Tanzania yaingiza tani 52,000 nyama ya nguruwe kutoka nje

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
2,858
7,847
Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee.
Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) ukihusisha wafugaji na wafanyabishara wanyama hao kutoka Mikoa ya Mbeya, Iringa, Katavi na Rukwa.

Kikao hicho kimelenga kujadili na kuweka mikakati ya pamoja ya kuthibiti na kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mafuta ya nguruwe ambao umekuwa ni changamoto katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.
“Licha ya jitihada kubwa za wananchi kujihusisha na ufugaji wa nguruwe, bado kuna changamoto ya kutofikia malengo ya uzalishaji wa kibiashara kama mataifa mengine, ikiwepo ufugaji wa mazoea unaochangia kupata changamoto za ugonjwa wa homa ya mafuta ya nguruwe,” amesema.
Ameongeza kuwa ujio wa FAO huenda ukawa mwarobaini kwa wafugaji kuondokana na ufugaji wa mazoea ikiwepo changamoto za kukabiliana na ugonjwa hho ambao umekuwa ukiathiri sana sekta ndogo ya ufugaji nguruwe nchini

Akizungumza katika mkutano huo, mratibu wa mradi huo kutoka FAO, Dk Raphael Sallu amesema wamelenga kuweka mikakati ya pamoja kukabiliana na tatizo la homa ya nguruwe.

Ametaja mikakati hiyo kuwa pamoja na kuboreshwa kwa maabara ya Wakala wa Veterinari Tanzania (TVLA) Kanda ya Iringa sambamba na kuweka vifaa vya kisasa vya kupima sampuli ili kutoa elimu kwa wataalam wa maabara na wanasayansi ili kudhibiti ugonjwa huo.

“Ili kuweza kubaini ukubwa wa tatizo tumeona ni vyema kutokutegemea maabara katika Mikoa ya Morogoro na Rukwa ambazo zimekuwa ni changamoto uchelewashi wa majibu na kusababisha kuenea haraka kwa ugonjwa huo,” amesema.
Kwa upande wake Ofisa ufuatiliaji magonjwa ya mifugo Wizara ya Kilimo na Mifugo, Dk Makungu Seleman amesema kama Wizara wametoa maelekezo kwa maofisa mifugo nchini kuwa karibu na wafugaji kwa lengo la kutoa elimu ya namna ya kukabiliana na ugonjwa ambao ni hatari.

“Tumekutana mkoani Mbeya na wadau kutokamikoa mwingine lengo ni kujadiliana na kwa pamoja na kutoka na maadhimio ya pamoja ya kukabiliana na ugonjwa wa mafua ya homa ya nguruwe kutokana na mikoa ya nyanda za Juu Kusini kuathirika kwa kiwango kikubwa,” amesema.
Source: Mwananchi, 6 Mei 2023.

My Take: Nimeshangaa kusikia kuwa kumbe Tanzania hatujitoshelezi kwa mahitaji yetu ya nyama ya nguruwe kiasi cha kuagiza toka nje tani zaidi ya 50,000 kwa mwaka. Daaahhh!! Tunafeli wapi lakini? Hii kitu ilitakiwa sisi ndo tuwe tuna export nchi za nje tupate pesa za kigeni...! Ardhi tunayo kibao, mazingira mazuri na sahihi kwa ufugaji.
Inabidi tujitafakari sana Watanzania kwa hili.
 
Heee, kumbe!!!!, wanaingiza waliochinjwa au wakiwa hai?! Mbona nguruwe ni wengi sana nchini?!!! Na wanakosa soko?!!!
 
wanakosa soko!!!!! wapi huko ambako soko lake linakosekana. Mimi niliko, ukichinja nguruwe, anaisha wakati anachinjwa. Uzalishaji wetu uko chini sana.
 
Karibu 2023
Mapinduzi ya Ufugaji wa Nguruwe Tanzania.

Direct Whatsapp - Xiānshēng 大卫, 名尼亞 Muwekezaji / Entrepreneur / Investor

1. WhatsApp Group Mapinduzi ya Ufugaji wa Nguruwe Tanzania

2. WhatsApp Group Uza au Nunua Nyama ya Nguruwe Tu Hapa

3. Bei Facebook anmelden

4. Messenger

5. Messenger

6. Bei Facebook anmelden

7. Bei Facebook anmelden

8.

9. Wateja wa Nyama Ya Nguruwe

10. Wateja wa Watoto wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu

Instagram - @Nyamayanguruwee
Facebook Account - Nyama Ya Nguruwe
Facebook page - nyamayanguruwe

1. Ninauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu
Madume na Majike yanapatikana hapa
Bei ni Tshs 200,000/= - Tshs 2,000,000/=
Bei Inategemea na Mbegu au Umri wa Nguruwe utakayemuhitaji.

NB:- Ukinunua watoto wa Nguruwe Tenga la kuwaweka kwa ajili ya kuwabeba au kuwasafirisha utapata Bure kwa idadi yoyote ile ya watoto wa Nguruwe utakaonunua hapa shambani.

2. Ninauza Nyama ya Nguruwe kwa bei ya Jumla Kilo moja (Kg 1) ni Tshs 8,000/= - Tshs 8,500/=

NB:- NINAHITAJI Wateja wanaonunua nyama ya Nguruwe NA KULIPA hela Papo Hapo au CASH. Kuanzia Kilo 5, kilo 10, kilo 20, kilo 30, kilo 40, kilo 50, kilo 60, kilo 70, kilo 80, kilo 90, kilo 100, kilo 150, kilo 200, kilo 250 nakuendelea

👉🏽Nyama ya Nguruwe kwa bei ya Reja Reja Kilo moja (Kg 1) ni Tshs 9,000/= - Tshs 10,000/=

*SPECIAL ORDERS *
RIBS / Mbavu Tu Kg 1 - ni Tshs 12,000/= - Tshs 15,000/=
Stake Tupu / Steak Kg 1 - ni Tshs 12,000/= - Tshs 15,000/=
Maini Kg 1 - ni Tshs 10,000/=
Kichwa Kg 1 - ni Tshs 3,500/= - Tshs 4,000/=
Miguu Pair 1 - ni Tshs 4,000/= - Tshs 5,000/=
Matumbo Ndoo Kubwa - ni Tshs 15,000/= - Tshs 20,000/=
Mkia Kg 1 - ni Tshs 3,000/= - Tshs 4,000/=

3. Ninachukua Nguruwe wa kuchinja Dar es Salaam na Pwani. Kwa kila kilo moja (Kg 1) utalipwa Tshs 6,500/= mpaka Tshs 7,000/=

NB:- Popote Dar es Salaam na Pwani nitakuja kuwachukua Nguruwe BURE! - KAMA NGURUWE WAKO WAPO KARIBU NA MAHALI NILIPO.

4. Ninauza Mbolea ya Nguruwe
Ujazo wa Suzuki Carry Kg 350 ni Tshs 100,000/= Tu.

NB:- Kama ni Karibu na Shamba usafiri ni bure. Kama ni Mbali na shamba Dar es Salaam na Pwani usafiri upo kwa Gharama ya Mteja.

5. Nguruwe wenye mimba ni Tshs 2,000,000/=

KUMBUKA Kwa huduma yoyote ile utakayoihitaji hapa, Delivery Dar es Salaam na Pwani ipo kwa Gharama ya mteja.

Kwa Mawasiliano
Tel: +255716576827
Email: Nyamayanguruwe@gmail.com
Location: Dar es Salaam, Bunju B, Mabwe Pande, Manzese

#daressalaam #nguruwe #watotowanguruwe #watotowanguruwewakisasa #nguruwebiashara #piglet #piglets #pork #ham #swine #pigs #pig #delivery #tanzania #pigfarmer #pigfarmers #pigfarmerslife #mapinduziyaufugajiwanguruwetanzania #nyamayanguruwe
#porkrecipe #pigfood

Karibu tufanye Kazi.
2023
 
Mzee upo vizuri, umeeleweka sana. Natumai wafanyabiashara, wakulima na wafugaji wengine wataiga mfano wako wa kufafanua vizuri huduma zao kama ulivyofanya.
 
Back
Top Bottom