mwanga mweusi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 287
- 473
Naomba ishauri kama inawezekana ,najua humu wapo wazoefu na mafundi wenyewe.
Nimejenga kajumba kakuishi sasa nimeweka bajeti ya umeme sasa nilisikia kuna kununua nguzo hilo mimi sikujali maana hapa jirani yangu ng'ambo ya barabara kama mita 20 pana transfoma hii ndio inasambaza umeme mtaa huu sasa nimewaza kitu labda hawaruhusu kuchukulia hapo kwenye nguzo za transfoma au vipi.
Naomba kufahamu ili nijue kama nanunua nguzo nijipange au kama inaruhusiwaga basi niendelee na utaratibu .
Ningeenda kuuliza TANESCO ila ofisi zao zipo mbali sana msaada kutoka JF ni wa haraka kuliko huko
Nitashukuru kwa msaada.