Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,776
- 14,622
Wengi wetu tumekuwa tukiogopa kufuga kuku sababu ya magonjwa.Ni kweli kuku wa kisasa ni rahisi kupata magonjwa.
Sababu ya ufugaji wa kuku wa kisasa unaonekana ni mgumu kutokana na maeneo na chakula ila hapa nitaweka kuhusu maeneo.
Maeneo ya kufuga kuku yanataka sehemu kubwa kuanzia heka 1 ambayo ni ya wazi na yenye uhuru kwa kuku wako kujiachia eneo ilo.
Ukiwafanya kuku kuishi mazingira ya wazi unawezesha kuku kujengeka vizuri na kuepuka magonjwa yasiyo na lazima.
Mazingira ya ufugaji yanatakaiwa kuwa nje ya miji au makazi ambayo yana pishana sehemu kubwa sana mfano vijijini.
Asanteni