nje

Nje (Њ њ; italics: Њ њ) is a letter of the Cyrillic script.
It is a ligature of the Cyrillic letters En ⟨н⟩ and Soft Sign ⟨ь⟩. It was invented by Vuk Stefanović Karadžić for use in his 1818 dictionary, replacing the earlier digraph ⟨нь⟩. It corresponds to the digraph ⟨nj⟩ in Gaj's Latin alphabet for Serbo-Croatian.It is today used in Macedonian, variants of Serbo-Croatian when written in Cyrillic (Bosnian, Montenegrin, and Serbian), Itelmen and Udege, where it represents a palatal nasal /ɲ/, similar to the ⟨ny⟩ in "canyon" (cf. Polish ⟨ń⟩, Czech and Slovak ⟨ň⟩, Galician and Spanish ⟨ñ⟩, Occitan, Portuguese and Vietnamese ⟨nh⟩, Catalan and Hungarian ⟨ny⟩, and Italian and French ⟨gn⟩).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Kwenye nchi zilizoendelea kwasasa kuna uhaba mkubwa wa vijana wa kufanya kazi lakini wakati huohuo kuna janga kubwa la vijana wasikuwa na kazi Tanzania. Pamoja ni jitihada nyingi za serikali za kusaidia vijana kupata kazi na kufanya shughuli za kilimo ni lazima vijana nao wajiongeze walau kuweka...
  2. JamiiForums Tanzania Nilipoona tu Jana Filimbi ya Mpira kuanza na Mpira Kupigwa Nje Makusudi nilijua Rivers United FC wameshakufa

    Kwa wale tu mliocheza Mpira ngazi za Ligi za chini, kati na hata Kubwa na mliokuwa / mlioko Ligi Kuu sasa mtakubaliana nami kuwa aina hii ya Uchawi umetumika na unatumika mno Mipirani. Kitu pekee tu ninachokijua katika aina hii ya Uchawi ni kwamba Ukitumika Timu iliyoutumia kwa 100% hushinda...
  3. JamiiForums Tanzania Wasudan wajiuliza kuhamishwa raia wa nje kuachwa wao wapigane kuna hekima gani

    Mataifa karibu yote duniani yenye raia zao Sudan wanashindana kuwakimbiza nchini humo. Imekuwa kama ni siasa kuwahi kuwaondoa raia hao kwa mbinu tofauti. Nchi inayochelewa kufanya hivyo kama kwamba inahofia kuingia matatani kwa wananchi wake huko nyumbani. Katika kuondoka huko kila nchi imekuwa...
  4. JamiiForums Tanzania I am looking for a Housemaid job

    I'm Doto from Temeke Toangoma Dar es salam, 26 yrs old. I'm here looking for housemaid job please can you help me, I have 5 yrs experience for housekeeping and 1 yr babysitter. I know to cook, cleaning, washing, ironing and family careers and all the home surround work. Nisaidie please...
  5. JamiiForums Tanzania Njia 5 kuongeza kipato, nje ya utaratibu wa ajira yako ya kudumu

    Kwa kawaida unapokuwa umeajiliwa, au umejiajiri bado unaweza kuongeza kipato mbali ya kile unachopokea. 1. Blogger. Njia hii imependekezwa sana, waandishi weng wameipemdekeza njia hii, nimeona umuhimu kuirudia. Ulimwengu wa sayansi unazidi kusambaa na idadi ya watu wakihamia njia hizi kupata...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuzaa watoto Nje ya Ndoa mnawatesa viumbe wasio na Hatia

    Hili jambo linanihuzunisha sana. Sina cha kuwasaidia lakini angalau nina mdomo na mikono ya kusema na kuandika. Kila ninapona watoto wadogo wasio na mwelekeo kwemye maisha, hawana pa kulala, kula kwa tabu, kuvaa mtihani na shule ndio kabisa wamepoteza mwelekeo. Kipindi kama hiki cha mvua...
  7. JamiiForums Tanzania Ndio najua leo kuwa bado kuna makabila Tanzania bara ukioa nje ya kabila unategwa na ukoo!

    Katika story za jioni baada ya kazi leo hii nimejifunza kitu kigeni nanyi ningependa kuwashirikisha. Amini usiamini hadi sasa kuna makabila watu hulazimika kuoana wao kwa wao si kwa kupenda bali ni kuogopa kutengwa na ukoo. Moja ya kabila hili ni Wasafwa, ni kabila kubwa Mbeya kwa kuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali yetu ianze kutoa tuzo kwa watunza (wazungumzaji) Kiswahili kutoka mataifa ya nje

    Ni ukweli usiopingika kwamba dunia nzima inatambua lugha ya Kiswahili ina unasaba mkubwa na Tanzania. Kwa tafsiri fupi ni kwamba Tanzania tunaweza kuiita ardhi ya Kiswahili. Sasa nataka niongee kidogo kuhusu lugha hii adhimu na wizara yenye dhamana ya lugha hii kwamba lazima itumie mbinu...
  9. JamiiForums Tanzania Kamati ya mapokezi, Kuna wanawake ukionekana nao watu wanakuona wewe ni mgeni wa mji ama mgeni wa mapenzi

    Ni aina ya wanawake ambao wala hutumii nguvu sana kuwapata, cha kukupagawisha tu ni kwamba huwa ni pisi kali sana, wakimya, wanavaa fresh, hawana mdomo, unaweza kusema umepata kumbe hapo ndiko wageni wa mapenzi hujifunzia na wageni wa mji hupokelewa. Mbaya zaidi unakuta watu wanakuangalia tu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Serikali kuajiri watumishi 30,000 mwaka huu

    Serikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000. Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora alipokuwa anajibu Swali la Mbunge wa Mburu Mjini Mh. Zakaria Issay.
  11. JamiiForums Tanzania Wadogo zetu msidharau shule. Tunapowakazania msome ni kwamba huko angalau kuna uhakika, nje ya huko uhakika upo ila ni mdogo na wenye misukosuko

    Nawasalim kwa jina la JMT, Naamin kila mmoja wetu ni mzima wa afya na kwa wenzetu ambao hawako sawa kiafya basi mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Amin Kuna kitu huwa kinaitwa probability, hii ni kipimo cha uwezekano wa kitu kuwa. Nikija kwa mrengo wa maana yangu ni kwamba wapo wasanii...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kipi kinafanya Watanzania kutoaminika nchi za watu?

    Mo mp5 once again hope ni wazima Wana Jf. Sifa ya mtanzania ni ukarimu,ucheshi na upendo lakini imekuwa tofauti pale unapokuwa nchi za watu mtanzania ni mtu ambaye haaminiki kabisa hasa kwenye deals mbalimbali. Ukiona mtanzania yupo nje ana ishi vizuri ujue ana kipaji mchezaji...
  13. JamiiForums Tanzania Nyie wasomi hebu jaribuni kuwaza nje ya box,tumechoka vizinga vyenu

    Yaani just imagine mie darasa la saba B nasumbuliwa na hii mijitu inayojiita wasomi kila kila leo wakinipiga mizinga ya pesa mara Shangazi amemeza kiti,mara mke wangu anataka Dela aisee chefuu inakera sana! Sasa nasema hivi nyie wasomi acheni kunisumbua dadeki nyie si mnahisi kusoma ni...
  14. JamiiForums Tanzania TANESCO, hii hela ambayo surveyor anadai kulipwa na mteja pale anapotaka kuvutiwa umeme ipo nje ya wajibu wake?

    Kuna hela ambayo kuna mtu anaitwa surveyor hutaka kulipwa pale mteja anapotaka kuvuta umeme, je, kazi hii ni nje na majukumu yake ya kazi? Maana bila kulipa hii hela aisee huyo surveyor hadi akufikie utazeeka huna umeme.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wachina waliopo nchi za nje wajumuika na waislamu duniani kutoa michango katika mwezi wa Ramadhani

    Katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani imekuwa ni ada na desturi kwa Waislamu na wasiokuwa Waislamu kuendeleza moyo wa kuchangia na kuwasaidia watu wa makundi mbalimbali. Na hii ni pamoja na kufutarisha mayatima, watu wenye maisha duni, waumini wa misikitini ama hata watu kawaida...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Chalamila sasa unakwenda kutimia Mawaziri kukopa fedha nje kugombea urais 2025

    RC Chalamila aliwahi kusema kuna mawaziri ambao kazi yao ni kwenda nje ya nchi kukopa fedha na kujiimarisha kwa ajili ya kugombea urais 2025...kama kawaida yetu watanzania tukapuuzia....leo sasa utabiri huo unaanza kutimia
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wasira baada ya Rais kumtupa nje ya Kamati Kuu CCM ndio unawaita wenzako wanafiki?

    Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira amesema Taifa limeanza kupoteza watu kusema ukweli, badala yake kumeibuka utaratibu wa kusifiana hata pasipokuwa na sababu za Msingi. Alisema siku za hivi karibuni jamii imeanza kuogopa kusema kusema ukweli kuliko hata kuogopaugonjwa wa Ukimwi. Wasira...
  18. JamiiForums Tanzania Wakili Mahuna: Sabaya hajafungwa kifungo cha nje, ila Kapewa muda wa uangalizi wa mwaka mmoja

    Wakili wa Sabaya, Mh Mahuna amesema Sabaya alikiri kosa la uhujumu uchumi na hivo kwa mujibu wa makubaliano ya Plea Bargaining Sabaya anapaswa kumlipa Alex Swai kwa niaba ya mdogo wake Tsh 5,000,000/=. Mara baada ya hayo kesi ilienda kufail tena kwa makosa mawili ambayo ni "Kujitwawalia...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya serikalini kati ya Mtanzania na raia wa nje

    Habari wataalamu, Ndugu yangu wa like anataka kufunga ndoa ya kiserikali na raia wa nje. Huyo raia Kwa sasa anaishi nchini kwake ila anataka kuja Kwa muda mfupi wafunge ndoa halafu arudi kwao kuendelea na shughuli zake. Naomba kujuzwa utaratibu.
  20. JamiiForums Tanzania Bendera ya Finland kusimikwa leo nje ya ofisi za NATO

    Putin aliivamia Ukraine na kuanza kuiba ardhi yao kama njia ya kuwaadhibu kwenye mipango yao ya kutaka kujiunga NATO, sasa ni rasmi amepata ujirani wa NATO utakaokatiza mpaka mrefu takriban kilomita 1,340 km, yaani mithili ya Dar hadi unapitiliza Kigoma au Mwanza. Huyo Putin aliwahi kuwatisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…