nguvu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna watu wasio na Imani na Rais? Mbona nguvu kubwa inatumika kuwaaminisha Watu mazuri yake? Wanaomsifu wana Iman naye?

    Fuatilia siasa za nchi mbalimbali Duniani, RAIS wa nchi anapokuwa katika miaka ya uongozi ambayo siyo ya uchaguzi uwezi kusikia kusifu na kumwabudu Kama ilivyo Tanzania Hali inayoendelea nchini Kwetu inafanya baadhi ya Watu kuhoji labda wanaosema Wana imani na RAIS hawana Imani naye Bali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa faida ya watoto waliozaliwa miaka ya themanini na tisini na kuendelea: Nyerere alijenga uchumi wenye nguvu sana chini ya ujamaa na Kujitegemea!

    Vijana wengi waliozaliwa miaka ya themanini na kuendelea huwa wanakejeli sana siasa ya mwalimu Nyerere ya ujamaa na kujitegemea!! Hawajui kama Tanzania ilikuwa inaheshimika sana duniani kote! Wengi wanaamini kuwa hali ngumu ya kiuchumi ya Tanzania ilisababishwa na ubovu wa siasa ya ujamaa na...
  3. JamiiForums Tanzania RPC wa Arusha hii nguvu unayoitumia kutafuta waliomuua Askari Ngorongoro kwanini hukuitumia mwanzoni kuzuia kuibuka kwa huo mzozo?

    Kwahiyo ukishawapata ndiyo wataenda kuirudisha pumzi na uhai wa huyo Askari Polisi wenu aliyeuwawa? Na wala GENTAMYCINE hapa sitetei au sifurahii huko kuuawa kwake na nimesikitika kuuliwa ila nimesikitika zaidi kuona leo hii Jeshi la Polisi Arusha linatumia nguvu kubwa ya Kijeshi katika...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Serikali inaendesha Operation ya kuhamisha watu kwa nguvu Ngorongoro

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU SERIKALI KUENDESHA OPERESHENI YA KUWAHAMISHA KWA NGUVU WANANCHI WILAYA YA NGORONGORO Kwa Muda mrefu sasa pamekuwa na mgogoro baina ya Serikali na wananchi wa Wilaya ya Ngorongoro wanaoishi katika vijiji 14 ambao Serikali inawataka wahame kwenye ardhi yao ya asili na...
  5. JamiiForums Tanzania Kama ukiwa huna Bahati (luck) utatumia nguvu nyingi sana kwenye mambo mengi

    Katika haya maisha kama huna Bahati mambo mengi sana utatumia nguvu. Mfano kwa Dar es salaam ukianzia Mbezi, ukaenda Buguruni mpaka kariakoo utaona watu wanavyopambana na maisha point yangu ni kwamba kupambana na huna Bahati utatumia nguvu sana Ukija kwa wachaga wamefanikiwa sana ila wale...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yamtishia China: Eti Marekani itaipigania Taiwan kama China ikitaka kuichukua kwa nguvu

    Ninachofahamu "hatishiwi nyau". Marekani kudai kuwa kama China ikiamua kuichukua Taiwan kwa nguvu, iko tayari kuipigania taiwan kijeshi ni uongo na ndoto za mchana!! Marekani haina kabisa ubavu wa kujiingiza vitani na taifa lolote lenye nguvu ya nyuklia kama China!! Kwa asili Marekani ni...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini inakuwa ngumu kusamehe katika mahusiano?

    Salamu nyingi ziwafikie popote mlipo..... Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha mada kinavyojieleza, kwanza ijulikane maisha tunayoishi hatuishi kwa ajili yetu, yaani maisha yako ili yaende yanategemea watu wengine hakuna anayeweza kuishi kwa kujitegemea mwenyewe, vivyo hivyo hata...
  8. P

    JamiiForums Tanzania 2025, Tutawauliza, mlituahidi nini na Je,mmetekeleza.? Watajibu kwa uhakika, ni ndiyo, tulimnanga na kuusema kwa nguvu zote utawala wa JPM

    Sio wabunge na mawaziri, Bali hadi wasomi na Maprof wetu wote, kazi yao sasa si kushighuka kutatua matatizo yetu kama nchi! Kazi yao kubwa ni kuunanga utawala wa miaka mitano iliyopita na kumsema kwa kejeli na dharau nyingi Hayati JPM ambaye sasa haishi katika ulimwengu huu tulionao, Je...
  9. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu nguvu za mnyama simba

    SIMBA si mnyama mrefu kuliko wote. SIMBA sio mnyama mwenye kilo nyingi kuliko wote. SIMBA sio mnyama mwenye akili nyingi kuliko wote. Na pia SIMBA sio mnyama mkubwa kuliko wote. Lakini cha kushangaza, SIMBA ndie mfalme wa Msituni. Ikiwa sifa zote hizo hana je, ni kipi kinachomfanya SIMBA awe...
  10. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Tahajudi na Faida Zake (Faida za Meditation)

    Watu wengi wamekuwa wakijifunza meditation tangu karne na karne, miaka na miaka. Sio kitendo kilichoanza hivi sasa bali ni kitendo kilichoanza tangu zamani na kimekuwa na faida mbalimbali kwa watu waliojifunza na kufanya taamuli. Wengine ni kutokana na kupunguza stress, kujifunza kuongoza akili...
  11. JamiiForums Tanzania Nilivyoteseka na tatizo la nguvu za kiume

    Katika maisha yangu niliishi nje ya ulimwengu wa zinaa. Hakika sikuwa mzinifu hata pale nilivyopata vishawishi vikali vya uzinifu nilivikwepa kwa jitihada kubwa sana. Sikuwa na rekodi yoyote kuhusu kuwa na msichana na wala kufanya zinaa. NDUGU WAINGIA WASIWASI NA MIMI. Baadhi ua ndugu, jamaa...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada Passo Racy kukosa nguvu

    Habari wandugu na wataalamu, Nina passo racy ambayo hizi siku za karibuni imeniletea ugonjwa ambao nahitaji msaada wenu kama ulishawahi kukutokea na ukaisove vip? Gari ni kwamba ukitembea kama km 8 inakuwa kama inakosa nguvu mpka uizime ikae baada ya kama dakika 10 then ukiiendesha inaenda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Royal tour ina nini mpaka mtumie nguvu kuinadi namna hii?

    Hivi mnawaona watanzania kama watoto wadogo kiasi cha kuwadanganya namna hii? Hii filamu ina nini nyuma yake mpaka muitetee hivi? Kuna nini kimejificha huko? Haya unayotuambia PM Majaliwa ni kweli? 👇Majaliwa asema filamu ya Royal Tour imeanza kuonesha mafanikio Mbona TTB walisema watalii...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Wabena wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu kwa Wakinga kwenye mafanikio ya kibiashara?

    katika mijadala ya hapa na pale inayohusu maendeleo hata humu ndani jamiiforums huwa inakuwepo mijadala ya wakinga kuwa moja ya kabila linalojitahidi kwenye anga za biashara licha ya kuwa kabila dogo kwa idadi yao ndogo. Sasa kunakuwaga na tabia flani hivi unakuta mjadala unavyoendelea pakiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa wanaodhani Wana nguvu ya Hoja za kutomkubali Rais Samia, hakikisha unajua unachozungumza

    Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana. Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri. Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts). Karibu Kama kweli una hoja.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi Tajiri aitwaye saa tatu alivotumia nguvu ya pesa kubomoa nyumba huko Tunduma.

    Tukio hilo la kubomolewa Kwa nyumba hiyo limetokea huko Tunduma na nyumba hiyo inasemekana ni mali ya marehemu pamoja na mke wake ambaye yuko hai. Inasemekana marehemu aliacha watoto kutoka kwa wake tofauti na kila mke alikuwa na nyumba yake. Baadaye watoto wa marehemu Wakafungua shauri la...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kweli chipsi mayai inaua nguvu za kiume?

    Habari wanajamii na kheri ya Eid El fitr! Naona kumekuwa na propaganda ati kwamba kwa wanaume kula kiepe kunaua nguvu za kiume ila wataalamu yaani madaktari wanakataa! Vp wadau wa kiepe mumewahi experience erectile dysfunction kwa kula zege! N.B walianza kutuambia Chinese mboga inaua nguvu za...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Jummane Muliro hawajawahi kupambana na uharifu kwa akaudhibiti zaidi ya kutumia nguvu za kipolisi zisizo na tija. Alipokuwa Mwanza uhalifu alichemka

    Maeneo ya Kirumba, Ilemela, Igogo na sehemu za Igoma uhalifu ulikuwa mwingi kiasi cha wananchi kuchukua sheria mkononi na kuanza kuua vibaka kwenye ofisi za serikali. Hii ni sababu Jumanne Muliro huwa hana mikakati ya kudhibiti uharifu kwa kutumia jamii zaidi ya nguvu za kipolisi ambazo hazina...
  19. JamiiForums Tanzania Man United 1-1 Chelsea ngoma ngumu, watoshana nguvu

    Bao la kusawazisha la Cristiano Ronaldo limeipa Manchester United pointi moja katika mchezo wa Premier League dhidi ya Chelsea kwenye Uwanja wa Old Trafford, usiku wa Aprili 28, 2022. Chelsea walianza kupata bao kupitia kwa Marcos Alonso katika dakika ya 60 lakini United walisawazisha dakika...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Marekani kutumia nguvu zote ili kuishinda Urusi, bila kuhatarisha damu ya askari yeyote wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine

    Wamarekani ni wabaya! Wameamua kuingia vitani na Urusi kwa kutumia nguvu zao zote kwa maana ya zana za kivita na pesa, lakini hawako tayari kumwaga hata damu ya mtu mmoja wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa ukraine!! Marekani hawajali Ukraine ikiangamizwa na Urusi, wanachohitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…