nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. N

    NIDA inatumia mifumo ya kizamani ya miaka ya 90 ndio maana huduma ni mwezi mzima tunatia Aibu tutumie Ai na mifumo ya kidigital

    Kwa kuzingatia mabadiliko ya kiteknolojia, mifumo ya usajili ya NIDA inahitaji kuboreshwa kwa kutumia AI (Inteligensia ya Bandia) na usajili wa kidijitali. Hii ni njia bora ya kuleta huduma bora, haraka, na salama kwa wananchi. Teknolojia hizi zitasaidia kuondoa mapungufu yaliyopo kwenye mifumo...
  2. Roving Journalist

    Responded NIDA: Kujua kama Kitambulisho chako cha NIDA kimechapishwa, huna ulazima wa kwenda Ofisini, unaweza kujua kwa njia ya Mtandao

    Baada ya Wananchi mbalimbali kupitia Jukwaa la JamiiForums.com kuweka wazi malalamiko yao ya kutopata taarifa ya kujua lini hasa kitambulisho cha NIDA kinakuwa tayari kwa wale wapya waliojisajili na wale ambao wamefanya mchakato wa kupata vitambulisho vipya, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa...
  3. Eratosthenes

    NIDA NA MADENI YALIYOKUWA LINKED NAYO

    Naomba kujua namna naweza kutrack taasisi yoyote ya mikopo iliyo linked na namba ya nida!
  4. A

    KERO Ofisi za NIDA Ilemela - Mwanza kuna uzembe kwenye utoaji Vitambulisho vya Taifa, Mamlaka zifuatilie

    Nilijiandikisha na kupata Namba ya NIDA Mwaka 2020 nikaenda kufuatilia kitambulisho Mwaka 2022 nikaambiwa bado nikarudi Disemba 2025 nikaambiwa bado nilipohoji kwanini inachukua muda mrefu kiasi hicho nikaambiwa itakuwa kilisahaulika. Sasa inawezekana vipi taarifa zilizopo kwenye mfumo...
  5. K

    KERO Tuliorejesha vitambulisho vya NIDA vilivyofutika tunapigwa 'danadana' kupatiwa vingine

    Baada ya kuwepo kwa malalamiko ya wananchi wengi kudai kuwa vitambulisho vyao vya NIDA vimefutika, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilijitokeza kujibu kuwa changamoto hiyo imetokana na uzembe wa mzabuni aliyekuwa na tenda ya uchapishaji, aliyesababisha uzalishaji wa vitambulisho vyenye...
  6. Godoro la kioo

    Mchakato wa kitambulisho Cha NIDA ukoje?

    Mwanzoni sikukitilia maanani kitambulisho Cha nida lakini baada ya kuona umuhimu wake nimeamua Leo nikakifuatilie Nimeenda kwenye ofisi ya mtendaji nimepewa fomu zote mbili nimejaza Mtendaji kaweka mihuri yake pale kanipatia fomu kaniambia nirudi jumatatu Sasa naomba kuuliza kwenu wazoefu...
  7. Bei rahisi Electronicks

    Uliza chochote kuhusu Passport na Namba ya NIDA

    PASSPORT NINI Ni hati rasmi ya kusafiria inayotolewa na serikali ya nchi, ambayo hutumika kuthibitisha utambulisho na uraia wa mtu, ikimruhusu kusafiri kimataifa na kuingia/kurudi nchini kwake, ikifanya iwe chombo muhimu cha kuvuka mipaka na kuomba ulinzi wa kibalozi nje ya nchi. Vigezo &...
  8. upupu255

    NIDA Mbeya kwanini vitambulisho vinafutika kabla ya kuwafikia raia? Hamuoni kama mnachezea kodi zetu makusudi?

    Mimi kama mtanzania mzalendo nasikitishwa sana na taasi za umma ambazo zinatumia fedha za umma katika kazi zinazotekelezwa kwa viwango vya chini hatimaye kutumia fedha nyingi za wananchi katika jambo moja mara kwa mara wakati pesa inayopotea ingeweza kufanikisha utekelezaji wa masuala ya msingi...
  9. Fbn

    NIDA imekosa mwelekeo kabisa

    Nimemsikia simba chawene kuanzisha vitambulisho vya NIDA chini ya miaka 18. Yani kwa nilivyo safiri na kujifunza kwangu nchi za nje, Vitambulisho vya taifa vipo kwa ajili kisheria ukishatimiza umri wa kujitambua ndio unapatiwa. Kingine zaidi mfumo wa nida umekuwa kama kitengo cha wasajili...
  10. buffalo44

    KERO Msaada wa NIDA Verification kugoma kwenye kusajili Kampuni au Shirika, licha ya Taarifa kuwa sahihi

    Hello Wakuu. Nimekua najaribu kusajili NGO yangu kupitia mfumo wa NIS jamii. Lakini kila nikifika kuverify NIDA yangu naandikiwa "something is wrong, please try again" Nimeenda office ya NIDA wilayani nimehakiki kila taarifa na kuangalia status za NIDA inaonesha haina shida wala kukosewa...
  11. H

    Kuna haja watu kujiunga na mitandao ya kijamii kwa taarifa zao sahihi za NIDA hasa JF

    Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa JF kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada. Sasa dawa yao ni...
  12. M

    Tanzania inavuna ilichowekeza kwenye Rushwa! Wasiokuwa Watanzania walipata NIDA, mtawadhibitije sasa?

    Jambo haramu ni haramu tu Njia ya mwenye dhambi ni tamu machoni pake mwenyewe na mwisho wake ni uangamizi Nchi yangu kwa sasa inapitia wakati mgumu sana kuliko wakati wowote ule Nchi yangu iliwekeza kwenye Rushwa, na sasa inavuna matunda yake NIDA ni kitambulisho cha mtanzania tu ndiye...
  13. DuaZaMama

    NIDA yatoa kibali maalum kwa marekebisho ya taarifa za usajili wakiwemo waathirika wa vyeti vya kughushi katika ajira za Serikali

    Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, James Kaji, ametangaza kibali maalumu cha mwaka mmoja cha kuruhusu marekebisho ya taarifa za usajili ambazo zilikwama kutokana na kukinzana na taratibu za uthibitishaji, ikiwemo matumizi ya nyaraka za kughushi na taarifa za uongo. Kibali hicho, kilichoanza kutumika...
  14. Scared

    Mnaokwenda kuchukua vitambulisho vya NIDA hivi karibuni mnapewa?

    Nimeona hawa jamaa wanasema kupiga kura mpaka vitambulisho vya NIDA vinatumika je Kwa wale ambao mlikua hamjapata vitambulisho vya Nida mkienda mnapewa maana Inaonekana watatoa haraka kukiko mwaznobaada ya kutangaza kupiga kura Hadi vitambulisho vya nida vinatumika
  15. nusuhela

    Sijaupenda utaratibu wa NIDA wa kufungia namba

    Leo nilienda kupata huduma inayohusisha namba ya NIDA. Cha ajabu huduma sijapata kwakua namba yangu ya NIDA imefungiwa. Nilipotaka kujua sababu, nimeambiwa kuna zoezi lilifanyika la kufunga namba zote ambazo wamiliki hawajafuata vitambulisho vyao. Swali fikirishi. Ni wangapi wamehama mikoa...
  16. nusuhela

    Namba ya NIDA imefungiwa

    Naomba mwongozo wa namna ya kuandika barua ya kuomba namba yangu ya NIDA kufunguliwa ambayo nitamtumia ndugu yangu atayeiwasilisha ofisi za NIDA ambako nilijiandikishia ili waweze kuunblock namba yangu pamoja na kumpatia kitambulisho. Sababu za kufungiwa nimeambiwa ni kutokuchukua kitambulisho...
  17. Mafyangula

    Vurugu zaibuka kwenye foleni ya kupata vitambulisho vya NIDA Njombe

    Kufuatia kitendo cha wananchi kupigana na wengine kuibiwa simu wakiwa kwenye foleni wakipigania kupata vitambulisho vya NIDA, Halmashauri ya mji wa Njombe imelazimika kuongeza wiki moja ya kutoa huduma wananchi ili kumaliza changamoto hiyo ambayo inapigiwa sana kelele na wananchi. Ni mratibu wa...
  18. Trainee

    NIDA wachague moja kati ya kuruhusu kuona namba mtandaoni (online) au waondoe kabisa huduma hiyo isiwepo kabisa

    Kwanza naheshimu serikali na natambua juhudi yake katika kuhudumia wananchi, kulinda na kudhibiti taarifa zao. Zamani sehemu ya huduma kwa jamii ambayo ilikuwa na usumbufu namba moja ilikuwa ni RITA (cheti cha kuzaliwa) lakini siku hizi namba moja kwa usumbufu ni NIDA. Niliwahi kuandika humu...
  19. DuaZaMama

    SI KWELI NIDA na RITA wametoa mkataba kwa shirika la Babu leo LTD kufanya marekebisho ya majina kwenye vyeti

    Wakuu Nimekutana na hii barua ambayo inasema NIDA na RITA wametoa mkataba kwa shirika la Babu leo LTD kufanya marekebisho ya majina kwenye vyeti? kuna ukweli wa hizi taarifa?
  20. O

    Nida na Vyeti vya kuzaliwa naona ni kama kero

    Tuendelee kuchapa kazi kulijenga Taifa..... MImi naona Kuna shida kwenye system ya vyeti vya kuzaliwa na Nida mfano taarifa zote zinazopatikana kwenye NIDA Zipo kwenye vyeti tena nida iko na Tarifa nyingi na za muhimu kuliko NIDA ss kwa nini kila ofisi ya serikali utakayoenda wanatak cheti cha...
Back
Top Bottom