nguvu

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Makonda chukua fomu ugombee Urais kupitia upinzani hasa UDP, una nguvu kubwa sana na ushawishi kwenye jamii, utashinda kwa kishindo

    Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja. Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni". Kwa kuwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Tarime Mjini: Ngicho ahamishia nguvu zake kwa Gerald Martin

    UBUNGE TARIME MJINI: NGICHO/WAITARA WAHAMISHIA NGUVU ZAO KWA GERALD MARTIN Kura za maoni Jimbo la Tarime Mjini zilifanyika tarehe 21 Julai 2020 na Jackson Kangoye akafanikiwa kuongoza kwa idadi ya kura. Inafahamika kwamba Jackson Kangoye na Mwita Waitara walitengeneza muungano ili kusaidiana...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Membe amtaka Tundu Lissu waunganishe nguvu waweze kuitoa CCM madarakani

    Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Bernard Membe amemkaribisha Tundu Lissu nyumbani na kumtaka waunganishe nguvu ili iwe rahisi kuing'oa CCM madarakani. Hayo yameelezwa na ACT Wazalendo katika ukurasa wao wa twitter Maendeleo hayana vyama!
  4. JamiiForums Tanzania Sehemu zinazopata wapinzani wa nguvu Tanzania zinaadhibiwa kwa kunyimwa maendeleo

    Mikoa ya Kusini ilimtoa mpinzani wa kweli, aliyepinga siasa za Ujamaa na Kujitegemea, Marehemu Oscar Kambona R.I.P. Kambona alipinga waziwazi ujio wa sera za ujamaa. Matokeo yake aliishia kuwa mkimbizi Uingereza. Mikoa ya kusini iliadhibiwa kwa makosa ya Kambona. Kusini kuna idadi kubwa ya...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni kwanini gari hupoteza nguvu? Je, unawezaje kutatua tatizo hili?

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Gari ninayotumia ni Chaser GX100. Nimesafiri nayo kutoka Dar kuja Iringa na ninatarajia kuitumia kurudi Dar. Imetokea ghafla steering imekuwa nzito (stiff) ie unatumia nguvu kidogo kukata kona. Hakuna kelele za belt kwisha, hakuna leakage...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Iringa na Mbeya: Ngome imara za CHADEMA, CCM 'yategemea' nguvu za Magufuli na dola

    Kwanza nawaomba radhi wana JF kwa kuchelewa kuleta tathmini kuhusu mikoa tajwa hapo juu kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020. Nilipatwa na dharura ya kimaisha iliyonifanya nirudi nyumbani Arusha. Kabla ya kuja huku, nilitembelea mikoa ya Iringa na Mbeya. Nitarejea Moro na tena Njombe...
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto 2015 ulikataa UKAWA, why leo utake Coalition?

    Zitto Kabwe ni Mwanasiasa mnafiki, mbinafsi, mwongo na mtu wa kumuogopa kama ukoma. Mara zote amekuwa akilenga mambo yanayompa maslahi binafsi na si umma mkubwa wa Watanzania. Mwaka 2015 wakati Watanzania tukitaka mabadiliko ya kweli, na kuunda Coalition ya UKAWA Zitto alikuwa kinyume chetu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi katika hili la kuongeza muda wa Asante kwa Rais Magufuli hapana, tunakukatalia kwa nguvu zetu zote

    Mzee wetu mzee Mwinyi, Shikamoo Mimi ni mtanzania, kwa umri niseme labda ni mjukuu wako, ni Mtanzania, naipenda nchi yangu na ningependa iwe na mustakbali mwema. Mzee wetu nimekusikia mara kadhaa ukieleza hamu yako ya kumuona Rais aliyeko madarakani akiongezewa muda wa kutawala kinyume cha...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nguvu na ladha ya Bangi iko mafichoni; ikiruhusiwa Bangi haitakuwa na madhara na ndiyo njia bora ya kuitokomeza

    Power of Meditation! Nguvu ya bangi iko kwenye maficho yake! Vile mvuta bangi anapovutia bangi chooni hiyo ndo inamfanya awe na mental illness Vile mvuta bangi anapovutia bangi msituni hiyo ndiyo inamfanya ajione mwamba vile mvuta bangi anapovutia bang beach, Starehe ya upepo wa beach huzani...
  10. JamiiForums Tanzania Nguvu za kiume vs Hamu ya tendo

    Wasalam. Mimi sio mtaalam wa Afya wala miti shamba kwa mazingira yetu tunayoishi watanzania wote tumejikuta kwa namna moja au nyingine tunajikuta wote ni wataalamu wa mitishamba hata na Modern medicine. Tatizo la nguvu la nguvu kiumbe limekuwa neno la kawaida kwa sisi wanaume hivyo kupelekea...
  11. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma inamdhibiti Nassari

    Pale Arumeru Mashariki na Jimbo lililopo kushoto la Hai na Arusha Mjini kunamilikiwa na wanamageuzi ambao wanaitwa nguvu ya Umma nimemsikiliza Nassari ametumia Hekima ya kulazimishwa na kuogopa hivi kama akitukana kama Selasini wa Rombo atapita wapi na huko kwao, nguvu ya Umma ndio inamiliki...
  12. JamiiForums Tanzania Huwa nikikutana na nesi na hivi mwili unaishiwa nguvu

    Nakiri udhaifu, hizi sare ni shida kwa kweli nikiwaona manesi Mashalaaahhh mwili unaishiwa nguvu
  13. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Dodoma katika maamuzi ya Urais wa Zanzibar (CCM)

    Katika mchakato wa kutafuta mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000, Amani Karume, aliyekuja kuwa mgombea wa chama hicho na baadaye Rais wa Zanzibar, hakuwa mgombea aliyeungwa mkono na wengi visiwani humo. Kulikuwa na kundi kubwa zaidi lililokuwa likimuunga...
  14. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Ruvuma: CCM bado ina nguvu kubwa; CHADEMA yaimarika, CUF yafifia; ACT-Wazalendo yachomoza

    Ni matumaini yangu kuwa kichwa cha habari hii kinatoa tahmini ya jumla juu ya mkoa huu wa Ruvuma. Niko hapa kwa takribani juma moja katika kufanya tathmini binafsi ya kisiasa kuelekea Oktoba mwaka huu. Nimepita Songea na Mbinga; Nikaenda Tunduru na Namtumbo; nikasonga hadi Peramiho na sasa niko...
  15. JamiiForums Tanzania CCM inategemea vyombo vya dola wakati wapinzani wakitegemea nguvu ya Umma, Nani zaidi

    Kama alivyonukuliwa Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally hivi karibuni "akijimwambafai" kuwa Chama chake cha CCM, kitaendelea kubaki madarakani milele na milele, kwa kutumia vyombo vyote vya dola vilivyopo nchini ambavyo kama alivyonukuliwa yeye mwenyewe kuwa wao ndiyo wanavimiliiki...
  16. JamiiForums Tanzania Mwenye kuifahamu Nguvu Moja Security

    Ndugu zangu, Rejea kwenye post yangu NATAFUTA KAZI MAJI YAMENIFIKA SHINGONI. nafanya kazi kwenye kampuni moja ya ulinzi GARDAWORLD nalipwa 240,000/= kwa mwezi hapo makato yote yamesha katwa. Japo nina diploma ya uandishi wa habari, nimetafuta kazi inayoendana na elimu yangu takribani miaka...
  17. JamiiForums Tanzania Simulizi : Nguvu ya Mapenzi

    Simulizi: NGUVU YA MAPENZI Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Mdada mmoja mrembo sana aliyeitwa Angel alionekana siku hii akiwapeleka wadogo zake kuripoti katika shule mpya maana wadogo zake hao walikuwa ndio wanaanza kidato cha kwanza na yeye alikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

    Husna Amri Said na makada wengine wa CHADEMA wameendelea na zoezi la kupandisha bendera za Chama katika Jimbo lote la Chato ambako CCM waliamua kuzishusha. Mtia nia Ubunge jimbo la Chato bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi
  19. D

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya CHADEMA sasa imebaki mikononi mwa Lissu pekee; Siku akihama chama hiki kitameguka vipande vipande

    Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha! CHadema Kama mnara, Basi kwasasa umesimamia nguzo moja (Mwamba Tundu lissu) Tundu lissu ndiyo mtu pekee makini anaeungwa mkono ndani ya chama na nje ya chama! Tundu lissu ndiyo Mtu pekee akiongea wazee kwa vijana hutulia kumsikiliza! Tundu lissu ndiye...
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Chumvi na Mkaa huzuia nguvu za giza?

    Bado sijajua siri iliyojificha kwenye chumvi na mkaa. Wengi hutumia kama kinga dhidi ya uchawi na ushirikina. Wengine huweka kitandani au nani ya unga na mchele ili kuzuia chuma ulete. Matumizi ya mkaa na chumvi yanajulikana kite kama kinga dhidi ya nguvu za Giza. Swali ni je kuna nini ndani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…