nimeumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mathsjery

    I'm very hurt today, but I have no way.

    Just Read: Hello. how are you doing? I am from the Caribbean family and i live in Dallas, TX I want a website design for my Wife Restaurant opening soon and I will like you to use this image for the new website for my wife Restaurant. {link kapuni} This is what i want you to create for my...
  2. lee Vladimir cleef

    Nimeumia sana na ninaumia sana kwa anachokifanya Urusi dhidi ya Ukraine

    Mimi kama mtanzania mdogo,mnyonge na masikini ukweli kutoka moyoni sifurahii kabisa vita hii ambayo inheweza kuepukika isipokua kutokana na kiburi Cha baadhi ya watu na hasa USA. Kama sio USA kumtia kiburi Zelensky Leo hii kusinhekua na vita Ukraine. Ukweli kabisa Sasa nhurumia kabisa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Kuelekea sikukuu; Je ni Mgeni uliyewasili au uliyefika? Nimeumia Sana

    KUELEKEA SIKUKUU; JE MGENI UMEWASILI AU UMEFIKA. NIMEUMIA SANA. Na, Robert Heriel. Leo nataka kujua maana ya maneno haya; "Kuwasili, kufika, kuketi na Kukaa" maana huku nimekerwaaa Sana. Sikukuu huku imeshaanza, mamia Kwa maelfu yameenda nyumbani Kula sikukuu. Nami ni mmoja wa watu nilirudi...
  4. C

    Nimeumia sana leo

    Leo nimekutana na mtoto mzuriii mweupee mwembamba dah, nimempenda nikamsalimia akaitikia vizuriiii nikashindwa kumsimamisha roho imeniuma sana jamani
  5. Cicadulina

    Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

  6. R

    Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

    Wakuu, Naandika hapa kama sehemu ya kuomba ushauri pia. I have my wife, over recently tumekuwa na mikwaruzano ya hapa na pale chanzo kikiwa ni yeye kwenda kinyume na utaratibu tuliojiwekea, hakuonyesha hata dalili zakuomba msamaha, ilinibidi nitumie nafasi kama Baba kujitenga kidogo nae...
Back
Top Bottom