nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania NIDA imekosa mwelekeo kabisa

    Nimemsikia simba chawene kuanzisha vitambulisho vya NIDA chini ya miaka 18. Yani kwa nilivyo safiri na kujifunza kwangu nchi za nje, Vitambulisho vya taifa vipo kwa ajili kisheria ukishatimiza umri wa kujitambua ndio unapatiwa. Kingine zaidi mfumo wa nida umekuwa kama kitengo cha wasajili...
  2. buffalo44

    JamiiForums Tanzania KERO Msaada wa NIDA Verification kugoma kwenye kusajili Kampuni au Shirika, licha ya Taarifa kuwa sahihi

    Hello Wakuu. Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii. Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again" Nimeenda office ya NIDA wilayani nimehakiki kila taarifa na kuangalia status za NIDA inaonesha haina shida wala kukosewa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kuna haja watu kujiunga na mitandao ya kijamii kwa taarifa zao sahihi za NIDA hasa JF

    Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa JF kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada. Sasa dawa yao ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania inavuna ilichowekeza kwenye Rushwa! Wasiokuwa Watanzania walipata NIDA, mtawadhibitije sasa?

    Jambo haramu ni haramu tu Njia ya mwenye dhambi ni tamu machoni pake mwenyewe na mwisho wake ni uangamizi Nchi yangu kwa sasa inapitia wakati mgumu sana kuliko wakati wowote ule Nchi yangu iliwekeza kwenye Rushwa, na sasa inavuna matunda yake NIDA ni kitambulisho cha mtanzania tu ndiye...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania NIDA yatoa kibali maalum kwa marekebisho ya taarifa za usajili wakiwemo waathirika wa vyeti vya kughushi katika ajira za Serikali

    Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, James Kaji, ametangaza kibali maalumu cha mwaka mmoja cha kuruhusu marekebisho ya taarifa za usajili ambazo zilikwama kutokana na kukinzana na taratibu za uthibitishaji, ikiwemo matumizi ya nyaraka za kughushi na taarifa za uongo. Kibali hicho, kilichoanza kutumika...
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mnaokwenda kuchukua vitambulisho vya NIDA hivi karibuni mnapewa?

    Nimeona hawa jamaa wanasema kupiga kura mpaka vitambulisho vya NIDA vinatumika je Kwa wale ambao mlikua hamjapata vitambulisho vya Nida mkienda mnapewa maana Inaonekana watatoa haraka kukiko mwaznobaada ya kutangaza kupiga kura Hadi vitambulisho vya nida vinatumika
  7. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Sijaupenda utaratibu wa NIDA wa kufungia namba

    Leo nilienda kupata huduma inayohusisha namba ya NIDA. Cha ajabu huduma sijapata kwakua namba yangu ya NIDA imefungiwa. Nilipotaka kujua sababu, nimeambiwa kuna zoezi lilifanyika la kufunga namba zote ambazo wamiliki hawajafuata vitambulisho vyao. Swali fikirishi. Ni wangapi wamehama mikoa...
  8. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Namba ya NIDA imefungiwa

    Naomba mwongozo wa namna ya kuandika barua ya kuomba namba yangu ya NIDA kufunguliwa ambayo nitamtumia ndugu yangu atayeiwasilisha ofisi za NIDA ambako nilijiandikishia ili waweze kuunblock namba yangu pamoja na kumpatia kitambulisho. Sababu za kufungiwa nimeambiwa ni kutokuchukua kitambulisho...
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Vurugu zaibuka kwenye foleni ya kupata vitambulisho vya NIDA Njombe

    Kufuatia kitendo cha wananchi kupigana na wengine kuibiwa simu wakiwa kwenye foleni wakipigania kupata vitambulisho vya NIDA, Halmashauri ya mji wa Njombe imelazimika kuongeza wiki moja ya kutoa huduma wananchi ili kumaliza changamoto hiyo ambayo inapigiwa sana kelele na wananchi. Ni mratibu wa...
  10. Trainee

    JamiiForums Tanzania NIDA wachague moja kati ya kuruhusu kuona namba mtandaoni (online) au waondoe kabisa huduma hiyo isiwepo kabisa

    Kwanza naheshimu serikali na natambua juhudi yake katika kuhudumia wananchi, kulinda na kudhibiti taarifa zao. Zamani sehemu ya huduma kwa jamii ambayo ilikuwa na usumbufu namba moja ilikuwa ni RITA (cheti cha kuzaliwa) lakini siku hizi namba moja kwa usumbufu ni NIDA. Niliwahi kuandika humu...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI NIDA na RITA wametoa mkataba kwa shirika la Babu leo LTD kufanya marekebisho ya majina kwenye vyeti

    Wakuu Nimekutana na hii barua ambayo inasema NIDA na RITA wametoa mkataba kwa shirika la Babu leo LTD kufanya marekebisho ya majina kwenye vyeti? kuna ukweli wa hizi taarifa?
  12. O

    JamiiForums Tanzania Nida na Vyeti vya kuzaliwa naona ni kama kero

    Tuendelee kuchapa kazi kulijenga Taifa..... MImi naona Kuna shida kwenye system ya vyeti vya kuzaliwa na Nida mfano taarifa zote zinazopatikana kwenye NIDA Zipo kwenye vyeti tena nida iko na Tarifa nyingi na za muhimu kuliko NIDA ss kwa nini kila ofisi ya serikali utakayoenda wanatak cheti cha...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama mgombea uraisi tume inampa gari kwa ajili kuomba kuchaguliwa na sisi tushajua mna NIDA zetu tulipeni

    Mambo ya kwenda burundi tukikuuliza kodi,tukifa unasema kifo ni kifo mpaka wale wanaotuambia sijui oktoba watatiki sawa si mnajua. Kwa sasa NIDA yangu kama utalazimisha kuwa nilikuchagua thamani yake ya kukuchagua ni bilioni 23 za kitanzania. Hii kesi nimepata wazo ili wajuwe CCM oktoba...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mifumo ya Chadema imeungwa na NIDA, ushahidi huu hapa, je na wao wanaitumia kuiba kura?

    Kumekuwa na kelele za mfumo sijui imeungwa na nini. Hata mifumo ya chadema imeungwa na NIDA. Je wanaitumia kuiba kura?
  15. B

    JamiiForums Tanzania TLS, Mwabukusi: "Mweleweni Polepole kwenye hoja yake ya mifumo ya CCM, INEC na NIDA kuhusiana na wizi wa chaguzi kiufundi."

    Palikuwa na uzi humu: Soma: Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi? Uzi huo ulikuwa na maelezo ya kina katika lugha rahisi kuhusiana na alichosema Polepole na kuibiwa uchaguzi alikokuangazia. Ikumbukwe anayeweza...
  16. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wenye NIDA tukutane Uwanja wa Mkapa - Uapisho (November 2025)

    Wenye kitambulisho cha NIDA tuna furaha zaidi hivyo basi tukutane kwenye uapisho Uwanja wa Mkapa
  17. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kila mwenye NIDA anapeleleza Ilani

    Kila mwenye kitambulisho cha NIDA anapaswa kuwa Afisa kipenyo kwa utekelezaji wa Ilani ya Chama katika ngazi husika (Kata, Jimbo na Taifa).
  18. MNEKI

    JamiiForums Tanzania Yani kwa kifupi Kama una namba ya NIDA oktoba UTATIKI upende Usipende

    Hiki ndio tunachomaanisha tunaposema mfumo umeunganisha INEC=NIDA=CCM
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Waya hauwezi kutoka NIDA kwenda bank accounts za CCM na sisi tupate ya soda?

    Ni dhahiri sasa huu uchaguzi sio tena kwa ajili ya kuchagua wawakilishi wa wananchi. Ni dhahiri sasa hawa CCM hawapo tena kuhakikisha ustawi wa Tanzania. Wewe umeona wapi mtu anatumia gharama kubwa na mbinu za aibu eti kwa ajili ya kutaka kukuwakilisha? Huu ni uchaguzi kwa ajili awamu nyingine...
  20. K

    JamiiForums Tanzania HAYA YA POLEPOLE KUWA MIFUMO YA NIDA, INEC NA CCM INASOMANA. JE NI YA KWELI?.

    Nimeona mjadala huu ukishika kasi ya kutisha. Mimi siyo mtalaam wa IT. Kwa wale walio na ujuzi wa masuala haya ninaomba mnipe elimu jinsi mfumo huu unavyoweza kusomana na athari zake kwa wapiga kura. Nawasilisha.
Back
Top Bottom