NIDA imekosa mwelekeo kabisa

NIDA imekosa mwelekeo kabisa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,759
Reaction score
37,341
Nimemsikia simba chawene kuanzisha vitambulisho vya NIDA chini ya miaka 18.

Yani kwa nilivyo safiri na kujifunza kwangu nchi za nje, Vitambulisho vya taifa vipo kwa ajili kisheria ukishatimiza umri wa kujitambua ndio unapatiwa.

Kingine zaidi mfumo wa nida umekuwa kama kitengo cha wasajili laini yani hakuna mamlaka kamili kati ya uhamiaji na nida.
 
CHANGAMOTO AMBAYO HUWA NAIONA KWA WAPINZANI

NI KUKOSA UELEWA WA MAMBO KWA KINA

WAZO LA SIMBACHAWENE NI WAZO BORA SANA

Ila ukishakuwa mpinzani unawekeza nguvu Latina kukosoa

N.B MAISHA YAKO NDO KILA KITU HAKIKISHA UNAKATAA MAANDAMANO
 
Mbona mtu mmoja kajibiwa na akaunt tatu tofauti. Moja ilifunguliwa mwaka 2014, zinapishan dakika tano tano kujibu. Login log out
 
Sasa boss mbona iko sawa kabisa kwamba kuwe na mfumo kanapozaliwa katoto punde kanaandikishwa kupata NIDA. Au pengine umetembea sana huko duniani na pengine umeanza kuamini kwamba kufanya kama wafanyavyo wao ni Bora zaidi?
Sometime lazima tujiepushe na mwigo wa kila kitu pale tunapoweza kufanya kwa utofauti
 
Mbona ni wazo zuri sana nchi zilizoendelea mtoto akizaliwa tu anapewa passport yake Sasa kama sisi bado hatujafika huko Kuna shida gani akipewa NIDA yake kabisa akifika miaka 18 anaenda ku update tu
 
Nimemsikia simba chawene kuanzisha vitambulisho vya NIDA chini ya miaka 18.

Yani kwa nilivyo safiri na kujifunza kwangu nchi za nje, Vitambulisho vya taifa vipo kwa ajili kisheria ukishatimiza umri wa kujitambua ndio unapatiwa.

Kingine zaidi mfumo wa nida umekuwa kama kitengo cha wasajili laini yani hakuna mamlaka kamili kati ya uhamiaji na nida.
Mchongo wa upigaji huo,hivyo vitambulisho vya nida kuna watu wazima wameomba toka april hadi leo havijatoka kwa madai bado avijaprintiwa halafu ghafla bin vuu waanze kutoa vya Watoto!
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
CHANGAMOTO AMBAYO HUWA NAIONA KWA WAPINZANI

NI KUKOSA UELEWA WA MAMBO KWA KINA

WAZO LA SIMBACHAWENE NI WAZO BORA SANA

Ila ukishakuwa mpinzani unawekeza nguvu Latina kukosoa

N.B MAISHA YAKO NDO KILA KITU HAKIKISHA UNAKATAA MAANDAMANO
Wapinzani wengi ni watu wa mihemko na hasira. Wanadhani kuwa serikali peke yake inaweza kuwapatia hela moja kwa moja au kuwaajiri moja kwa moja. Wanadhani kuwa ni haki kutafuta hela bila ya kujali sheria zinasemaje. Wakichukuliwa hatua halali za kisheria wanaona serikali ni adui.

Na mbaya zaidi wengi wao wanafikiria kwa fikra za viongozi wa upinzani.

Hii imezaa upinzani wa kupinga kila kitu hata vitu vyenye tija wao wakishajua ni serikali ya CCM imesema basi wanapinga.
 
Back
Top Bottom