likuwa hospitali ya Temeke. Nilimuona mama mmoja mtu mzima na ambaye aliwahi kunihudumia wakati nasoma UDSM.
Saa sita wakati natoka nikamuona bado amekaa palepale. Kumuuliza akasema alistaahafu na anamsubiri mtoto wake ili amlipie apate huduma kwani baada ya ajira alitakiwa aongeze pesa nyingi ili apewe kitambulisho cha msataahafu.
Sikumuelewa kwani serikalini ukistaahafu unapewa kitambulisho cha kukuwezesha kutibuwa ww na mwenzawako. Nikaamua kufuatilia jambo hilo kuuujua kweli.
Nilitafuta wastaahafu kadhaa wa UD na wakanithibitishia kwamba ni kweli, niliumia sana.
Lakini katika kuulizia pia nikagundua kwamba kuna wastaahafu ambao tangu January mwaka huu hawajalipwa stahiki zao ikiwemo zawadi ya kukitumikia UD na nauli ya kurudia bara hii ni mbali na pensheni.
Nikaamua kuweka kambi UD hasa eneo maarufu kama mamalishe ili nipate ukweli wa haki za wastaahafu za nauli na tiba. Kambi yangu hiyo iliibua mengi ila leo tudurusu hayo mawili.
Bima ya afya suala ambalo naendelea kufuatilia niliambiwa kwamba NHIF walibadili taratibu ikiwemo kuondoa watoto above 18 na kutaka wastaahafu waondeze pesa ndipo watambulike.
Kwa mujibu wa ofisa mmoja mwaka huu wanategemea watu zaidi ya hamsini kustaahafu na wastaahafu hupewa zawadi na UD kulingana na muda wa utumishi na ngazi ya mshahara.
Kuna baadhi ya wastaahafu ambao ni kweli tangu wastaahafu wajalipwa nauli wala zawadi stahiki. Shida iko wapi, niliambiwa majalada yao yamekaliwa na afisa mmoja ofisi na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Utawala kwa madai kwamba kuna kiambatanisho kinakosekana.
Baada ya kuulizia sana nikaambiwa ni mojawapo ya nyaraka za UD yenyewe na wala sio kutoka nje
Hapa najiuliza km inachukua mwezi au zaidi kupata kiambatanisho from within the organization je itachukua muda gani kupata kibali cha Wizara au hata Ikulu?
Baada ya kudodosa sana niliushia kuchekwa na kuulizwa, we dada ninmgeni hapa mjini? Tangu lini mkono mtupu ukalamwa. Penye udhia waandie hao vikongwe watumbukize rupia.
Hivi ni kweli wakuu wa UD hawaisikii harufu ya panya mfu ndani ya ofisi zao au nao harufu hiyo inawasaidia kuishi mjini?