njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Sio rahisi kufanya biashara ukiwa umeajiriwa, mnaoweza mnamtumia njia Gani?

    Kazini kuangia saa Moja na nusu kutoka saa kumi kamili. Je unaweza kufanya vipi kitu nje na KAZI yako Ahsante
  2. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Marekani yarupia macho njia ya baharini ya Bahari Nyekundu ya Eritrea

    Mlango-Bahari wa Hormuz umefungwa kutokana na vita kati ya Marekani, Israel na Iran, na jamii ya kimataifa imeanza kutafuta njia mbadala baharini. Hivi karibuni Marekani inafanya mawasiliano ya kidiplomasia na Eritrea, ambayo ni nchi muhimu ya njia za meli za Bahari Nyekundu. Kabla ya hapo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kurudisha Tanzania moja kwa uchawa! Ukweli pekee ndiyo njia

    Ukweli pekee ndiyo njia ya kutoka kwenye hili shimo. Hawa machawa, walioko masarakani msiwalaumu ni shetani anawatumia na tutashinda tu. Hawawezi kuwa watu wa kawaida wakafanya madudu kwa kiasi hiki ni mashetani tu. Sasa tuweke imani mbele na tuwndelee kukaza hivi hivi
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Changamsha bongo: Wasomi, unaweza tumia njia gani kutenganisha huu udongo?

    Ukiambiwa utenganishe huu udongo utatumia njia gani?
  5. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TANROADS waweke roundabout barabara ya Goba njia panda ya Makabe

    Ukitokea mbezi shule kama unaenda goba kumekuwa na foleni kubwa sana pale kwa sababu ya magari yanayotoka makabe na yanayoenda goba hadi kuchukulia baadhi ya magari mengine kuzunguka temboni short cut ya matosa kutokea njia 4. Yaani magari yanapigani pini hakuna linalompisha mwenzie hadi...
  6. Midozenj01

    JamiiForums Tanzania Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    Habari Wakuu, Kamakawaida mtafutaji hachoki, Leo bana nimekuja na kipengele hicho hapo juu kama heading inavyojieeza, naimani uzi huu utakuwa solution kwa wengi sana. Mimi ni mpambanaji najitafuta nimekuwa nikihusle sana kulipia bidhaa zangu China kwa Suppliers hususani katika njia ambazo ni...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS : Tunaboresha alama za barabarani (Zebra) ambazo zimefifia na kufutika kwenye njia za Dar

    Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wameeleza kuwa wanakuchukua hatua madhubuti za kuimarisha usalama wa miundombinu ya barabara kwa kupaka rangi mpya kwenye alama mbalimbali za barabarani zilizofifia hususan alama za watembea kwa miguu (zebra crossing) katika Mkoa wa Dar es salaam ili...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko njia panda, Mzazi mwenzangu hataki kuwahudumia watoto kisa naishi nao mimi

    Miaka mitano ya ndoa ilitosha kutufanya tuwe wazazi wa watoto wawili wa kike na kiume, wa kwanza kike na wa pili wa kiume, aliye mkubwa kabisa kwa sasa ana umri wa miaka 6 na mdogo ana umri wa miaka 3 na nusu japo baada ya watoto hawa, ukurasa wa ndoa ulifungwa kwa kuwa tulishindwa kuendelea...
  9. Red black

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo ukiwa unafikiria akili ya kibinadamu inafikia mwisho kabisa. Je, huwa unatumia njia gani kupata majibu sahihi kwa jambo linalokutatiza?

    .
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Gongo la Mboto maeneo ya Bomba Mbili - Njia Nne Mbondole ni mbaya na inatugharimu sana

    Hili ni barabara iliyopo Gongolamboto maeneo ya Bomba Mbili kuelekea Njia Nne Mbondole, njia ni mbaya kuanzia Moshi Bar hadi unafika Njia Nne, ili uweze kufika eneo hilo unatakiwa kufika hadi Gongolamboto Kituo cha Mombasa ndipo ilipo njia ya kuelekea Bomba Mbili. Kiukweli Wananchi tunateseka...
  11. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Kumiliki silaha za nyuklia ndio njia pekee ya kuihakikishia nchi yoyote usalama dunia

    Kama kuna jambo moja kubwa tulilojifunza kutoka vita ya Iran, vita ya Ukraine na kutekwa kwa Maduro, basi somo hilo ni, njia pekee ya kujihakikishia usalama kama nchi ni kumiliki silaha za nyuklia. Ni ukweli uliobayana kuwa kama huna mabomu ya nyuklia, pamoja na teknolojia ya kuweza kuyarusha...
  12. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi Raia Wa Burundi Wamekuwa Wakijipatia vitambulisho vya NIDA kwa Njia Hii

    Warundi wengi wana background ya Ukimbizi wa nchi mbalimbali ikiwemo hapa Tanzania. Serikali ya Tanzania iliingia makubaliano na Serikali ya Burundi kuwarejesha warundi wote wanaoishi kwenye makambi ya wakimbizi Nduta na Nyarugusu. Sasa baada ya kurejea makwao, Warundi kwa kushirikiana na...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Njia ya Kwanza ya Kutambua uwezo wa Kiongozi ni watu walio Mzunguka-Machiavelli

    This quote, often attributed to Niccolò Machiavelli in his work The Prince, argues that a leader’s wisdom is directly reflected in their choice of advisors and companions. A capable, honest circle indicates a smart leader, while sycophants suggest a weak one. Key insights from this perspective...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF boresheni eneo lenu la Kiluvya, lina vichaka, linatumika kama njia kwa Wanafunzi

    Kuna eneo ambalo ni kama pori linalomilikiwa na Mfuko wa NSSF lipo huku Kiluvya kutokea kwa Sumaye mpaka Shule ya Secondary Makurunge, Wanafunzi wanapita mpaka mida ya usiku wakitoka shule na sio salama kwao. Ukiangalia kwenye ramani kuna Barabara kubwa tu iliyo chini ya TANROADS na ni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  16. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Je, hii inawezekana kwa mtu kuwa msambazaji wa gesi ya kupikia (LPG - Liquefied Petroleum Gas) mitaani kwa njia ya Bomba !?..

    Habari Tanzania !.. Habari yako EWURA, TRA, TPDC, mko poa !?.. Naomba kuwauliza na nyie wadau; eti naweza kupata kibali cha kuwa muuzaji wa Gesi kwa kutumia mfumo wa usambazaji wa gesi ya kupikia (LPG - Liquefied Petroleum Gas) mitaani kwa njia ya mabomba kuelekea majumbani (Piped Gas System)...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bara bara ya Kibaha, Njia ya kutoka na kuelekea Hospital ya Tumbi ni mbovu na imejaa mashimo makubwa

    Bara bara ya kwenda na kutoka hospital ya mkoa wa pwani (Tumbi hospital) Ambayo ni ya kiwango cha rami imeharibika na kuwa mbovuu kwa muda mrefu na imejaa mashimo yanayo tanuka kila siku. Mwezi wa kwanza mwaka huu waliyachimba ili kurekebisha barabara na wakayatelekeza bila marekebisho kiasi...
  18. kiredio Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia au mbinu Gani salama kuepuka ushawishi wa mahusiano kazini?

    Let's be short and clear... Kama kijana, unawezaje kukabiliana na wimbi kubwa la ushawishi wa wanawake wa Rika zote eneo lako la kazi, hasa ukiwa mgeni kazini? Unawezaje kuepuka bila kuvunja heshima na uhusiano wa kikazi? Nipeni mawazo yenu, nipo njia panda mzigo huu umenielemea.
  19. Capo_di_Tutti_Capi

    JamiiForums Tanzania Utumishi- kuitwa kwenye interview ya kuandika kwa njia ya mtandao -MDA's & lga's - Accounts assistant ii (12/3/2026)

    Tukutane hapa tupeane experience, waliowahi kufanya Interview written ya ACCOUNTS OFFICER II kwa njia ya mtandao.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchina akamatwa JKIA akijaribu kusafirisha zaidi ya siafu 2,000 kwa njia ya magendo

    Raia mmoja wa China amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya na kufikishwa Mahakamani akituhumiwa kujaribu kuwasafirisha nje ya nchi kwa njia ya magendo zaidi ya Siafu 2,000. Raia huyo aliyejulikana kwa jina la Zhang Kequn alikamatwa wakati wa ukaguzi wa...
Back
Top Bottom