nimeumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Edmund John aliyesajiliwa Yanga ni mchezaji hatari sana, nimeumia kusajiliwa Yanga

    Kama makocha wetu wangekuwa na uwezo wa kutambua vipaji basi kiungo wa pembeni Edmund John ni namba moja, dogo anajua sana boli, awali alipokuwa Singida nilidhan ni mchezaji wa kigeni lkn baadae nikaambiwa ni mbongo. Sipepesi macho, kwa sasa Tanzania ukimuondoa Kibbu Dennis, anayefuatia upande...
  2. Chibike

    Dah! Mzee Tom Cruise (63) anapiga hii mashine nimeumia sana

    Wakali wa movies Sina haja ya kumuongelea Tom Cruise ni nani wengi wenu mtakua mnamfahamu Ila nimeumia sana sana kama vile ndio mke wangu huyu, anapiga hii mashine nadhan mnamfaham huyu dada kwenye movies, hata movie mpya ya Ballerina, anaetamanisha kwa kumuangalia tu, ananitoa udenda...ama...
  3. N

    Diamond kalikejeli eneo la Mtoni Mtongani akijisahau ni National Icon Artist mweny mashabiki maenei mbalimbali, hakutakiwa kupadhihaki

    Wengine tuna Ndugu, Jamaa na Marafiki wanaoishi huko Hata wana Jamii Forums maarufu kina Lucas Mwashambwa GENTAMYCINE Ritz kipara kipya Tlaatlaah wanakujua, wana ndugu zao, wanaishi au waliwahi kuishi.
  4. ELI COHEN

    Nimeumia kuona moja ya picha ya crime scene nyumbani kwa mdude kuna choo cha mtoto.

    Mtoto mdogo kama huyu unakuta alishuhudia baba yake anapigwa and maybe anaweza asimuone tena
  5. MTV MBONGO

    Nimeumia, najiuliza kwanini TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani na Saudi?

    Imeniuma Sana kusikia kuwa TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani, Saudi Arabia, UAE, Cyprus na South Africa. Unadhami sababu ni nini?
  6. Mwachiluwi

    Nimeumia kisa mapenzi

    “Naanzaje kukataa Joshua? Nipo tayari uniowe hata kesho. Nikikumbuka jinsi tulivyokutana moyo wangu unajawa na furaha na amani sana. Nakupenda pia Joshua” Alisema Noela kisha alimkumbatia Desmond. Sura ya Desmond ilibadili taswira kutoka kutabasamu hadi kuwa mtu aliye siriazi na jambo...
  7. Q

    Nimeumia sana au Sina bahati

    Natazama majina ya walio itwa kwenye usaili wa uhamiaji jina langu halipo na Sifa zote nilikuwa Nazo au Kwasababu maskini.
  8. Analogia Malenga

    Nimeumia kuitwa wa Kwa Mwamposa

    Habari za Mwamposa nazisoma tu humu. Sasa leo natoka zangu mkoani kurudi Dar kwa shughuli zangu nimebeba shangazi kaja likiwa na mzigo kutoka mkoani huko. Hawa wapiga debe wakaanza kuniita wa Kwa Mwamposa, nikauliza ni nini wakasema abiria wa mkoani wameongezeka kwa tukio la Mwamposa. Mind...
  9. agathaM

    Nilinunua dish la Azam kwa ajili ya mechi za Tanzania na ulaya. Nimeumia sana

    Lengo langu ni kuona mechi za Tanzania na ulaya. Leo tulikiwa tukiangalia fa ulaya nasikitika Amzam hawakuwa na time na FA cup final kati ya man u na man City. Nakwenda kung'oa anyltena dish la Azam Asanteni
  10. Leejay49

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Signed out
  11. Chance ndoto

    Nimeumia sana hii mechi yetu na Morocco, nimeumia sana na timu yetu ya taifa

    Hamna mechi katika maisha yangu imeniuma kama hii Tanzania na Morocco. Kweli Tanzania sisi wakupigwa goli Tatu. Kwamba sisi tuko level ya chini hivi. Sawa timu huwa zinafungwa. Kweli vijana wetu wameenda kutuwakilisha mechi ya kwanza wanapigwa tatu. Mbona walituadaa mioyo yetu vizuri. Sisi...
  12. Hakuna anayejali

    Sitaki kuandika sana lakini ninyi wadau mtasema

    Watoto wa shule wenye umri wa miaka13-17wanapakiwa kwenye gari na kupelekwa shamba kwa nakubaliana ya malipo ya7000 kutwa baada ya kazi ya kupanda.Je hii ni dawa?
  13. TODAYS

    Nimeumia sana baada ya kumuona huyu kiongozi katika hali hii!

  14. Brain Kingdom

    Nimeumia sana baada ya kupata umbea kuwa demu ninaempenda katika harakati za mahusiano ametoa mimba 15 na zaidi

    Wajameni Dunia hii Ina mengi sana, nimekutana na mfadhaiko mkubwa sana. Iko hivi katika pitapita zangu nimekutana na msela wangu akiwa na mademu watatu, sasa baada ya kuwajoin kuna story za maisha ya hao mademu besties wa msela kumbe wamesoma pamoja Olevel, na chuo cha Ualimu. Sasa bhana mie...
  15. Komeo Lachuma

    Kumbe nyie ndo Mnatumaliza Nguvu za Kiume kwa Makusudi. Nimeumia sana

    Dada anasema amezaa na mumewe mtoto mmoja. Akapata kakijana mchepuko aka-fall in love nako. Baadaye akapata wazo kuwa asababishe kuvunjika kwa ndoa ili abaki na kakijana mchepuko. Wakapanga wamwekee dawa ya kuua nguvu za kiume mumewe. Akafanya hivyo. Mume miaka 3 mashine haisimami. Si kwa ku...
  16. P

    Nimeumia sana kuona mke wa mtu anazini ndani ya usafiri wa umma, tena akiwa na mtoto mdogo

    Habari zenu ndugu zangu? binafsi namshukuru huyu MUNGU kwa uzima. Ni jana tu siku ya alhamisi nikiwa natokea Dar kwenda Moshi mjini nikipanda gari ya umma (nikumbushie kidogo sio kila siku binafsi tu). Mida ya saa 4 hivi asubuhi nilifika stendi ya mabasi MAGUFULI pale mbezi nikijua kabisa...
  17. Chizi Maarifa

    Nimeumia sana Iran kufungwa na USA na kutolewa

    Kwa jana match ambayo ilikuwa kwangu muhimu sana ilikuwa ya Iran vs USA hii nliitamani sana. Ilikuwa match yenye mvuto wa peke yake kwetu sisi wapenzi wa Iran. Nlifuatilia kwenye vyombo vya habari huko nje. Tension ilikuwa kubwa sana na Iran walijipanga kupata siku ya mapumziko kama...
  18. Chizi Maarifa

    Kaniingiza hasara kubwa sana, leo ndiyo nimegundua nimeumia sana

    Huyu binti ni miezi kama miwili naomba nipate naye japo nafasi ndogo. Nikamshawishi Jumamosi tukaenda Bagamoyo. Aliniambia kabisa tunaenda ili niondoe wazo la kumla. Alinipa angalizo hilo nisahau. Jumamosi tukalala kawaida nikiteseka sana. Jumapili pia, jana jioni homa ilinizidia nikaanza...
  19. T

    Nimemsikiliza Naibu Katibu wa chama cha soka Burundi, nimeumia sana kuhusu Tanzania yangu

    Nimemsikiliza sana naibu katibu wa chama cha soka cha Burundi kuhusu mipango yao ya maendeleo, nikajaribu kuwaza kuhusu mwelekeo wa taifa letu kimichezo, nikaona bado tuna safari ndefu sana kufikia matamanio yetu kimichezo. Alipoulizwa na mtangazaji wa chombo kimoja cha habari hapa nchini...
  20. Suzy Elias

    Waziri Katambi: Vijana ambao hawajapata mikopo ya Halmashauri pengine ni Wakenya

    Si kweli kwamba vijana wa nchi hii hupata mikopo bali mikopo yote ihusuyo vijana hugawanwa na Viongozi wa chama tawala na vijana wao nao ni wale tu walio na connection. Katambi acha dharau na hilo litakukosesha jimbo. === Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 18, 2022, bungeni jijini Dodoma, wakati...
Back
Top Bottom