nje ya nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa kusafiri nje ya nchi kwa basi naombeni uzoefu

    Habari ndugu wana JF. Kama mada inavyosema. BInafsi nina mpango wa kufanya safari nje ya mipaka ya Tanzania 🇹🇿 kwa njia ya basi kwenda nchi za Sadc na Eac kwa dhumuni la kutalii(Kutembea). Tayari nina documents zote muhimu kama yellow fever, COVID-19 certificates na Passport. Naomba...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya vyombo husika kuchunguza zile kambi za Simba nje ya nchi

    Huu ni ushauri tu kwa vyombo husika vinajifahamu siwezi kuvitaja hapa. Ila kwa kifupi kuna haja ya kuchunguza zile kambi za nje za Simba wanaenda kwa minajili gani, tunaelewa humu kwenye football kuna uovu mwingi sana umejificha kama vile, Kamari, Rushwa, Upangaji wa matokeo na pia biashara...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Dkt. Mhagama: Wafanyabiashara wengi wanashindwa kufanya biashara nje ya Nchi kwa kuwa hawana Dola, hili ni tatizo kubwa

    Wabunge wamechangia kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2024/2025 pamoja na muongozo wa maandalizi ya Mpango wa Bajeti Mwaka 2024/2025, leo Novemba 7, 2023. Akichangia hoja, Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama amesema Wafanyabiashara wengi wakubwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni utamaduni sahihi kwa Marais kuteua viongozi wakiwa nje ya nchi? Inaleta taswira chanya?

    Tumeona teuzi za jana na leo zimefanyika kutokea Doha Qatar. Je ni jambo sahihi viongozi wa Afrika kwenda kufanyauteuzi nje ya mataifa yao ikiwa hali ya usalama na kisiasa ni tulivu? Historia inayoonyesha kuna viongozi wengine wamewahi kuwa na huu utaratibu? --- - Rais Samia ateua Katibu...
  5. JamiiForums Tanzania Mtanzania usijiroge kwenda kutafuta maisha nje ya nchi. Tanzania kuna maisha yote

    Hii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni. Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na nusu unainjoi kuliko anayelipwa mamilioni huko nje. South Africa vijana wa kitanzania wanakufa kama...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ni Nchi zinazotoa VISA bure, Wabongo tunafeli wapi kusongamana ughaibuni kama Wanaijeria

    Wabongo nyoso ni wananchi ambao hawana desturi ya kusafiri nje ya nchi. Wote tumesongamana hapa Nchini utafikiri watoto wanaosubiria nyumba ya urithi. Nchi zinazotoa VISA ya bure kwa Watanzania. https://www.instagram.com/p/CxC5PRyuwra/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Japokuwa Nchi yetu inashika...
  7. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Dotto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi

    Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Doto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi Heshima Mheshimiwa Waziri wa Nishati na naibu waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Doto Mashaka Biteko, Kabla ya yote napenda kuchukua...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliye-graduate chuo cha nje ya nchi anakua more potential na kupewa kipaumbele kwenye ajira?

    Je, mwanafunzi alie-graduate chuo cha nje ya nchi anakua more potential na kupewa kipaumbele kwenye ajira tofauti na alie graduate ndani ya nchi?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu: Akiba ya fedha za kigeni inatosha kwa miezi minne

    Jumanne, Agosti 22, 2023 Benki kuu ya Tanzania BoT imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa Dola za Marekani bilioni 5.41 ambacho kinatosha kuagiza bidhaa za nje kwa miezi minne na siku 27. Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais aache upendeleo! Simba mpaka imualike wakati yeye ndie anaialika Yanga Ikulu na kuipendekeza iwe timu ya kumsindikiza nje ya nchi

    Rais kuhudhuria shughuli za Simba ni mpaka aalikwe kwenda Simba day, hii inatia mashaka, hivi Raisi wa Tanzania anashindwaji kubalance mzani wa usimba na uyanga ? Rais aliibembeleza Yanga ikubali mualiko kwenda Ikulu maana wakati huo Yanga ilikuwa na ratiba ngumu ya kwenda kumaliza mechi za...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu huduma za M-PESA na mitandao mingine nikiwa nje ya nchi

    Habari wakuu. Naomba kujua kama nikienda nje ya Africa nikitumia huduma ya international roaming kama bado naweza kufanya miamala ya kutuma na kupokea pesa kwenye simu. Shukran!
  12. JamiiForums Tanzania Global education link daraja kwa wanafunzi nje ya nchi

    Global Education Link yawakaribisha Wanafunzi wa ngazi mbalimbali za Elimu ya juu kutembelea katika Banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 18 ya vyuo vikuu nchini Yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja Jiji Dar es salaam ili kupata nafasi yakuunganishwa na Vyuo Vikuu mbalimbali Duniani...
  13. JamiiForums Tanzania CCM walishindwaje kumtibia Jecha nje ya nchi licha ya kuwabeba kwenye Uchaguzi Mkuu 2015?

    Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani. Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwenda Pre-Season nje ya nchi kwa timu masikini?

    Tanzania hakuna timu tajiri, timu nyingi kama sio zote hazina misuli ya fedha za kusajili wachezaji wazuri sana na mabenchi ya ufundi class ya juu. Timu nyingi zinashindwa kuwalipa makocha na wachezaji signing fees zao na mishahara kwa wakati, wachezaji hawana bima na hazina viwanja vyao...
  15. JamiiForums Tanzania Kampuni 266 za Nje ya Nchi zinashiriki maonesho Sabasaba 2023

    Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk Ashatu Kijaji amesema kampuni za nje zilizoshiriki katika maonyesho ya 47 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) mwaka huu zimeongezeka ikilinganishwa na mwaka jana. Mwaka huu jumla ya kampuni 266 kutoka nje zimeshiriki maonyesho hayo...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali Iwasimamie Wasafirishaji wa Mizigo Kutoka Nje ya Nchi ili Ipate Kodi Halisi Kutoka kwa Wafanyabishara

    MHE JULIANA MASABURI AISHAURI SERIKALI IWASIMAMIE WASAFIRISHAJI WA MIZIGO ILI KUPATA KODI HALISI KWA WAFANYABIASHARA Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 23 Juni 2023 amechangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023-2024 na kutoa mapendekezo...
  17. JamiiForums Tanzania Wabunge Watoa Hoja Kuishauri Serikali Juu ya Wakulima Kuuza Mazao Nje ya Nchi

    WABUNGE WATOA HOJA KUISHAURI SERIKALI JUU YA WAKULIMA KUUZA MAZAO NJE YA NCHI Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe amewaongoza wabunge wanaotokea maeneo ya wakulima na wafanyabiashara kutoa hoja ya kuishauri Serikali namna nzuri ya kuwasaidia wakulima wanaouza mazao...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tulipobinafisisha Gas, tuliambiwa ni mwarobaini wa umasikini Tanzania na tutauza umeme nje ya nchi, sasa yako wapi

    CCM ni kama kibinti Malaya kiilichokimbilia kanisani kikidhani ni mwisho wa umalaya kisijue ile ni roho kamili! Kila hisia za kiumalaya zinapochemka, kinajiambia, wacha niende tu leo mara ya mwisho na starudia tena, kinafanya, na kesho kinafanya, na bado ile roho ya umalaya haikomi na mwisho...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unagombanishwa kwa wananchi kuzuia kuuza mazao nje ya Nchi. Unatutakia Watanzania umaskini wa lazima

    Heshima yako Rais wangu Samia. Mimi ni mmoja wa Watanzania wasiokupinga wala kukubali sana nipo 50/50 kwa sababu nakuona kama Rais mwema, msikivu, mwenye hekima, una diplomasia nzuri sana ya kimataifa. Kwenye uwekezaji wa Royal Tour nia njema nilikupa 100% utekelezaji unahitaji maboresho kidogo...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe apigilia Msumari marufuku ya kuuza Mazao nje ya Nchi

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema kilichozuiliwa na Serikali ni watu kufanya biashara ya mazao kinyume na utaraibu. Bashe amesema hayo alipokuwa akizindua Ofisi ya kuleta mabadiliko ya sekta ya kilimo nchini jijini Dodoma leo jumatatu Juni 19, 2023 ambapo ameeleza kuwa Serikali haitaruhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…