njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanaotangaza wanatafuta wachumba mitandaoni wajaona njia ambayo sahihi kama hizi:

    kama muislamu au mkristo ukifika eneo lako la ibada ukitangaza kuwa unataka kuoa au kuolewa watajitokeza wengi na utafanya kuchagua. Kama unaangaishwa nenda kijijini kwenu huko kuna watu wapo tayari kuoa au kuolewa wakisubiri. Kwenye maharusi,misibani na sheree za ccm mnaweza kuwapata kibao...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mafanikio usafirishaji umeme; Ongezeko la urefu wa njia kuu za kusafirisha umeme

    Mafanikio usafirishaji umeme; Ongezeko la urefu wa njia kuu za kusafirisha umeme Mwaka 2021 (Machi) Kilomita 6423.53 Mwaka 2025 (Februari) Kilomita 8141.38 Ongezeko la Kilomita 1717.85. Sawa na ongezeko la asilimia 27
  3. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Muendelezo wa njia za kutoka pesa Binance kwa kutumia Binance Pay

    Habari ndugu zangu wa JF natumaini mnaendelea vyema kabisa hasa kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani kwa ndugu zetu waislamu na Kwaresma kwa ndugu zetu wakristo wakatoliki. Leo nataka kuendelea na uzi wetu unaohusu Binance payment methods ambapo kwa uzi uliopita tuliangalia njia nne unazoweza...
  4. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa Goba Njia Nne kwenye lami

    Eneo linauzwa Goba Njia Nne kwenye lami kabisa. 1000 sqm. Limepimwa. Bei Mil.430. Contact 0788893364
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Tutazuia uchaguzi kwa njia mbalimbali ikiwemo maandamano kama hakutokuwa na mabadiliko

    Lissu amesema watatumia njia mbalimbali kuzuia uchaguzi, ameeleza pia no reform no election maana yake siyo kususia uchaguzi. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  6. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Njia za kukusanya data kwenye research unahisi ipi itakufaa?

    You know when conducting research and you reach the stage of data collection, as a researcher, unakuwa na uwanja mpana wa kuamua njia ipi utumie. Should you go for primary data, secondary data, or both? Okay may be let me break them down ili tuelewane kidogo, the moment I say primary data hapa...
  7. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja Kigamboni njia ya fun city kituo njano

    Nauza viwanja vipo 4 vipo kigamboni njia ya kuingia Fun city nyuma ya kituo cha Njano kila kimoja kina sqm 500 kila kiwanja kinaanzia Tshs,28ML kama upo intrested njoo tuyajenge piga hii no 0743921019
  8. Setfree

    JamiiForums Tanzania Manabii wa "Mchongo" - Njia rahisi ya kuwatambua na kujiepusha nao

    Nyakati hizi kuna watu wengi wanaoitwa manabii. Nabii ni mtu anayepokea ufunuo au maono kutoka kwa Mungu na kuyatangaza kwa watu. Kwa maneno mengine Nabii ni mtu anayeongea kwa niaba ya Mungu. Je, kila anayejiita Nabii ni nabii wa kweli? Biblia inatufundisha kwamba siku za mwisho, manabii wengi...
  9. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu ya mayai kuvunjika wakati yanachemshwa. Na je ni njia ipi niitumie ili kuzuia yasivunjike?

    Kila ninapochemsha mayai 10 at least mawili au matatu huwa nakuta yamevunjika na yameingia maji. Wataalam naomba mnijuze sababu ni ipi inayofanya yavunjike na pia nitumie mbinu ipi ili kuepuka yasivunjike. Nawasili
  10. Lavan Island

    JamiiForums Tanzania Nataka kusafiri kwenda Eritrea kwa njia ya basi au treni je mnawezaje kufika? Naomba msaada kwa ana fahamu

    Nataka kusafiri kwenda Eritrea kwa njia ya basi au treni je mnawezaje kufika? Naomba msaada kwa ana fahamu
  11. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Njia 5 za Kutengeneza Pesa na Canva

    Utangulizi Canva ni zana yenye nguvu sana kwa wale wanaopenda ubunifu. Ukiwa na kipaji cha kubuni, unaweza kutumia Canva kama chanzo cha mapato. Iwe unatafuta biashara ya pembeni au njia ya kutengeneza pesa kamili, Canva inakupa fursa nyingi. Hapa chini kuna njia tano unazoweza kutumia Canva...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawezesha magereza 10, usikilizwaji wa mashauri kwa njia ya mtandao

    Mahakama ya Tanzania imekabidhi makasha 10 ya kisasa ya Mahakama Mtandao kwa Jeshi la Magereza, yatakayowezesha usikilizaji wa mashauri kwa njia ya mtandao ili kusaidia utoaji haki kwa wakati, kupunguza msongamano wa wahalifu magerezani pamoja na kupunguza gharama za usafirishaji wa wafungwa na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Njia za kupunguza hisia kali za tendo la ndoa

    Wakuu nifanye nini nipunguze hisia za kufanya tendo la ndoa? Naona zimenizidia na mwenza wangu yupo mbali sitaki kufanya usaliti. Njia gani ambazo hazina madhara zitanisaidia kupunguza wakuu?
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Bandari kavu zilizopo shinyanga ziboreshwe bado kuna njia ya treni inayoweza kuleta mizigo hapo.

    Kuna mda serikali iliyopo madarakani tuna wapima uwezo wenu kwa kuwa changamoto kwenu zipo kisiasa. Leo ni ajabu msululu wa magari ya kubebea mizigo,magari yanayo kwenda mikoani na nje ya nchi kujazana kwenye barabara inayotokea dar. Kungekuwa na bandari kavu ambazo mzigo ukitoka bandarini ni...
  15. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya kumwambia mtu anaetoa harufu mbaya (kali) mdomoni na asikasirike

    Tajiri huwa haongei sana. inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Askari afa kwenye ajali ya gari njia ya Chanika. Alikuwa kwenye gari dogo lagongwa na daladala

    Ajali imetokea maeneo ya Kisumo( katikati ya Gongo la mboto na Pugu) Daladala( minibus) la Chanika to Machinga Complex laacha njia ( inasemekana lilikuwa linatanua) na kugongana uso kwa uso na gari ndogo ambayo ilikuwa imepaki pembeni ya barabara na ambalo ndani yake alikuwemo askari mwenye...
  17. captain 21

    JamiiForums Tanzania Msaada: Usaili kwa njia ya mtandao

    Mambo vipi wakuu? Wakuu naomba msaada kwa yeyote mwenye uzoefu, kuna ajira zilitangazwa na Sekretarieti ya Ajira na usaili wake yaani written interview ni tar.19 mwezi huu. Sasa huu usahili ni kwa njia ya mtandao, huu usahili kwa njia ya mtandao ndio inakuaje? mnapewa tablets then mnaingia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Godown langu jirani kaziba njia yakuingilia,je nilifanyie biashara Gani ya uzalishaji mdogo

    Nifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo haitaruhusu gari kubwa na ndogo zamizigo kuingia Au nifungue kiwanda Gani kidogo
  19. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kilio Cha Wananchi : Changamoto za kukosekana kwa usalama wa Raia na Mali zao, Kuelekea uchaguzi mkuu, Njia panda ya Himo Wilaya ya Moshi- Kiliman

    Utangulizi Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka, wezi, na wanyang’anyi wamekuwa kero ya kimataifa. Hali hii imesababisha wananchi kutokuwa na amani...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kristo Yesu ndiye njia ya Kweli na uzima. Ila Wakristo tujirekebishe jambo hili

    Nimewahi kuwa muumini wa dini fulani kubwa ulimwenguni. Nilisoma kidogo basic ya dini ile. Ile dini lengo lao ni moja tu, nalo ni kupata pepo ya Mwenyezi Mungu. Baadaye nikapata Neema ya kuwa Mkristo. Ukristo yaani kuwa mfuasi wa Yesu ni jambo kubwa, la neema isiyo na kifani. Ila nasikitika...
Back
Top Bottom