rais Samia waanza kutumia silaha ya Uzushi na uongo kumshambulia baada ya njia zao kushindwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida. Ni...
  15. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Njia yako ya uhakika ya kutokea

    Rafiki yangu mpendwa, Kila mtu hapa duniani huwa ana njia yake ya uhakika ya kutokea, njia ambayo inamfikisha kwenye mafanikio makubwa. Lakini wengi wamekuwa hawafanikiwi kwa sababu wakifika kwenye njia hiyo, wanabadili njia au kuacha safari kabisa. Yaani ni sawa na mtu anayetafuta mlango...
  16. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na ongezeko la ukahaba katika jamii?

    Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kagera: TANESCO kuokoa kiasi cha Shilingi bilioni 30 kila mwaka baada ya Ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya Benaco-Kyaka

    TANESCO KUOKOA BILIONI 30 KILA MWAKA MKOA WA KAGERA UTAKAPOINGIA KWENYE GRIDI YA TAIFA 📍Yasaini mkataba na kampuni ya Mhandisi Mshauri ya Shaker na kampuni ya usimamizi miradi ya umeme ya PDC kusimamia ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme Benaco - Kyaka Na Charles Kombe, Dar es Salaam Shirika...
  18. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Njia za Kutambua iPhones Original

    1. Namba ya Serial na IMEI - Hatua za Kufanya: 1. Nenda kwenye Settings > General > About. 2. Tafuta Serial Number na IMEI. 3. Tembelea tovuti rasmi ya Apple checkcoverage.apple.com. 4. Ingiza namba hizo ili kuthibitisha kama iPhone yako inatambulika na Apple. - Faida...
  19. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Njia za uzazi wa mpango kwa jinsia isiyo sahihi (contraceptives for wrong gender)

    Uwajibikaji wa uzazi wa Mpango umeweka mzigo usio sawa kwa wanawake, licha ya ukweli wa kibaolojia kwamba wanaume wana uwezo wa kumfanya mwanamke apate ujauzito. Wanawake huzalisha idadi ndogo ya mayai kwa mwezi, (kwa kawaida moja) wakati wanaume hutoa mamilioni ya manii(Shahawa) kwa kufanya...
  20. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Njia 7 za Kuongeza Kipato Chako Bila Kuacha Kazi Yako ya Sasa.

    Katika dunia ya sasa, ambapo gharama za maisha zinapanda kila siku, ni muhimu kutafuta njia za ziada za kuingiza kipato bila kuacha kazi yako ya sasa. Hapa kuna njia 7 rahisi ambazo unaweza kujaribu: 1. Kufanya Kazi za Freelance: Ikiwa una ujuzi kama vile kuandika, kutafsiri, kubuni tovuti, au...
Back
Top Bottom