nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kura zinaibiwa vipi kupitia NIDA?

    Uchaguzi mkuu tunawapigia kura madiwani, wabunge na raisi. Baada ya kupiga kura zinahesabiwa na matokeo ya kura za udiwani, ubunge na uraisi yanabandikwa kwenye kituo husika, Yale ya udiwani yanajumlishwa kwa ngazi ya kata na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa diwani. Ya ngazi ya ubunge...
  2. Griss

    JamiiForums Tanzania Modestus Kapilimba Former DGIS na (IT) ndiye aliunganisha NIDA, NEC na CCM?

    Mwaka 2015 alikuwa mfanyakazi BOT Alitolewa BOT kwa taarifa kwamba anaende likizo. Mwaka huo huo 2015 akaibukia NEC akafanya aliyoyafanya. Baada tu ya Magufuli kuingia Ikulu aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa NIDA. Badae akateuliwa kuwa mkurugenzi wa TISS. Mpaka anaondoka TISS ilikuwa mshike...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwaka jana mkoa wa mtwara masasi NIDA zilikusanywa majumbani

    Habari wakuu! Mwaka jana mwezi wa 8 kuna watu walikuwa wakipita kila nyumba kuchukua namba za NIDA , alichokisema polepole ni ukweli mtupu! Wanaccm wezangu ni muda sasa tumuunge mkono Tundu lissu mzalendo wa kweli! Hawa ccm wametutumia sana! Kuanzia sasa nipo kwenye NRE! NIMEUJUA UKWELI
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Bila kadi na namba ya NIDA huwezi kuuza wala kununua katika serikali ya CCM

    Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake. Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza...
  5. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Kwa haya ya Kuunganishwakwa taarifa za NIDA Tume ya uchaguzi na CCM

    Ni ukweli kabisa usio pingika hata kwa 0.00000000000000001% hauwezi kukataa alichokisema polepole Kwa wale walio sajiliwa katika mfumo wa Kidigital wa MAFISIEMU. Ni kweli utakuta taarifa zako za NIDA mfano picha yako uliyo sajiliwa NIDA ndiyo ile ile itaenda kuwa profile picture yako ya CCM...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Wizi wa kura kupitia NIDA na NEC ulifanyika basi sio wanamtandao

    Kwa kumbukumbu zangu, zoezi la kuandikisha NIDA lilianza mwezi Septemba 2015, wakati Rais Jakaya Kikwete anamaliza muda wake na Rais John Magufuli pamoja na Polepole, Kakurwa na wazalendo wengine wakiingia Ikulu. Hata hivyo, matumizi makubwa ya mfumo huu yalianza zaidi katika kipindi cha...
  7. econonist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbe INEC imechukukua orodha ya wapiga kura kutoka NIDA?

    Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana. Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi...
  8. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kwenye vituo vya kupigia kura Kuna mawakala wa vyama vya siasa vyote kura zinahesabiwa kwa uwazi Je! Hizo NIDA zinatoka wapi? hojini Kama wasomi basi

    Niwashauri tu nyie watu ambao mmekesha mnamsikiliza polepole, hebu muwe hata mnajihoji wenyewe mtapata kitu badala ya kupelekeshwa na upotoshaji wa polepole, sasa NIDA inahusikaje wakati vituoni Kuna mawakala wa vyama vyote? Lengo la polepole ni kupotosha umma kwasabu anajua Hana chakuongea...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatupigi kura kidigitali kwamba mtu akiwa na NIDA tayari kapiga kura, tunapiga kura kwenye boksi zinahesabiwa mbele ya mawakala

    Watanzania tuache kutapeliwa kirahisi rahisi. Yaani mtu anadanganya eti NIDA sijui inasaidia kuiba kura. Uongo mkubwa. Kura zinapigwa manually(kwenye kituo) zinahesabiwa hapohapo, na matokeo yanajulikana. Sasa NIDA inakujaje? Kura za udiwani huko Nkasi zinapigwa mbele ya mawakala, zinahesabiwa...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ninawataka NIDA na INEC kuwaomba watanzania MSAMAHA

    Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi. Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO. NIDA mmetukosea sana Watanzania...
  11. toriyama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    https://www.youtube.com/live/QhmqcI-asWc?si=VAYw0M7vJFDx-3-A Polepole : Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba Mfumo unaotumika kuiba uchaguzi kwa sasa ni NIDA, na ndio lengo ambali serikali ya Samia inayotaka kutumia kushinda...
  12. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Kuna siku nimeenda NIDA nilishangaa kuona hawa jamaa wapo na mabadiliko makubwa ya kihuduma .

    Hivi karibu nilihitaji huduma ya kuweka majina ya mdogo wangu vizuri. Mtiririko uliopo ni very advanced Sana mpaka nikasema Kongole.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nini kimepelekea mitambo ya Nida Kuzimwa: Je: Imeharibika au kuna mchongo wa watu wameutega?

    Watoto wana omba kujiunga na vyuo vikuu wanalalamika. Taarifa za Nida hazipatikani yapata wiki sasa bila taarifa! Je; Kwanini haipatikani? Je kuna watu wanatengeneza mazingira ya kupiga pesa? Je kuna tenda inalazimishwa kwa mtindo huu au ni nini? Tunaomba ufafanuzi?
  14. atupele ephraim

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kuverify NIDA unachangamoto shida nini?

    Kama wiki sasa tunajaribu kuingia huduma ya bodi ya mikopo kwenye kipengele cha kuverify nida kuna goma kabisa shida sijui nini , tafadhali pitieni ili tuendelee bila usumbufu. Asante
  15. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Katika Dunia ya Kidijitali, kwanini Mwananchi abebeshwe mzigo wa vitambulisho?

    Ni jambo la kusikitisha kuona mwananchi wa kawaida analazimika kubeba kadi takribani 10 kila siku ili kupata huduma mbalimbali. Kuanzia Kitambulisho cha Taifa (NIDA), kadi ya mpiga kura, kadi ya benki, ya ajira, ya bima ya afya, hadi kadi za usafiri au zile za klabu zaa michezo, mzigo huu wa...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Swala la vitambulisho vya Nida nakupongeza sana Bashungwa

    Bashungwa nakupongeza . Kwa sasa utartibu uliopo Nida umekaa kisomi Sana . Ikiwa MTU jina lake lilikosewa n.k anafata utaratibu ambao ndani ya wiki mbili mpaka tatu majina yanakuwa yamebadilika. Ule usumbufu wa Kutangaza katika Gazeti haupo. Ule utartibu wa kwenda ardhi na mambo na viapo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO NIDA wamefuta namba yangu ya kitambulisho niliyotumia tokea 2017 kwa madai fomu yangu ya maombi haina muhuri wa afisa uhamiaji

    Mimi nina changamoti kuhusu NIDA. Nilijiandikisha Mkoa wa Kagera, Wilaya ya Bukoba Mjini, Kata ya Kitendaguro, Mwaka 2017, Mpaka namaliza chuo Mwaka 2020, Kitambulisho kilikuwa hakijatoka, lakini number ilikuwa tayari, sasa nimekuwa nikitumia number, baadaye nilihamisha makazi yangu Dar es...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded NIDA: Kitambulisho kikifutika kilete Mkandarasi atakichapisha upya bila malipo

    Mwanachama wa JamiiForums.com aliandika "Ningependa kutoa kero yangu kuhusu hali ya Vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufutika kwa haraka mno, na hii ni kwa vitambulisho vinavyotolewa kipindi hiki vinapoteza maandishi kwa muda mfupi tangu vitolewe...
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nida Kibaha maili Moja kuna moja ya mtumshi wenu pale hafai

    Kuna mfanyakazi mmoja mapokezi mofisi za NIDA Kibaha maili Moja mama mmoja mweupe amejichubua anakaaga nje mapokezi maili Moja mkoani ofisi za nida anajifanya kama ofisi yake binafsi anawatreatna kuwafokea wananchi kama watoto imekosa utu kabisa aisee yaani kakaa mapokeziofidi za NIDA tu...
  20. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Serikali na TCRA Kuna shida gani Kutumia neno NIDA,Sms ukiituma ikiwa na neno NIDA haiendi kabisa,tatizo ni nini!?

    Wasalaamu Wapendwa. Kuna changamoto nimeanza kuiona toka Jana,nilikuwa natuma sms kwa wateja wangu ambao nawaombea mikopo kwenye bodi ya mikopo na elimu ya juu(Heslb). Wakati nawasiliana nao na kuwaambia nitumie namba ya NIDA,sms ikiwa na neno NIDA haiendi kabisa, naomba watu wa TCRA...
Back
Top Bottom