ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Benyamin Netanyahu Kafa? Kama siyo mbona wanajieleza Sana

    Nawasalimu Kwajina la JF! Naweka kiulizo kifupi japo hili swala limeulizwa sana lakini sioni jibu lilolkuwa wazi, Swali nini kipo nyuma ya Uvumi wa mitandao ya kijamii Hasa ya Serikali ya Israel kuhusu uvumi wa Kifo cha Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahau? Kwanini Nguvu kubwa imekuwa...
  2. Ni nini hasa raia wengi wa Tanzania wanakitaka katika siasa?

    Sidhani kama wengi demokrasia na mambo ya haki ni kipaumbele kwao. Inaonekana wengi wanachotaka ni maendeleo tu bila kujali yamepatikanaje au gharama yake. Lakini pia raia wengi wanapenda viongozi wanaume wahafidhina populists na nationalists.
  3. Dunia ni ya ajabu sana. Hadi Sasa sielewi hii dunia imeanza wapi na lengo la watu kuletwa hapa ni nini?

    Sijawahi kusimama upande wowote either Mungu yupo au la, ingawa hadi sasa sielewi kwasababu sijui. Napenda something which brings logical sense and has facts. Ninewatch hii video nikasema nilete hapa wadau wanisaidie kunipa mawazo why huyo msichana yupo kama karukwa na akili na pia ni kwanini...
  4. Wabobevu wa maandiko ni nini maana ya kuwa mwilini mmoja?(Mwanzo 2:24)

    Mwanzo 2:24 [24]Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh. Nimeweke na tafsiri ya kiingereza ili ilete maana yenye...
  5. N

    JamiiAi: Nimeuliza hii Ai swali dogo tu na fupi kuhusu jamiiforums ni nini nimepewa majibu yote historia nzima

    Haya ni majibu ya swali dogo tu la "Jamiiforums ni nini ? hakuna kitu ulicho kiacha nyuma imefunguka kila kitu. Picha ni JamiiAi Screenshot Picha ya pili 2 1re Picha ya tatu 3 Picha ya nne 4 Picha ya tano 5 picha ya sita 6 Muhimu: Ikumbukwe JamiiAi imejengwa kwa teknolojia...
  6. H

    Atangapiwa kazi nyingine Maana yake huwa ni nini?

    Ndugu zangu natumaini mko salama kabisa ,hongera na poleni kwa kazi zenu za Kila siku . Napenda wajuzi mnifahamishe inapotokea mtumishi aliyeteuliwa akatolewa na kuweka mwingine unakuta anaambiwa atapangiwa kazi nyingine Je hiyo kazi nyingine haiwezi kupangwa onsport baada ya mabadiliko...
  7. Sababu ni Nini mpaka inakuwa hivi

  8. Nataka kuanza safari yangu ya kuwa Data analyst unanishauri nini katika safari yangu?

    Habari zenu Mabro Mda mrefu sana nimekuwa namatani hii kitu sasa huu mwaka nimedhamiria kabisa niongeze hii skills ya data analysis Ili nikitoboa hili jalamba la Degree hapa niwe vyema kote kote Mwaka huu nimeugawanya katika quarter 4 kila quarter moja najifunza Skills moja na niliyopanga...
  9. Uzandiki ni nini na kwanini?

    Uzandiki ni hali ya upotoshaji wa habari wenye lengo maalumu. Mara nyingi uzandiki hutumika kuyumbisha utawala wa nchi adui. Pia uzandiki unafanywa na watu au kikundi ili kuchongqnishq nchi husikq na raia wake , marekani kupitia idara ya usalama wa taifa nje ya nchi amefanikiwa pakubwa kutumia...
  10. Sababu ni Nini simu za Tecno kunangwa

    Salam wakuu. Bila kuwachosha Kwa miongo kadhaa nimekuwa mtumiaji wa simu za hii kampuni ya Tecno Binafsi sijaona tatizo lolote kama inavyosemekana Kipindi flani niliwahi kununua simu ya Samsung baada ya kuona zinasifiwa sana ila kwa baadae nilikuja kuiuza baada ya kuona inakula sana moto...
  11. Lengo lao la kutaka CCTV camera ziwe na usajili ni nini?

    Turudi nyuma tukio la lissu kupigwa risasi eneo wanapoishi wabunge.CCTv zote ziliondolewa na kulikuwa hakuna usajili. Nilichogundua sehemu zita kazokuwa na CCTv wakifanya utekaji wao wataweza kuzibiti taarifa na kukanusha kama hakuna tukio. Na huu usajili utaweza kujua jirani ,location na wapi...
  12. JF MIND GAMES: Hii ni picha ya nini.?

    Tafadhari usitumie AI, chekecha bongo
  13. Ni nini maana ya T-shirt ya Mwakinyo..??

    Wana jamii wenzangu naombeni tafsiri ya ile T-shirt ya mwakinyo. Kwanini upande wa mbele na upande wa nyuma aweke picha tofauti.!?
  14. Ulimwengu wa Roho ni nini ?

    Ulimwengu wa Roho (spiritual realm/world) Watu wengi wakisikia neno ulimwengu wa roho wanachanganyikiwa kiasi kwamba wanaamua kukataa na kupinga hayo mambo niyakusadikika hayapo,, Sasa njoo nikupe a b c ujue nini kinaelezwa, ni elimu si watu wengi wanaijua ukweli wake na hapo ndipo tofauti...
  15. Urais ni Nini?

    Uraisi ni Kama sherehe tu halafu raisi ni Kama bwana harusi na Bibi harusi. Ukiwa na harusi hata ya gharama kiasi gani hakika watu wako wengine ndio hufaidi zaidi. Hata ukaagiza semi ya soda hakika hautakunywa hata soda tatu umalize. Hata ukakodi ndege hakika hautapanda mwenyewe japo gharama...
  16. Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

    Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi hawa kabisa hawana hoja za msingi, wana chuki ya kiwango cha juu mno na dini ya viongozi wakuu wa Taifa...
  17. Mapinduzi yakifeli kinachofuata ni nini?

    Huku kwetu mitaani wafanya vurugu waliandika ujumbe wao kwenye kuta na mawe maneno 'Samia must go'. Ndiyo nikajua ahaaaaaa kumbe hizi vurugu ndiyo namna yenyewe ya kupindua. Nilipoona maandaishi yale nikajua kuwa lazima watakufa watu wengi kama madhumuni ndiyo hayo. Lakini naona serikali bado...
  18. Picha: Polisi sharia ni nini ? Hatujazoea hizi lugha huku Tanganyika

    Hii haijatumika kimakosa, tunajua Polisi wanaanza kuingia taratibu kwenye Lugha za Kiislamu, maneno Sharia, Kadhi na mengine itabidi tuyazoee, lakini isiwe ghafla hivi jamani !!!
  19. L

    Kafara ya taifa ni nini? Is it real?

    Habarini wanajamvi LA jamiiforums Kuna ili Jambi linniwazisha na kunisononesh sana for surer, kafaraa ya taifa in kitu gani? Akina nani in wausika was kutolewa kafara? Msaada wa majawabu tafadhariini
  20. Mange Kimambi na Maria Sarungi je vipaumbele vya maandamano ni vipi?

    Watanzania tutafakari kwa kina, je tumeona vipaumbele vya maandamano? Je umekaa chini ukajiuliza tarehe 29 ulitaka ama kufanya maandamano Kwa nini? Na hayo yanayokuja unataka kuandamana kwa sababu Gani? Mimi ni mtanzania mpenda Haki, na watanzania wapenda Haki tujiulize kua vipaumbele vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…