nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Namba ya NIDA imefungiwa

    Naomba mwongozo wa namna ya kuandika barua ya kuomba namba yangu ya NIDA kufunguliwa ambayo nitamtumia ndugu yangu atayeiwasilisha ofisi za NIDA ambako nilijiandikishia ili waweze kuunblock namba yangu pamoja na kumpatia kitambulisho. Sababu za kufungiwa nimeambiwa ni kutokuchukua kitambulisho...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Vurugu zaibuka kwenye foleni ya kupata vitambulisho vya NIDA Njombe

    Kufuatia kitendo cha wananchi kupigana na wengine kuibiwa simu wakiwa kwenye foleni wakipigania kupata vitambulisho vya NIDA, Halmashauri ya mji wa Njombe imelazimika kuongeza wiki moja ya kutoa huduma wananchi ili kumaliza changamoto hiyo ambayo inapigiwa sana kelele na wananchi. Ni mratibu wa...
  3. Trainee

    JamiiForums Tanzania NIDA wachague moja kati ya kuruhusu kuona namba mtandaoni (online) au waondoe kabisa huduma hiyo isiwepo kabisa

    Kwanza naheshimu serikali na natambua juhudi yake katika kuhudumia wananchi, kulinda na kudhibiti taarifa zao. Zamani sehemu ya huduma kwa jamii ambayo ilikuwa na usumbufu namba moja ilikuwa ni RITA (cheti cha kuzaliwa) lakini siku hizi namba moja kwa usumbufu ni NIDA. Niliwahi kuandika humu...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI NIDA na RITA wametoa mkataba kwa shirika la Babu leo LTD kufanya marekebisho ya majina kwenye vyeti

    Wakuu Nimekutana na hii barua ambayo inasema NIDA na RITA wametoa mkataba kwa shirika la Babu leo LTD kufanya marekebisho ya majina kwenye vyeti? kuna ukweli wa hizi taarifa?
  5. O

    JamiiForums Tanzania Nida na Vyeti vya kuzaliwa naona ni kama kero

    Tuendelee kuchapa kazi kulijenga Taifa..... MImi naona Kuna shida kwenye system ya vyeti vya kuzaliwa na Nida mfano taarifa zote zinazopatikana kwenye NIDA Zipo kwenye vyeti tena nida iko na Tarifa nyingi na za muhimu kuliko NIDA ss kwa nini kila ofisi ya serikali utakayoenda wanatak cheti cha...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama mgombea uraisi tume inampa gari kwa ajili kuomba kuchaguliwa na sisi tushajua mna NIDA zetu tulipeni

    Mambo ya kwenda burundi tukikuuliza kodi,tukifa unasema kifo ni kifo mpaka wale wanaotuambia sijui oktoba watatiki sawa si mnajua. Kwa sasa NIDA yangu kama utalazimisha kuwa nilikuchagua thamani yake ya kukuchagua ni bilioni 23 za kitanzania. Hii kesi nimepata wazo ili wajuwe CCM oktoba...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mifumo ya Chadema imeungwa na NIDA, ushahidi huu hapa, je na wao wanaitumia kuiba kura?

    Kumekuwa na kelele za mfumo sijui imeungwa na nini. Hata mifumo ya chadema imeungwa na NIDA. Je wanaitumia kuiba kura?
  8. B

    JamiiForums Tanzania TLS, Mwabukusi: "Mweleweni Polepole kwenye hoja yake ya mifumo ya CCM, INEC na NIDA kuhusiana na wizi wa chaguzi kiufundi."

    Palikuwa na uzi humu: Soma: Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi? Uzi huo ulikuwa na maelezo ya kina katika lugha rahisi kuhusiana na alichosema Polepole na kuibiwa uchaguzi alikokuangazia. Ikumbukwe anayeweza...
  9. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wenye NIDA tukutane Uwanja wa Mkapa - Uapisho (November 2025)

    Wenye kitambulisho cha NIDA tuna furaha zaidi hivyo basi tukutane kwenye uapisho Uwanja wa Mkapa
  10. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kila mwenye NIDA anapeleleza Ilani

    Kila mwenye kitambulisho cha NIDA anapaswa kuwa Afisa kipenyo kwa utekelezaji wa Ilani ya Chama katika ngazi husika (Kata, Jimbo na Taifa).
  11. MNEKI

    JamiiForums Tanzania Yani kwa kifupi Kama una namba ya NIDA oktoba UTATIKI upende Usipende

    Hiki ndio tunachomaanisha tunaposema mfumo umeunganisha INEC=NIDA=CCM
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Waya hauwezi kutoka NIDA kwenda bank accounts za CCM na sisi tupate ya soda?

    Ni dhahiri sasa huu uchaguzi sio tena kwa ajili ya kuchagua wawakilishi wa wananchi. Ni dhahiri sasa hawa CCM hawapo tena kuhakikisha ustawi wa Tanzania. Wewe umeona wapi mtu anatumia gharama kubwa na mbinu za aibu eti kwa ajili ya kutaka kukuwakilisha? Huu ni uchaguzi kwa ajili awamu nyingine...
  13. K

    JamiiForums Tanzania HAYA YA POLEPOLE KUWA MIFUMO YA NIDA, INEC NA CCM INASOMANA. JE NI YA KWELI?.

    Nimeona mjadala huu ukishika kasi ya kutisha. Mimi siyo mtalaam wa IT. Kwa wale walio na ujuzi wa masuala haya ninaomba mnipe elimu jinsi mfumo huu unavyoweza kusomana na athari zake kwa wapiga kura. Nawasilisha.
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo INEC wananavyoweza kuchakachua kura kupitia NIDA

    Imeandikwa na Dr Calipso, X HII INAFANYIKAJE . Kwenye mfumo kuna kitu kinaitwa query, unaicommand query in run ikuvutie taarifa Fulani muhimu then unaweza kuzi intergrate na mifumo mingine wataalamu wa CTC2 Database inayo inayotunza taarifa za Ukimwi mnaelewa. Mfano waliojiandikisha kihalali...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa AI wa kisheria kuhusu kimachosemwa kuwa ushirikiano kati ya NIDA, INEC na CCM

    Kumekuwa na tuhuma zinazodai kuwa mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) umeunganishwa au unashirikishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa nia inayotazamwa/hisiwa kuwa ovu na inayokiuka haki za faragha na usawa wa kisiasa. Uhalali wa jambo...
  16. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC: Mfumo wa TEHAMA wa INEC umeunganishwa (Interphase) na Mfumo wa NIDA ili kuboresha utendaji

    Mwezi March 2025 wakati wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau, Mkurugenzi wa TEHAMA-INEC (Stanslaus Mwita) alinukuliwa akisema " Tumefanya maboresho kwa kufanya maunganisho ya kimfumo kati ya mfumo wa kupiga kura wa INEC na Mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)."
  17. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hii fomu ya kujisajili na CCM mbona kama inasomana na NIDA?

    Hapo nilipozungushia duara red, kuna mjadala aisee 🤣🤣🤣
  18. M

    JamiiForums Tanzania Media za Bongo mnaandikaje utetezi wa INEC na NIDA wakati hamkutuhabarisha kilichosemwa na Balozi Polepole?

    Wasaaalamu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza inakuwaje media za kibongo zinatupa habari za NIDA na INEC wakati hazikutuhabarisha habari zilizosemwa na Mheshim8wa Balozi mstaafu Humphrey Polepole??? Hii imenifanya nikumbuke Former President H E Benjamin Mkapa (rip)alivyowahi kusema hakuna...
  19. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kwanini NIDA, INEC na CCM ghafla wamepanic na kuropoka ovyo ovyo kimfanano baada ya Pole pole kumwaga siri zao?

    Kama wewe ni mdadisi wa kutaka kupima hisia za ukweli wa tuhuma fulani, basi angalia kwanza mrejesho wa mwanzo wa yule aliyetuhumiwa (yaani Reaction ya mtuhumiwa). Baada ya Pole Pole kuzilipua CCM, NIDA na INEC, ghafla ziliibuka taarifa nyingi za makada wa CCM kujaribu kujibu hoja za Pole...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Naomba haya maswali yajibiwe na INEC na NIDA kama kweli Polepole kasema uongo vinginevyo Inatia mashaka

    Nilimsikiliza vizuri Polepole aliposema mifumo ya CHAMA inasomana na Taarifa za NIDA na Tume ya UCHAGUZI Baadae Tumesikia majibu ya kukanushwa Taarifa hiyo kutoka INEC na NIDA! WAMEKANUSHA kwamba hiyo mifumo haisomani! Majibu haya ndiyo yamenishitua kabisa kuliko hata TUHUMA za POLEPOLE...
Back
Top Bottom