Uliza chochote kuhusu Passport na Namba ya NIDA

Bei rahisi Electronicks

Senior Member
Joined
Nov 24, 2025
Posts
167
Reaction score
393
PASSPORT NINI
Ni hati rasmi ya kusafiria inayotolewa na serikali ya nchi, ambayo hutumika kuthibitisha utambulisho na uraia wa mtu, ikimruhusu kusafiri kimataifa na kuingia/kurudi nchini kwake, ikifanya iwe chombo muhimu cha kuvuka mipaka na kuomba ulinzi wa kibalozi nje ya nchi.

Vigezo & Nyaraka Zinazohitajika:
1.Cheti cha Kuzaliwa: Cheti chako cha kuzaliwa halisi.
2.Cheti cha Mzazi mmoja wapo aidha baba au mama au kiapo cha kuzaliwa cha mzazi wako mmoja wapo
3.Kitambulisho cha Taifa (NIDA)
4.Picha:
5.(NIDA) ya mzazi mmoja wapo wa muombaji
6.Barua ya utambulisho

Ukihitaji elimu na upataji wa passport , Namba ya NIDA kwa haraka ni cheki PM

Gharama za Passport kwa mujibu wa Idara ya uhamiaji Tanzania ni Tsh 150,000/ utapewa control number ukalipe.

Muhuri wa mwanasheria gharama zake itategemea na makubaliano

Passport ya Tanzania inatolewa na Idara ya uhamiaji tu ,Fika office za uhamiaji Tanzania zipo kila Mkoa.

images (3).jpeg
 
Sasa wewe ni nani ni kishoka au afisa?
 
Hii imekaaje mkuu katika family moja hapa tz babu wazaa babu na bibi walitoka nje katika ile vita ya Burundi 1972 ,lakini wazazi walizaliwa hapa na now wana makazi yao na wakazaa watoto na miongoni mwa mtoto akaenda uhamiaji kuomba Passport akiwa na documents zake kamili lakini hakupewa passport zaidi ya kuambiwa yeye siyo Mtanzania.je hii imekaaje
 
Mkuu jibu hapa
 
PASSPORT NINI
Ni hati rasmi ya kusafiria inayotolewa na serikali ya nchi, ambayo hutumika kuthibitisha utambulisho na uraia wa mtu, ikimruhusu kusafiri kimataifa na kuingia/kurudi nchini kwake, ikifanya iwe chombo muhimu cha kuvuka mipaka na kuomba ulinzi wa kibalozi nje ya nchi.

Vigezo & Nyaraka Zinazohitajika:
1.Cheti cha Kuzaliwa: Cheti chako cha kuzaliwa halisi.
2.Cheti cha Mzazi mmoja wapo aidha baba au mama au kiapo cha kuzaliwa cha mzazi wako mmoja wapo
3.Kitambulisho cha Taifa (NIDA)
4.Picha:
5.(NIDA) ya mzazi mmoja wapo wa muombaji
6.Barua ya utambulisho

Ukihitaji elimu na upataji wa passport , Namba ya NIDA kwa haraka ni cheki PM

Gharama za Passport kwa mujibu wa Idara ya uhamiaji Tanzania ni Tsh 150,000/ utapewa control number ukalipe.

Muhuri wa mwanasheria gharama zake itategemea na makubaliano

Passport ya Tanzania inatolewa na Idara ya uhamiaji tu ,Fika office za uhamiaji Tanzania zipo kila Mkoa.

Nataka namba ya nida natakiwa nianzie wapi?
 
Back
Top Bottom