Pale unapokwenda kutafuta tiba na katikàti ya huduma unaelezwa na madaktari husika kuwa: "Kipimo au tiba hii haiingii kwenye NHIF, inabidi ulipie cash."
NHIF mlipoanza huduma hii hili mlilipanga vipi?
Je, ni haki mteja wenu mnamkata pesa kila mwezi na mara nyingi haugui ama kutumia kadi hata...