nje

Nje (Њ њ; italics: Њ њ) is a letter of the Cyrillic script.
It is a ligature of the Cyrillic letters En ⟨н⟩ and Soft Sign ⟨ь⟩. It was invented by Vuk Stefanović Karadžić for use in his 1818 dictionary, replacing the earlier digraph ⟨нь⟩. It corresponds to the digraph ⟨nj⟩ in Gaj's Latin alphabet for Serbo-Croatian.It is today used in Macedonian, variants of Serbo-Croatian when written in Cyrillic (Bosnian, Montenegrin, and Serbian), Itelmen and Udege, where it represents a palatal nasal /ɲ/, similar to the ⟨ny⟩ in "canyon" (cf. Polish ⟨ń⟩, Czech and Slovak ⟨ň⟩, Galician and Spanish ⟨ñ⟩, Occitan, Portuguese and Vietnamese ⟨nh⟩, Catalan and Hungarian ⟨ny⟩, and Italian and French ⟨gn⟩).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Inafurahisha saana kuona jamii ilivyobadilisha mtazamo kuhusu watoto wa nje. Well done.

    Sasa hivi utaratibu ni njoo na wawili nilete wawili kisha tuongeze mmoja maisha yaendelee. Weekend baba yupo kwa baby mama na mama yupo kwa baby daddy wanaita kucooparent. Role model wao ni Chibu. Well done...ili kuwa ni suala la muda. Wewe uliye pata watoto kabla ya kuoa/kuolewa watoto ni...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand

    Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand (Kupitia Danvast Career Search) Habari wanajamii, Nimekutana na tangazo la kazi ambalo naona linaweza kuwasaidia baadhi yetu humu. Kuna nafasi 700 za kazi za kuangalia wazee (Caregiver Jobs) katika nyumba za kulelea wazee New Zealand...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana hoja. Haya makaa ya mawe yanayosafirishwa maelfu ya Tani Kila siku kwenda nje ni utajiri ambao ungetunufaisha hapa Nchini

    Nimemsikiliza hotuba yake akiwa mbambabay kabla hajakamatwa akiwaeleza Wananchi hao kuwa makaa ya mawe yanayosafirishwa kwa maelfu ya tani Kila siku kwenda bandarini kupelekwa China , India na ulaya ni utajiri ambao ungetumika hapa hapa nchi hii ingeendelea sana kwa upande wa viwanda na kukuza...
  4. JamiiForums Tanzania US imeamua kuwaua kiaina wahamiaji inaowatafuta ili kuharakisha malimbukeni waondoke nchini humo.

    Wizara ya mambo ya ndani ya Marekani imeiamrisha taasisi ya mafao ya nchi hiyo kuorodhesha majina karibu 6000 ya wahamiaji kama wafu ili wasiweze kumudu maisha nchini humo na hatimae kujiondokea kwa hiyari zao. Kwa kufanya hivyo wizara hiyo imesema popote watakapokuwa wahamiaji hao hawataweza...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ufanyeje ili ukiwa nje ya Tanzania Laini yako ya Simu isifungiwe na ukirejea Tanzania uendelee Kuitumia?

    Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa ina mwaka siitumii kwakuwa huku nilipo natumia Laini ya Mtandao wa huku. Kwahiyo nauliza ni Mbinu...
  6. JamiiForums Tanzania KUJICHUA NI PAMOJA NA KUPIZI NJE YA MFUMO.

    Eti anakwambia kojolea nje. bandugu zangu, hiyo si ni sawa na kupiga punyeto tu my friends, ladies and gentlemen? Hakuna haja ya kukutana basi kama ni hivyo. Kupigishana nyeto haikubaliki nyakati hizi tafadhali. kama hutaki kwendraa dhako huko 🐒 Mungu ibariki Tanzania
  7. JamiiForums Tanzania Simba SC kuivaa Stellenbosch baada ya kuitupa nje Zamalek SC, Nusu fainali Aprili 20

    Simba SC itakutana na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini baada ya kuwatoa Zamalek SC, Stellenbosch kashinda bao moja sifuri ugenini palepale Cairo. Soma, Pia: FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025 Mechi za nusu fainali zitapigwa April 18-20 na...
  8. JamiiForums Tanzania Nje ya mji kuna fursa ya biashara, nikiweka dogo akapige kazi nitanufaika?

    Naishi mjini, lakini hapa nilipo kuna kitongoji hakina kabisa library ya kuingiza movie katika flash, dogo yupo mkoani vip nikimwita akapige kazi hiyo nitanufaika? Usafiri wa kwenda na kurudi sababu haiwezi lala kule kukwepa garama za kukodisha chumba. Usafiri upo daladala 2500 ila kuna...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Waziri wa Mambo ya nje wa Angola kujadili maandalizi ya ziara rasmi ya Kitaifa ya Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Angola, Mhe. Tete António, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
  10. JamiiForums Tanzania Mawakala wa kusafirisha watu nje ya nchi.

    Habari wakuu...! Ndoto zangu ni kwenda duniani kutafuta maisha Bora nikawe muokota taka sweezeland au Norway kuliko kufanya KAZI za kizembe hapa bongo. Je Kuna mtu anajua mawakala wa kusafirisha watu nje ya nchi Nataka kuanza na Dubai commoro, Qatar Saudi Arabia etc
  11. JamiiForums Tanzania No reform No election mipaka ifungwe asikimbie mtu nje ya nchi wote wahesabiwe hapa hapa kama Mbowe...

    Naona ngojera zimepamba moto kila anaye kwenda tofauti kimtazamo na dikteta uchwara ana tenguliwa bila kufatwa kwa taratibu...ombi letu ni moja No reform haipingwi ila wakati ukifika wote wasihame nchi kenge wa mtandaoni na kenge walio nje ya maji huko nairobi waje hapa hakuna kukimbia...Dikteta...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara/serikali wanatumia mabilion kuagiza bidhaa nje wakati bidhaa kama hizo zinapatikana nchini

    Wachumi naomba mnisaidie, nimeona juzi diamond platinum anajisifu ameuza kontena 30 za sabuni ndani ya week, at the same time ukienda kigoma- sido wanazalisha sabuni zenye mfanano kama ulivyo, na ukienda utakuta godown yamejaa sabuni za kutosha, soko lake likiwa dogo, ivi kwanini tusikuze uchumi...
  13. JamiiForums Tanzania MACHIMBO BORA YA MASHUKA NJE NA KARIAKOO NI YAPI?

    Wakuu naomba msaada kwa yeyote anaejua machimbo bora ya mashuka nje na kariakoo ni yapi? Maana huwa naskia tu mashuka ya Uganda, Taiwan, UK, Turkey Nk ila sijajua exactly ni wapi naweza pata tofauti na vitu vingine ambavyo ukihitaji unaenda kucheki Alibaba. Kwa wanaojua naombeni msaada wakuu
  14. JamiiForums Tanzania Video: Huu kama sio ukoloni ni nini? Wachina waanzisha hoteli ambazo Mtanzania huruhusiwi kuingia

    Wakuu, Tunaposema kuwa Wachina ni existential threat kwa jamii yetu ya kitanzania huwa tunamaanisha Hapa ni GUangdong Hotel, Dar Es Salaam, huyu jamaa kasimamishwa getini anakatazwa kuingia kwenye hii hoteli na mlinzi. Akihoji kwanini anaambiwa hiyo hoteli ni "special" kwa Wachina. Ngozi...
  15. JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO ZA KIUHASIBU NA KODI KWA WAFANYABIASHARA WANAOFANYA BIASHARA KWA MTINDO WA KUAGIZISHA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

    Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au ku-facilitate biashara husika ,changamoto hizi hupelekea biashara au wafanyabiashara wengi wa mtindo tajwa...
  16. JamiiForums Tanzania Wazulu nje ya Afrika kusini

    Hii ni picha ya Wazulu wa Malawi, inayoitwa "Ngoni." Wanazungumza na kutekeleza lugha na utamaduni wa Kizulu na kufuatilia asili yao hadi KwaZulu. Sote tunawafahamu Wandebele (Wazulu wa Zimbabwe), lakini Wazulu wanapatikana kote Afrika Mashariki, katika nchi kama Malawi, Zambia, Msumbiji, hata...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema alaani vikali kiongozi wa Chadema taifa kupigwa na mlinzi wa Heche

    Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo; 1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake taifa kupigwa na kuumizwa ,kipigo kilichotolewa na Mwanaume,bali kinasema ni taarifa zinazosambazwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nje ya Siasa Ruto huwa ana insipire mno hasa kwenye mambo ya kilimo.

    Ruto akiwa shambani kwake akiotesha Ngano.
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini watanzania wengi wanasota, huku fursa za mauzo nje zikiwa nyingi?

    Nimekuwa nikiona vitu vingi vinavyouzika nchi za Ulaya na uarabuni. Hasa parachichi, viazi mbatata, matunda mengine yakiwemo machungwa, tikiti maji nk. Bila kusahau maua. Ukiangalia uhitaji wa hivi vitu, utagundua asilimia kubwa ya vyakula vya asili, vinavyouzika, kwa gharama kubwa, vinatoka...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku renew passport nje ya Tanzania

    Nipo nje ya nchi na pasipoti yangu imeisha muda. Nimesha jaza maombi ya pasipoti mpya na pia nimefanya malipo kwenye tovuti ya Uhamiaji. Pia nimetuma barua pepe na copi Ubalozi. Lakini bado hawajajibu. Naomba kama kuna mtu anajua taratibu zao nje nilichokifanya. Na inachukua muda gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…