Nauza kiwanja changu kilichopimwa kipo Kisemvule Njia PANDA ya KIBAMBA MSIKITINI
Eneo ni sqm 1700
Price; Million 6. Hakina udalali.
Huduma zote za kijamii zinapatikana.
Kwa mawasiliano; Njoo PM
Habari wanajamvi, eti kuna njia ya kupunguza mzigo wa majitaka kwa njia mbadala.
Kuna mtu kanishauri ninunue chumvi kg 5 , chlorine lita 1 na chokaa kg 5 nichanganye pamoja halafu nimwage ndani ya shimo?
Je ni kweli? Nahofia nisije nikatengeneza bomu mambo yakaharibika zaidi
Mwaka 2008 Zimbabwe ilifanya uchaguzi mkuu, chama cha upinzani cha MDC cha Morgan Tsavangirai kikashinda urais na viti vingi vya ubunge, kilichotokea tume ya taifa haikutangaza matokeo kwa miezi miwili baada ya uchaguzi.
Hatimaye matokeo yalipotangazwa tume ikamtangaza Morgan Tsavangirai...
Eneo hili lipo njia ya koba kutokea Mbezi Magufuli ni karibu Zaidi pia kutokea mjini Kwa njia ya goba ni Sawa pia.
Mita 100 kutoka usawa wa eneo hadi barabara kuu ya Goba.
Location kituo cha daladala kinaitwa Kwa Robert.
Eneo Lina nyumba ambayo anaishi muuzaji wa eneo.
Ukubwa wa eneo ni sqm...
Kama mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani jana bungeni haujawafungua akili Watanzania kuielewa CCM ni kina nani? Basi hakuna siku Watanzania watakuja kupata akili na kuielewa CCM hadi mwisho wa Dunia.
Kama Majadiliano ya jana Bungeni hayajawafungua akili Watanzania kujua CCM...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Watanzania kushikamana na kulinda nchi dhidi ya maadui wa ndani na nje, akisisitiza kuwa adui wa Taifa katika karne ya 21 si lazima atumie vifaru bali anaweza kutumia njia nyingine zenye madhara makubwa kwa jamii.
Akizungumza...
Wametafuta mpaka ma IT wao uchwara wajaribu ku hack account ya gwaji boy youtube na lengine wamekataza chombo chochote kisitoe habari za yaliyo ongelewa.
Usijeshangaa hapa JF mkafutiwa nyuzi zenu ambazo zinahusu habari ya gwaji kuweka wazi na zikabaki za kumziaki.
Nitoe wito kwa Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki.
Lazima tuwe waasi dhidi ya uovu, wizi na ufisadi ili tusonge mbele msifumbie macho suala hili kwa mchango wenu mnaweza kulisaidia...
1. Anaweka cha juu kwenye Kandarasi ya Mradi fulani au Ununuzi wa Vifaa. Akilipwa hicho cha juu anaenda haraka kununua mali mfano Shamba au Kiwanja au nyumba au hata hisa/ bond kwenye kampuni/ shirika fulani. Kwenye hili pia anaweza kufungua akaunti kwenye bank nje ya nchi na kuweka fedha hizo...
Mimi naweza kuonekana mkorofi ila mwisho naweza kusema hakuna anayejali elimu ya Tanzania zaidi ya mislaid binafsi.
Kumekuwa na semina ambazo hazileti matokeo chanya kwa sababu zinafikia watu wachache huku posho ikiwa njia ya ufujaji wa pesa bila lengo kufikia walimu wote.
Natoa rai mfano...
Katika miaka ya karibuni, tumeona mwelekeo mpya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo watu wanaonekana kupata nafasi, madaraka, au ulinzi wa kisiasa kwa kupitia uchawa—yaani kumtumikia au kumsifia kiongozi bila kuhoji, hata pale panapohitaji hoja. Je, huu ni mkakati wa kudhibiti mfumo wa...
Tundu lissu atakapo achiliwa dunia itasimama kwa jinsi walivyo mfungulia njia zote za ikulu.
Suala hili la kesi za mchongo limeongeza umaarufu wake duniani kote na imani zaidi kwa wananchi atakapoachiliwa dunia lazima itasimama.
Kama umekuwa ukivutana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) sababu ya kodi inayotokana na uandaaji wa hesabu za shule au chuo chako…Basi soma mpaka mwisho…
UKWELI USIOPINGIKA…Zipo shule pamoja na vyuo mbalimbali hadi leo hii wamelemewa na madeni makubwa yatokanayo na kodi kutoka TRA. Hili siyo...
Kuna ajali ya Treni inayofanya safari Pugu / Dar es Salaam City imeanguka baadhi ya mabehewa maeneo ya Karume, hivyo njia ya Kawawa Road karibu na Veta haipitiki
Behewa limeacha njia na kuanguka, Watu kadhaa wamejeruhiwa, abiria wanaotoka Magomeni kwenda Mbagala na Tandika watalazimika kutafuta...
Kama Rais msisitizo utakuwa kwenye hizi njia mbili
Predict all cycles of abnormal protein mutation
Integrate all cycles of target abnormal protein mutation into single equation so as it can be easily target by novel therapeutics compound
Hata sisi waafrika tuna-uhuru wa kufikiria njia ya...
Mbwa anafundishwa akiwa mdogo, samaki anakunywa angali mbichi na udongo unapatwa ukiwa na umajimaji.
Uzalendo hauna mbadala kwenye kila taifa. Kama kwenye gari uzalendo ni kama usukari(stearing). Hata mtoto mdongo anaijua usukani ndio unaoelekeza gari liielekee wapi, Hata bila gari mtoto...
Ngono na watu wengi husababisha mikosi na kutofanikiwa kwa mambo yako. Upo uwezekano kwamba, unaanzisha mambo mbalimbali lakini hayafanikiwi.
Katika utaalamu, kila mtu unayefanya naye ngono huenda akaja na baraka au akaja na nuksi. Kwa wale waliotulia katika ndoa zao, huenda ngono ikawa chanzo...
Nimeuliza hivi coz sio expert ktk Programing ila nina ufaham na nazid kuprogress ktk hii career na ni raha hiki kipind cha AI inafanya bugs kua rahis kusolve.. 😀😀 so
Let's talk about it..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.