nguvu

  1. Kuna haja ya kupiga vita umasikini wa nguvu kuliko kupiga vita UKIMWI

    Umasikini ni janga kuliko hata UKIMWI, umasikini unahitaji akili kubwa ili ukabiliwe lakini sio ukimwi,umasikini unamizizi lakini sio ukimwi,umasikini ni chanzo cha kusambaa kwa ukimwi lakini ukimwi ni chanzo cha kuongezeka kwa umasikini kwa kiwango kidogo,umasikini unatisha hata zaidi ya...
  2. Z

    Vyuo Vikuu, hasa viongozi someni makala hii kwa nguvu zenu

    Tuangalie makala inayoiangalia University of Dar es Salaam lakini ni hali ktk vyuo vikuu vyote nchini. Source: https://thechanzo.com/2023/04/24/university-of-dar-es-salaam-is-stuck-its-time-to-save-it/ Nukuu 1: As the first University in Tanzania, UDSM played a crucial role in shaping the...
  3. Jobless mwenzangu, unafanyaje kupata nguvu mpya baada ya akili na mwili kuchoka na mapambano ya utafutaji maisha?

    Umeshatuma maombi ya kazi miezi mpaka unahesabu miaka lakini hupati kazi. Unatafuta vibarua vya kujishikiza navyo inakuwa ni mtihani. Unafanya kila kitu kujaribu kujinasua na mkwamo wa maisha ikiwemo mambo ya kiimani ila bado hupati matokeo. Uvumilivu, kupambana, ubunifu, experience, knowledge...
  4. Picha la nguvu

    Humu humu huyu mwamba namkubali kwa kulinda privacy za watu
  5. B

    Nguvu ya Umma: Tofauti yetu na Kenya sisi tumeliwa kichwa

    Kauli ya umma ni kauli ya Mungu. Haijawahi kushindwa popote chini ya jua. Aungurumapo Simba mcheza nani? Ni kupata katiba mpya, kuondokana na longo longo za mamlaka, ni kuwawajibisha wabadhirifu, nk? Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir Sisi tuko hapa: Bipartisan talks must end...
  6. SoC03 Utumishi wa Umma: Je, muda umefika sasa wa mwananchi kuwa na nguvu ya kisheria kumtoa mtumishi asiyewejibika ipasavyo?

    Mei mosi oyee! Ajira katika utumishi wa umma imekua ni ndoto ya wasomi na wasio wasomi wengi hapa nchini, wengi wa watu hawa hulenga ama kupata kipato na wengine kuhudumu kwa kutoa huduma takwa na wananchi. Serikali kwa kulitambua hilo imekua ikitoa ajira za muda mrefu ama muda mfupi lengo...
  7. Kwanini Yanga SC imetumia Nguvu Kubwa na Kujiandaa Kupitiliza kwa Mechi ya Rivers United FC wakati kwa 99% Wameshafuzu?

    Nimeshuhudia Maandalizi mengi ya Klabu ya Yanga hasa ikicheza Michuano ya Kimataifa ila sijawahi kuyaona Maandalizi haya Kabambe na Kufuru yaliyofanywa kuelekea Mechi yao ya Marudiano na Rivers United FC Kesho Mkapa Stadium. Hata hivyo Wenye Akili tunajua baada ya Yanga SC Kushinda Ugenini (...
  8. Baleke yupo kwa mkopo na kaweza kuwashawishi Tp Mazembe kiwango kimerudi, Je atarudi Mazembe, atabaki simba au Yanga watatumia nguvu ya pesa kumpora ?

    Msimu ndio unakaribia kuisha hivyo na kijana huyu kaweza kutupa surprise ya aina yake ligi ikiwa ukingoni 1. Tp Mazembe watamtaka arudi congo ? 2. Atabaki Simba ? 3. Yanga watatumia nguvu ya pesa kumleta jangwani ?
  9. Nguvu ya umma Chadema tuliyoitengeneza 2005-2015 imeyeyushwa na ubinafsi wa Mbowe

    Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea. Leo hii CCM wamewapanda Watanzania vichwani na wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga...
  10. Dawa za kuongeza nguvu za kiume zakua dili Urusi, wanaume wana msongo balaa

    Maisha yanazidi kuwa magumu Urusi, jameni Putin ameliingiza taifa pabaya.. Putin's invasion of Ukraine IS a flop: Erectile dysfunction pill sales surge in Russia – with young men of conscription age suffering extreme stress Russian spending on erectile dysfunction drugs surged 75 per cent...
  11. Bawasiri imenikata nguvu za kiume kabisa, msaada aliyepona

    Bawasili imenikata nguvu za kiume kbsa msaada aliepona
  12. B

    Wabunge wakemee kwa nguvu zote kigezo cha kujiunga na majeshi kwa sharti la kupitia JKT

    Kuna kitu hakiko sawa katika ajira za Tanzania hasa kwenye upande wa ajira za majeshi. Hivi walioweka kigezo cha mtu ili apate nafasi ya Uhamiaji, JWTZ, Police, Magereza, na Fire eti lazima awe amepitia JKT waliwaza nini na kwa manufaa ya nani? Kama tujuavyo siyo kila mtu au mhitimu yeyote...
  13. R

    Upungufu wa nguvu za kiume na kike upo hadi kwa matajiri na wanasiasa au ni maskini pekee?

    Binadamu akikosea nguvu za asili za kiume au kike anakosa pia nguvu za asili za kufanya KAZI kwa tija na hivyo uzalishaji kwenye TAIFA ushuka. Tanzania tumekuwa na wananchi wenye changamoto ya nguvu za kiume na kike. Kuthibitisha au kupata ukweli angalia mabango ya tiba asili, angalia pharmacy...
  14. Sababu kuu za Mmarekani kuhamasisha kwa nguvu sana ushoga Afrika na siyo mabara mengine

    Ni muda sasa suala la ushoga na habari zake zimeendelea kuchoma na kuumiza masikio na macho ya waafrika na wengi wetu kukerwa na wengine kuhuzunishwa. "kwanini Afrika kwa sana"?. "Kwanini Mmarekani ndiye anaongoza kwa kuhamasisha na je una manufaa gani kwake kama siyo udhalimu tu dhidi ya...
  15. SI KWELI Kupakata laptop au kuweka simu kwenye mfuko wa suruali hupelekea upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa watumiaji wa kompyuta mpakato huku wameipakata mapajani, pamoja na sisi tunaotumbukiza simu zetu zikiwa on air kwenye mifuko yetu ya mbele ya suruali tupo kwenye hatari ya kupoteza nguvu za kiume?
  16. Shida ya Aziz Ki ni nguvu nyingi za miguu

    Nguvu nyingi za miguu alizonazo Aziz zinamsumbua sana katika kukadiria kupiga mpira kutoa pasi na hata kulenga lango, yaani mpira unakwenda kasi mno, unaenda mbali au unapaa juu ya lango hata kama akiugusa kidogo tu. Hata yeye anashangaa kwanini mpira hauendi pale alipoukusudia. Yeye anaona...
  17. NGUVU YA MSAMAHA: Stori niliyosikia kwa January Makamba mwaka 2021

    Anasema mwaka 2008, akiwa Msaidizi wa Rais Kikwete, alikuwa ziarani Makete. Alikuwa anatumia gari na dereva wake wa Ikulu, aliyeazimwa kutoka Jeshini. Jioni moja, kuna document ya Rais alitaka aifanyie kazi na kumpelekee kesho yake saa 1:00 asubuhi. Akamwambia dereva amfuate saa 12:30 asubuhi...
  18. Raisi anapokuwa dikteta basi huondolewa madarakani kwa nguvu

    Rejelea kifo cha maraisi wakiwemo Saadam Hussein, Gaddaf na wengineo wengi ikiwemo wa Africa kama Idd Amin na wengineo hii inadhihirisha kuwa raisi anayekandamiza demokrasia basi hung'olewa madarakani kwa lazima. Marekani haitakuwa tayari kuwaacha maraisi wenye tabia kama hizi kuendelea...
  19. B

    Waogopwe watumiao nguvu nyingi kujinadi wazalendo

    Watu wenye kutupia mavazi ma scarf na viwalo kujinadi uzalendo kama hivi: Ni wa kuogopa kuliko ukoma. Nyerere (rip) asinge wastahi majizi yote yajifichayo kwa kutanguliza dhana ya uzalendo mbele. Aliyetupia hivi: Aweza kuwa mzalendo sana kuliko wengi waliitalo jina bwana bwana hao...
  20. Msaada, Naulizia power tiller zuri,lenye nguvu kwa pesa ya Mtanzania

    Wasalaam.. Heri ya pasaka kwa wakristo na waislam tuendelee na al-futar ili mradi kila mmoja afanye kinachomfaa na kumpasa.. Leo nimeamka na mood ya kuendeleza mpango wangu wa mwaka (kilimo) na baada ya kufika shambani kutazama shamba nasikitika tu, mazao ni kidogo mno, nimewaza huwenda nyenzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…