Huhitaji nguvu nyingi kumchanganya 'Single mama', fanya yafuatayo

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,960
1. Kwanza hakikisha unacheza sana na mwanaye yaani mwanaye akupende.

2. Usipende kutoka nae viwanja hawapendi maana huwa wanawawaza watoto wao especially kama ana mtoto mdogo.

3. Vi-date vyenu fanyieni "indoor" yaani aje kwako au uende kwake.

4. Hakikisha zawadi kwa sana, za mwanae na zake. Yaani pipi, ice cream, pringles, vi toy na pizza vya kutosha.

Na yeye hakikisha zawadi zake ni mtungi wa gas, mchele, nyama za kuku ngombe samaki n.k. Atakuthamini sana ukimpelekea hivi kuliko kupeleka zawadi za sjui nguo, nguo za ndani, saa na maua. Atakuona bwege tu.

5. Hakikisha unaitandika kwelikweli ile kitu maana wanapenda sana.

Hayo ni machache sana niliyokuwa namfanyia singo mama mmoja zamani ila nilimuacha maana aliniganda sana kiasi kwamba nilikuwa sihemi.

Nimemkumbuka leo maana toka juzi ananitumia meseji kibao za mapenzi. Namwambia wee mama una balaa? Ananiambia sio kidogo.
Na tumeachana mwaka wa pili huu. Sasa sielewi niitandike tena ama vipi.

Nawasilisha.
 
1.Kwanza hakikisha unacheza sana na mwanae yaan mwanae akupende

2.usipende kutoka nae viwanja hawapend..maana huwa wanawawaza watoto wao especialy kama ana mtoto mdogo

3. vi date vyenu fanyien indoor yaan aje kwako au uende kwake

4.hakikisha zawad kwasana..za mwanae na zake..yaan mapipi.ma ice cream ,ma pringle ya kutosha..vi toy etc..ma pizza mengi sana
Nayeye hakikisha zawad zake ni mtung wa gas..mchele..nyama za kuku ngombe samak etc...atakuthamin sana ukimpelekea hiv kuliko kupeleka zawad za sjui nguo..kyupi..mara saa mara maua..atakuona bwege tu

5.hakikisha unaitandika kwelkwel ile kitu..maana wanapenda sana

Hayo ni machache sana...nilikua namfanyia singo mama m1 zaman...mda mref ..ila nilimuacha maana aliniganda sana kias kwamba nilikua sihemi...

Nmemkumbuka leo mana toka juz ananitumia msg kibao za mapenz..namwambia wee mama una balaa ananambia sio kidogo...hahaha

Na tumeachana mwaka wa pili huu

Sasa sielew niitandike tena ama vip

Uzi tayar.
Sawa expert wa single Maza.... we got u!!!
 
Hongera Sana Mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom