njaa kali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Isaya Yunge awakwepa Wadangaji lia-lia (wapiga vizinga, njaa kali) Bongo!

    Mwamba kakwepa kiunzi cha wadangaji wa bongo njaa kali. Kaenda kwenye ufalme wa maziwa na asali, familia bora ya Ruto. Poleni sana wadangaji lia-lia
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Huwa nakula vitumbua hadi 18 na supu ama chai ajabu baada ya masaa2 napata Njaa Kali mno hadi kutetemeka je ni ugonjwa?

    Binafisi napenda sana vitumbua tena sana. Mfano Leo hii nimeingia mgahawani nikaagiza vitumbua 15 hadi muhudumu akashangaa na vilipoishia nikaagiza aongeze vitumbua3. Nikalipia nikaenda zangu. Baada ya masaa2 tu Njaa ambayo nilipata si ya kawaida hadi nikawa naona Giza na kutetemeka kabisa...
  3. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Sweden na Finland sasa hivi kuna njaa kali, msijisumbue kutamani kuja

    Maisha sasa hivi Sweden na Finland kwa wahamiaji (Foreigners) ni magumu sana kupita maelezo. Kuna njaa kali sana na hii serikali zao zinafanya maksudi kwa kubana na kukaza ili tu kuzuia wahamiaji. Kazi za kubeba box zimekuwa ngumu hata za kufagia tu zimekuwa za kugombania na siyo full time...
  4. Isenye

    JamiiForums Tanzania List ya idara zenye njaa kali huko halmashauri.

    1.Idara ya elimu ya msingi 2.Idara ya kilimo 3.Idara ya michezo 4.Idara ya mifugo na uvuvi 5.Idara ya usafi na mazingira 6.Idara ya utawala 7.Idara ya ujenzi 8.Idara ya Elimu secondary Huko watu wamepauka hadi huruma
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Utapiamlo wa Yemen na njaa kali ya sudan havipati airtime kama njaa ya kutunga ya Gaza

    Sasa unajiuliza hizi pesa ambazao IRGC na muslim brotherhood wanazo sambaazaa kwa wahuthi na vikundi vingin ili kuwachinja wayahudi na wakristo kwa nini wasiwekezee katika jamii yao kuikomboa? Kwanini kituo feki cha habari Aljazeera wasitie kambi sudan na Yemen kuonesha mahangaiko ya jamii...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    1. St Judy schools 2. vision fund 3. Halmashauri za wilaya 4. Akiba commercial bank 5. Tanzania commercial bank 6. Dcb bank 7. Dtb bank 8. IPP media 9. Toyota Tanzania 10 . Car & General Trading Ltd 11. Rotana Hotel 12.J eshi la Magereza 13 . Jeshi la zimamoto 14. Kampuni za ulinzi 15. Mahakama...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Wazungu Uingereza wanapora vitu madukani. Hakuna tofauti na Afrika, njaa kali

    Wanakummbi. Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi nawafahamu kiasi wazungu ni binadamu kama wengine na ni wizi, waongo wanafiki angalia hiyo video ingekuwa...
  8. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Rwanda kuna njaa kali sana? Wameficha wee Jumuiya ya mataifa imejua

    Hii kashfa ilikuepo siku nyingi sana sema ndo nchi haina vyombo vya habari hamna wa kureport. --- New fears have arisen about the suitability of Rwanda as a destination to send UK asylum seekers after a damning government assessment about the prevalence of poverty and malnutrition in the...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jaribio la Israel kuitawala Gaza limeshindwa na vita vinaendelea eneo lote katikati ya njaa kali

    Taarifa zinazotolewa na vyomba kadhaa vya habari vinatoa picha ambayo si nzuri kwa Israel ikiwa ni mwezi wa tano tangu vita vianze. Mfano mapigano makali yameripotiwa kaskazini ya Gaza ambapo pande zote mbili zimepata hasara.Vita hivyo vimepiganwa karibu na hospitali ya Alshifaa eneo ambalo...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Watu 176 wafa kwa njaa kali

    Watu 176 wamekufa katika Jimbo la Tigray kutokana na njaa iliyosababishwa na ukame, kati yao Wanaume ni 101 na Wanawake 75. Takriban watu 45,000 katika Wilaya ya Emba Sieneti wanakabiliwa na njaa kali, iliyozidishwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka miwili. Aidha, kuna...
  11. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Tuna Viongozi wenye njaa kali ndo maana wakiingia madarakani wanaanza kujibrand kwanza

    📌 Taifa letu hapo ndipo Tunapokwama kila kiongozi njaa kali. Mtu anazurura Kwenye chama miaka nenda rudi hafanyi kazi ajishughurishi siku akapewa kitengo Taifa analifanya lake. VIONGOZI WOTE NJAA KALI.. CHA MSINGI KIJANA PAMBANA PIGA KAZI.
  12. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti: Wakenya zaidi ya Milioni 6 wanakabiliwa na Njaa Kali

    Ripoti mpya iliyotolewa na taaisi ya Kenya Food Security Steering Group imeonesha idadi ya Wananchi walioathirika na Ukame imeongezeka kutoka Watu Milioni 4.2 iliyoripotiwa July 2022. Pia, ripoti imeonesha zaidi ya Watoto 970,000 wenye chini ya miaka 5 na akina Mama Wajawazito na Wanaonyonyesha...
  13. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ni wakulima ndio wanaogaiwa chakula cha msaada, siyo wafanyabiashara

    Chakula na Mahindi ya msaada yanagawiwa vijijini huko na sio mjini, mjini haijawahi tokea mahindi ya msaada yakagawiwa, na huko vijijini ni wakulima ndio wanalia njaa kali sana. Sasa Bashe anasemaje kuona wakulima wake ndio sasa hivi wanagaiwa mahindi ya msaada? Bashe ujue anazania wanao teseka...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Watu kulala hovyo kwenye madaldala ni dalili ya njaa kali!

    Watu wanasinzia tu sasa hovyohovyo kwenye daladala; ile mtu amekalia tu siti na gari kujitikisa kidogo tayari usingizi na mara kadhaa udenda pia. Panda daladala za routes zote sasa hapa Dar hali ni hiyo. Mtu anapanda buguruni sheli anashuka sokota lakini hafiki bila kusinzia. Nenda nje ya Dar...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kitenge na Shaffii huangalia mambo kwa jicho la Njaa Kali

    Original post and source Shaffii source yake ikiwa hiyo ya juu. My Take Naelewa tatizo sio lugha ila ni kufikiria mambo katika mlengo wa njaa. Yaani inaanza njaa baadae ndio unafikiria. Dauda na Kitenge nyie ni wazee sasa. Lindeni heshima kidogo mliyokuwa nao. Hizi nafasi kubwa wanazipata...
  16. TAI DUME

    JamiiForums Tanzania Mjue nabii wa kiafrika aliyemwigiza Nabii Daniel wa kwenye Biblia kuingia katika banda la simba wenye njaa kali

    Huyo mwamba pichani upande wa kushoto alipata kuwa nabii mkubwa sana huko Nigeria kwenye miaka ya 80 na 90. Anaitwa nabii Daniel Abodunrin. Unambiwa mwamba alikuwa anafanya miujiza mikubwa mikubwa , alitabiri mambo kwa ufasaha na alikuwa na wafuasi wa kutosha ambao walimwamini sana. Yote hayo...
  17. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Bar Maids wa Kisuma Bar Magomeni njaa kali

    Bar Maid wengi sio wameingia katika kazi hii kwa kupenda hii ni kazi kama kazi nyingine, nina mifano mingi sana marafiki na ndugu zetu wamepata wenzao kupitia hawa Bar Maid. Siku mbili hizi nilibahatika kwenda Magomeni Usalama pale kuna wauzaji wa magari ya mkononi. Nikatia timu Bar inaitwa...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rose Mayemba: Wanachadema toeni michango, tuna njaa kali. Hii njaa ni kali tutashindwa kudai demokrasia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe Rose Mayemba,baada ya kuzinduliwa mpango mahususi wa kuchangia Chama (Join the chain) ametoa wito kwa wanachama kuendelea kutoa michango kwa kuwa haiwezekani kudai demokrasia ya kweli wakiwa na njaa. https://t.co/UWwleS0fUi
  19. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampa onyo Waziri wa OR-TAMISEMI, Selemani Jafo

    Mh. Rais amesema Wizara ya Tamisemi ina matumizi ya ovyo ya pesa za Serikali, yenyewe haikusanyi ni mwendo wa matumizi kwa kwenda mbele hivyo kamwagiza Waziri Jafo afuatilie vizuri matumizi ya wizara yake na kama akishindwa Basi asaidiwe(atumbuliwe) Ushauri. Mh Seleman Jafo jipange...
  20. Slowly

    JamiiForums Tanzania Njaa Kali ama ni nini : Wasanii kuweka mpaka Video za matembezi kwenye accnt zao za YouTube

    Hili Jambo linanishangaza Sana , sijaona wasanii wengine hasa wa nje , wakiweka video tofaut na official music kwenye official accnt zao za YouTube , huku Tz ni fujo tupu , unakuta msanii anaoga bafuni anajirekodi anaweka kwenye accnt yake ya YouTube ..... Huyo Zuchu sasa ni hamna kitu , wimbo...
Back
Top Bottom