Ukiona mtu yuko uchi wa mnyama na anatembea barabarani bila kujali, anaongea, anacheza bila wasi wasi wowote basi fahamu fika wazi kuwa mtu huyo ni mgonjwa. Hajitambui kuwa yu uchi, anahitaji msaada maana si busara kumwacha binadamu mwenzako apuyange mtaani akiwa mtupu.
Maguo yenu yana viraka...